Tuanze na. wewe Molembe ni mara ngapi umekuja hapa jukwaani ukilalamika sana?
tena na kuonyesha chuki ya waziwazi ulionao juu ya wadada.
sijui uwekwe kundi gani, huna tofauti na mtu anaekata tawi alilolikalia...
Afadhalii kuna msuto tena auuuu??? Nanii AMENUNAAAAAAAA leo iko mambo ukiona hivyo huyo ni mtoto wa kiume sio kijana wa kiume bado wananuka maziwaa acha wajitawaleeee
Molembe karibu lunch nipo nadrive kuelekea Tilapia nkapate sato wa kuchoma
mwekee picha ya gari
Utazimia akikuwekea pichaaa ana gari kama ile ya Davis Mosha
Halafu ujue nilitaka kukutoa out weekend tukale upepo mwanana kule charcoal ila naogopa sina gari sijui tutumie lako.
Haina shida tutumie Murrano au Xtrail?Halafu ujue nilitaka kukutoa out weekend tukale upepo mwanana kule charcoal ila naogopa sina gari sijui tutumie lako.
mwekee picha ya gari
Afu nyieee, mniache nimepumzika zangu napata AC hapa rum kwanguUtazimia akikuwekea pichaaa ana gari kama ile ya Davis Mosha