Wanaume mliooa mke 1 mnashindaje changamoto hizi

Hisia za mwanamke zipo kwenye maungo yake na kama hakuna anaeyajongelea maungo hayo, mwanamke atahisi vipi hisia?

Hakuna mwanamke anayejisikia kufanya tendo la ndoa wakati yupo mjamzito, wanawake wa siku hizi washavurugwa wanahisi wasipofanya hivo waume zao watapata MPANGO WA KANDO (nyumba ndogo) (hakuna kuaminiana)

wanalazimika kufanya hivo japo hawapendi ila inawalazimu na hatokuonyeshea kuwa hapendi, hatajituma kwa kila hali kukupa kila utakapo ili mradi tu ahisi mmewe yupo salama (hakuna kitakachomfanya atoke nje)
 
Mwanamke hata akiwa mjamzito hisia ziko pale pale labda kipindi cha mwisho sana cha ujauzito ndiyo huchoka lakini aliyekudanganya eti mwanamke mjamzito hataman kufanya tendo la ndoa amekupoteza labda kama na yeye alishabeba mimba akakosa hizo hisia au wewe mwenyewe una evidence.
 
Comenti nyingi za wazinzi.

Mimi nipo tayari kukojoa mapajani mwake lakini nisichepuke.mwanamke akiwa mjamzito sidhani kama hatamani kuliwa labda iwe miezi ya mwishoni mwishoni huko.

Tena wengine huwa ndo wanapenda hasa wakiwa katika hali hiyooo.
 
Kwa kawaida bleeding inadumu kwa siku chache tu ambao sisi wanaume kamili (siyo wavulana) hazitupi shida kusubiri. Kunyonyesha hakuzuii kufurahia tendo takatifu la ndoa. Pia tuna namna zetu za kushughulika na ugonjwa, uchovu au kutojisikia. Ukiingia utazifamamu bila kufundishwa na mtu.

Karibu kwenye ndoa za make mmoja mkuu. Huku tunaenjoy the true meaning of love.
 
Umeona ee. Kuna mtu hapa anapambana eti hatujisikii...nimemshangaa maana sidhani kama ana uzoefu anaongea tu ...wanawake ndo tunajua tukibeba mimba tunajisikiaje....mwanamke huchoka tu kipndi cha mwisho sana cha ujauzito ila eti kusema akishabeba ujauzito hisia zinapotea huo n uongo wa kiwango cha juu.
 
Kwa kawaida bleeding inadumu kwa siku chache tu ambao sisi wanaume kamili (siyo wavulana) hazitupi shida kusubiri. Kunyonyesha hakuzuii kufurahia tendo takatifu la ndoa. Pia tuna namna zetu za kushughulika na ugonjwa, uchovu au kutojisikia. Ukiingia utazifamamu bila kufundishwa na mtu.

Karibu kwenye ndoa za make mmoja mkuu. Huku tunaenjoy the true meaning of love.
Ahsante kwa kuwashauri.
 
Ni kweli ndoa ni zaidi ya tendo majukumu ya kifamilia ulezi uwa keep watu busy, tena mtu wako akiumwa serious unawaza uhai ngono tupa kule
Aisee ni kweli si muda wote mnawaza kutiana nakumbuka mke wangu alijifungua tena kwa kisu nilikomaa mpaka alipopona so ukiwa na mtu wako kuna vipindi tofauti mnapitia na sio kila muda unawaza kutombana
 
Hizi ndo comenti za kiume.

Mwanaume anajua wakati wa shida atakjidhibiti vipi
Mwanaume sio yule ambae hata wakati wa shida anataka apate raha tu,huyo sio mwanaume.

Mwanaume akikosa chakula haendi kuombaomba kwingine(kuchepuka)anakunywa maji anavumilia kuangalia kesho atapambana vipi.

Mwanaume halalamiki na wala hayamtesi mambo ambayo yeye ndio sababu(mimba)bali anayafurahia mambo hayo na anahakikisha anakabiliana nayo kwa kila hali(hachepuki)

Mwanaume kitanda kikilowa maji(mke) unalala hata kwenye kochi(kojoa mapajani,hata kwenye matiti)sio unaenda kuhangaika kuazima godoro njee kwa watu wengine(mchepuko)huko ni kujidhalilisha tuu ambako kunazidi kukufanya ujione kidumeee kumbe ni kijikeee tuuu.

Uanaume ni kuweza kukabiliana na changamoto na kuishi kwa mujibu wa changamoto hizo,sio mke ana mimba unataka upate tendo kama ambavyo ulikuwa unapata kwa mkeo,huku sio kukabili changamoto,huko ni kuzikimbia changamtoto

Tunza nyege zako,zitoe kwa mke wako,hata mguuni mwaga,hata kwenye goti mwaga tuu,si mkeo bwanaaa,mke nae akiwa muelewa atakupa ushirikiano.

Kuchepuka mwiko.
Kwa kawaida bleeding inadumu kwa siku chache tu ambao sisi wanaume kamili (siyo wavulana) hazitupi shida kusubiri. Kunyonyesha hakuzuii kufurahia tendo takatifu la ndoa. Pia tuna namna zetu za kushughulika na ugonjwa, uchovu au kutojisikia. Ukiingia utazifamamu bila kufundishwa na mtu.

Karibu kwenye ndoa za make mmoja mkuu. Huku tunaenjoy the true meaning of love.
 
Aisee ni kweli si muda wote mnawaza kutiana nakumbuka mke wangu alijifungua tena kwa kisu nilikomaa mpaka alipopona so ukiwa na mtu wako kuna vipindi tofauti mnapitia na sio kila muda unawaza kutombana
Wanaume wanaojielewa wanajua haya...ila hawa wavulana sasa!
 
Hizi ndo comenti za kiume.

Mwanaume anajua wakati wa shida atakjidhibiti vipi
Mwanaume sio yule ambae hata wakati wa shida anataka apate raha tu,huyo sio mwanaume.

Mwanaume akikosa chakula haendi kuombaomba kwingine(kuchepuka)anakunywa maji anavumilia kuangalia kesho atapambana vipi.

Mwanaume halalamiki na wala hayamtesi mambo ambayo yeye ndio sababu(mimba)bali anayafurahia mambo hayo na anahakikisha anakabiliana nayo kwa kila hali(hachepuki)

Mwanaume kitanda kikilowa maji(mke) unalala hata kwenye kochi(kojoa mapajani,hata kwenye matiti)sio unaenda kuhangaika kuazima godoro njee kwa watu wengine(mchepuko)huko ni kujidhalilisha tuu ambako kunazidi kukufanya ujione kidumeee kumbe ni kijikeee tuuu.

Uanaume ni kuweza kukabiliana na changamoto na kuishi kwa mujibu wa changamoto hizo,sio mke ana mimba unataka upate tendo kama ambavyo ulikuwa unapata kwa mkeo,huku sio kukabili changamoto,huko ni kuzikimbia changamtoto

Tunza nyege zako,zitoe kwa mke wako,hata mguuni mwaga,hata kwenye goti mwaga tuu,si mkeo bwanaaa,mke nae akiwa muelewa atakupa ushirikiano.

Kuchepuka mwiko.
Nadhani wamekuelewa
 
Na wanaume wote waseme Eimeen...
 
Ni kweli mkuu Safuha. Tutaendelea kupambana na changamoto zetu ndogo ndogo tukiwa wote na tutafurahia mafanikio tukiwa wote. Mme mmoja, mke mmoja.
 
Yes mkuu.

Japo siwapingi waliooa mke zaidi ya mmoja kwa mujibu wa dini zao zinavosema.

Ila hapa nampinga yule anayechepuka kwa kusingizia visingizio vya ajabu ajabu tuu
Ni kweli mkuu Safuha. Tutaendelea kupambana na changamoto zetu ndogo ndogo tukiwa wote na tutafurahia mafanikio tukiwa wote. Mme mmoja, mke mmoja.
 
Sasa wewe ukipungukiwa na nguvu za kiume au ukiumwa ina maana lazima atoke nje. Ndoa ni zaidi ya tendo aisee bleed ni siku chache unavumilia tena ukiwa busy huwazi labda ka huna majukumu mengi
Mtoto huyo, wako likizo muda huu.
 
Back
Top Bottom