Wanaume mna nini na simu zenu?

Wanaume mna nini na simu zenu?

Mkuu naye huyo mmoja ni lazima atakuwa na simu nyingine ambayo mke/mpnz anakuwa haijui, anayoijua ndo anamwachia acheze nayo. Chezea timu wanaume
Hapa kibaruani kwangu kuna mtumishi mwenzetu mwanamme ana simu yake ambayo inaishi ofisini maalum kwa michepuko!
 
Habari za leo wanajamvi,

Jamani leo nimestaajabu. Nikiwa nimetolewa dinner na shemeji yenu mtarajiwa huku tukibadilishana mawazo ya hapa na pale nikapata simu ya msiba sasa kwa kuwa sina salio la kutosha nikasema nichukue simu ya shem wenu ili nipate kujua zaidi juu ya msiba.

Lakini mwenzenu ile nimeshika simu tuu nikashangaa ghafla nimevutwa mkono yani mkono umenyongorotwa kidogo nitoe damu. Ile nataka kukimbia nayo nikavutwa mpaka mkono kidogo nivunjike. Hivi jamani wanaume mna nini ni vitu gani au siri zipi ambazo hampendi zijulikane.

Naombeni kujuzwa
Huyo ni matatizo, za kwetu tukifika nyumbani ni mali ya watoto, ikiita anakuletea usikilize ukimaliza anaondoka nayo.
 
kama mpenzi wake siruhusiwi kushika simu? jaman mbna wanaume mna kera yani nimeharibu hadi valentine yangu bora ningelala home tuu
kwa kweli hapo umeliwa mpz me naishika wakati wowote cha hataki tupa kule ya nini kujipa stress na kuvumilia uovu wake kha!
 
Habari za leo wanajamvi,

Jamani leo nimestaajabu. Nikiwa nimetolewa dinner na shemeji yenu mtarajiwa huku tukibadilishana mawazo ya hapa na pale nikapata simu ya msiba sasa kwa kuwa sina salio la kutosha nikasema nichukue simu ya shem wenu ili nipate kujua zaidi juu ya msiba.

Lakini mwenzenu ile nimeshika simu tuu nikashangaa ghafla nimevutwa mkono yani mkono umenyongorotwa kidogo nitoe damu. Ile nataka kukimbia nayo nikavutwa mpaka mkono kidogo nivunjike. Hivi jamani wanaume mna nini ni vitu gani au siri zipi ambazo hampendi zijulikane.

Naombeni kujuzwa

hahahahhaha imeshanitokea hiyo loh ...nilishikwa mkono mpaka nikahisi WWE🙂
 
nilimuomba kwanza lakini Ile nimeshika tuu akasema kuna message na vitu vingine sitakiwi kuviona
Ni kweli kwa hali hiyo alikukatalia, ungeendelea kuwa msitaarabu tu maana mwenye chake ni muungwana na yawezekana angekupatia baadae pia unapaswa kuwa mvumikivu sana.
 
mi hapa ndo napowapendeaga hawa viumbe. we jifanye tena zezeta siku nyingine kurupuka nayo utajikuta kichwaless na kiuno kimepinda.. simu zao ziache mami usijitaftie presha za viungo poyee
 
Asante mkuu Lakin ungeona jinsi alivyoninyonga ungenihurumia kwa kweli aiseeeee

Pole mpenzi wangu ni hasira tu zilishika️...
Ila tafadhari usirudie tena kushika simu ya mwanaume bila ruhusa tunaficha mambo mengi sana kwenye simu ukute gauni ulilovaaa nilikopa mahali alaf mwenye anadai kweli naww nimekwambia nililipa unataja uone na hayo ili siku tukigombana upate tusi la kunitukana..

Narudia tena ukome kushika simu ya mpenzi wako bila ruhusa kuwa wapenzi isiwe sababu ya kuzoeana kiasi hiko hebu tuheshimiane hapa hasa kwenye simu
 
Habari za leo wanajamvi,

Jamani leo nimestaajabu. Nikiwa nimetolewa dinner na shemeji yenu mtarajiwa huku tukibadilishana mawazo ya hapa na pale nikapata simu ya msiba sasa kwa kuwa sina salio la kutosha nikasema nichukue simu ya shem wenu ili nipate kujua zaidi juu ya msiba.

Lakini mwenzenu ile nimeshika simu tuu nikashangaa ghafla nimevutwa mkono yani mkono umenyongorotwa kidogo nitoe damu. Ile nataka kukimbia nayo nikavutwa mpaka mkono kidogo nivunjike. Hivi jamani wanaume mna nini ni vitu gani au siri zipi ambazo hampendi zijulikane.

Naombeni kujuzwa
Mpaka saizi huyo jamaa bado unamuita mume mtarajiwa?
 
IMG-20170302-WA0023.jpg

Hii sheria na kwetu iletwe
 
pole sana! Simu zina siri za michepuko, watoto na familia husizozijua. Lazima ajihami
 
Alitaka akuangalizie kama bado kifurushi kilikuepo au akuungie kifurushi cha halichachi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom