Wanaume mna nini na simu zenu?

Wanaume mna nini na simu zenu?

Pole Aliogopa Ungeona Yale Majina 97 Ya Makondakta, Alafu Ungezimia Kwa Mshtuko.Kakuokoa Na Mengi.
 
Nakumbuka wakati nimempeleka mchumba wangu home Bi mkubwa alituambia ni marufuku kushika simu ya mwenzako bila ridhaa yake ili muishi kwa amani, mpk leo hii kila mtu anaheshimu simu ya mwenzake
mmh jamani hata kuomba kutumia nayo ni kazi
 
Yeye mwenyewe utakuta wala hajihangaishi na yako, kwanini usiombe akuongezee salio, na shida yako sidhani kama ilikua kupiga simu, ilikua ni kukagua simu,
yangu huwa anashika muda wowote akijisikia
 
alijua unataka kumuibia ukimbie maana hukumuomba na siku hizi hata hamuaminiki......
haaa haa
 
Simu ya mwanaume ni kama kitunguu ukiiangalia tu alazima utoe machoziiiiiiii
 
Habari za leo wanajamvi.....
Jamani leo nimestaajabu. Nikiwa nimetolewa dinner na shemeji yenu mtarajiwa huku tukibadilishana mawazo ya hapa na pale nikapata simu ya msiba sasa kwa kuwa sina salio la kutosha nikasema nichukue simu ya shem wenu ili nipate kujua zaidi juu ya msiba

Lakini mwenzenu Ile nimeshika simu tuu nikashangaa ghafla nimevutwa mkono yani mkono umenyongorotwa kidogo nitoe damu...Ile nataka kukimbia nayo nikavutwa mpaka mkono kidogo nivunjike. Hivi jamani wanaume mna nini ni vitu gani au siri zipi ambazo hampendi zijulikane naombeni kujuzwa

hii mada niliiona Jana lakini nikaona ykipuuz tyu

iko hivi usilalamike wanaume tunanini
lalamika mume wangu ana nini

naonge kwasababu mie pia mwanaume uwezi kutubebesha lawama kwa michepuko ya mumeo
kaa chini na mumeo swala la kukataza kuona sm yake sio jambo la tuseme ni icon ya wanaume wote
binafsi mke wangu anatumia sana sm yangu sometimes hata nikiwa na baf anapokea even my boss ameni call

jambo la mumeo usitubebeshe wanaume wote
 

hii mada niliiona Jana lakini nikaona ykipuuz tyu

iko hivi usilalamike wanaume tunanini
lalamika mume wangu ana nini

naonge kwasababu mie pia mwanaume uwezi kutubebesha lawama kwa michepuko ya mumeo
kaa chini na mumeo swala la kukataza kuona sm yake sio jambo la tuseme ni icon ya wanaume wote
binafsi mke wangu anatumia sana sm yangu sometimes hata nikiwa na baf anapokea even my boss ameni call

jambo la mumeo usitubebeshe wanaume wote
Asante mkuu nashukuru
 
Simu ya mwanaume ni kama kitunguu ukiingalia kwa karibu lazima utoe machozi. Achana na simu ya mwanaume kabisaa ukitaka kuishi kwa amani
 
Amefanya applications nyingi za kazi kwahiyo muda wowote anapigiwa simu....asikae mbali na simu take. Hata mm siwezi ruhusu kabisa
 
Wanaune bana,ila simu za wake zao wanapeenda kuzifatilia
 
Ww simu ya mumeo ya nn??? Ndio maana Hata registration ni kila MTU na lake.Unajua kuna maradhi Mengi mnajitakia wenyewe ,mbona mama zetu na baba zetu wanasimu toka zilipoingia na hukuti mama anahangaika na simu ya mumewe,tena ukiona mwanamke anahangaika na simu ya mumewe ujue huyo mwanamke ni KISHOHIA au ni KIRUKA NJIA
 
Mmh pole. Ukiona hivo ana michepuko yake mingine
Michepuko nayo inahusika kweli, kwa uwiano wa male VS female ni 1:4 kwahiyo lazima tuwasaidie na wenzenu, mnataka wafe nautamu wao alafu wataenda kujibu nn siku yamwisho. Hata mitume kwenye vutabu vitakatifu walikuwa na wake zaidi ya mmoja
 
Ndio maana imeitwa CMU ya kiganjani au mkononi kama unataka CMU ya kushea si uweke CMU ya mezani huyo mpenzi wako anakupenda ndio maana hakutaka ushike CMU yake kama ulikua hauna salio si unguomba pesa tu ukanunue vocha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom