Wanaume mliooa mke 1 mnashindaje changamoto hizi

Ni kweli ndoa ni zaidi ya tendo majukumu ya kifamilia ulezi uwa keep watu busy, tena mtu wako akiumwa serious unawaza uhai ngono tupa kule
Sure mkuu. Yaani ukiwa bado kichwa akija komaa ndio unawaza tendo tu muda wote. Na upendo pia ukiwa na upendo haswa na mwenzi wako unaona ana tatizo anaumwa na mengineyo why ukae kuwaza ngono tu.
 
Mkuu nijuavyo mm hicho unachokiwaza sidhani kama kinafanyika daily........japo maswali yako yana logic fulani wanayoitumia Muslims kuoa wake wanne
 
Wakuu huyu ndugu ameongea kitu cha maana ingawa ameanza na point zw kujitetea. Kwa sisi wanaume ni nadra sana kuwa waaminifu 100% kwenye ndoa ya mke mmoja.

Wengi wetu tuna michepuko kibao na huku tunajidai waaminfu kwenye ndoa .

Haijalishi mke anaumwa au mzima au yupo kwenye bleed no sisi tunachepuka anytime ila huwa tunapotafuya sympathy kwenye jamii ndio tunaenda na hizo hoja za mleta Uzi.

Mke mmoja inatubidi either kiuchumi au mapokeo ya imani Zetu za kidini ila tunhefuata mila zetu za kiafrica nadhani kila mwanaume hapa Tanzania angekuwa na wake zaidi ya mmoja.
 
Watu wanafiki sana humu,kiukweli bila kutafuna maneno ni kwamba hakuna mwanaue anayeridhika na mke mmoja huo ndo ukweli .....yan wewe kama ni mwanaume uliyetimia then ukahisi umetosheka na wanamke mmoja na hutamani nje,hebu jichunguze utakuwa una tatizo kubwa na haupo sawa.HII NI KANUNI YA MAUMBILE YA MWANAUME NA HUWEZI IGEUZA.
Ni kweli kabisa kwamba ndoa si ngono pekee,ndoa ni muungano wa vitu vingi.
Hata mpendane kama njiwa,utatamani tu nje,Ukitaka kuamini hilo,hebu siku itokee mamlaka fulani iwe ni serikali au Mungu,iseme/aseme "Kuanzia kesho asubuhi kila mwanaume aliyeoa achague moja,atafute mke mwingine au aendelee na yule yule aliyenaye sasa hivi"......majibu yatakayotoka hapo wewe unajua.
Sisi tuliokamilika tunaipata fresh kwa kuwa na mke mmoja ila tatizo ni ile kukosa uwezo wa kiuchumi kuhandle mke zaidi ya mmoja.Ila kuna mantiki kubwa sana ya kuoa mke zaidi ya mmoja na kiukweli uanenjoy japo chini ya akili za mzungu jambo hili linapingwa vikali,ila kimoyo moyo sisi wanaume tunakili hili.
Humu wote wanaotetea mke mmoja ni wanafiki wakubwa,nasema kwa kinywa kipana ni wanafiki wakubwa na huenda hao ndo wanaongoza kuangalia porn,na ndo wanaoongoza kuwa na backup nje.Sasa kwanini uangalie porn na kumbe mkeo anatosha kuliwaza macho yako?kwanini uangalie makalio ya wanawake wanaokatisha ktk macho yako wakati mkeo analo? Kwanini usifie dada flani mpole,dada yule ana mguu wa hatari,dada yule ana kisauti cha huba,dada yule anatisha jikoni,dada yule ana kimdomo cha kunyonya,dada yule ana shingo ya muanzi,dada yule sijui ana macho ya usingizi.......sifa hizi mkeo si anazo?.....Tuache unafiki wanaume wenzangu sisi tumeumbwa na tamaa na Mungu hajakosea kuumba idadi kubwa wanawake kuzidi ile ya wanaume,alishatusoma kitambo kwamba sisi wa kiume tupoje.Wala waislamu hawajakosea ktk sheria zao, HAKUNA MWANAMKE ALIYEKAMILIKA KIUMBO NA TABIA ETI KWAMBA ANA KILA KITU KAMA UNAVYOTAKA WEWE,ukiona mkeo ana "hiki" ujue "KILE" hana,anacho yule......hii ndo fact chungu.
 
Ila sio MNAFIKI kaeleza na kuuliza maswali ambayo kila mwanaume alieooa uwa anayapitia.Ni sawa unaweza mvumilia kipindi anaumwa au yupo bleed hii inaeleweka kabisa.
But ni Ngumu kumvumilia mwanamke mvivu anaesema kila siku kachoka na kazi za ofisini au nyumbani au eti hajisikii kufanya mapenzi unapewa K kwa mafungu,hiyo hapana bwn.
Pia sio rahisi kumvumilia mwanamke mwenye mimba mpk ajifungue aelee mtoto mpk njia ipone ndo utombe,mmmh haiwezekani
Imagine kuna wanawake ambao mimba mwezi wa kwanza eti mimba haikutaki kila akikuona anatapika!!!Utaishije mpk ifike miezi tisa mnabakana tu mwisho mharibu mimba???
Hapa lazima msaidizi anatakiwa mapema sana totauti na CHAPUTA itakuua au pombe zitakuua.
Tuliooa tunajua sana
Huyu jamaa anawaza mambo ya ngono tu kwenye ndoa,ndoa ni zaidi ya ngono brother
 
Moja kwa moja kwenye mada, ukiwa na mke1 kuna changamoto nyingi sana ambazo mpaka uwe mwanaume uliyeooa ndio utaelewa..
1.Mwanamke akizaa unafanyaje katika kipindi anachonyonyesha?
2.Akiwa blid unafanyaje ?
3.Vp akiwa amechoka hajisikii kuwa na wewe kwa wakati huo...unafanyaje?
4.Akiwa anaumwa tunafanyaje?
Yako mengi sana kiukweli wengi mtasema nimeongelea upande1,ni kweli sisi wanaume wadhaifu sana katika mahusiano
Asante...
Me pia naomba kuuliza wenye mume mmoja wanashindaje changamoto za mume akiwa anaumwa...akiwa hajisikii..akiwa amesafiri...akiwa amechoka.
 
Moja kwa moja kwenye mada, ukiwa na mke1 kuna changamoto nyingi sana ambazo mpaka uwe mwanaume uliyeooa ndio utaelewa..
1.Mwanamke akizaa unafanyaje katika kipindi anachonyonyesha?
2.Akiwa blid unafanyaje ?
3.Vp akiwa amechoka hajisikii kuwa na wewe kwa wakati huo...unafanyaje?
4.Akiwa anaumwa tunafanyaje?
Yako mengi sana kiukweli wengi mtasema nimeongelea upande1,ni kweli sisi wanaume wadhaifu sana katika mahusiano
Asante...
Kwani ukiwa na mke ni unapiga kazi kila siku? Sie wengine tuko kwenye ndoa kwa miaka kumi sasa hayo tumeshayazoea, mke anajifungua sie tunajibidisha na kazi na kuwahi nyumbani kucheza na watoto wengine, ni ngumu lakini inawezekana as long as magonjwa ni mengi sana kipindi hiki.
 
Moja kwa moja kwenye mada, ukiwa na mke1 kuna changamoto nyingi sana ambazo mpaka uwe mwanaume uliyeooa ndio utaelewa..
1.Mwanamke akizaa unafanyaje katika kipindi anachonyonyesha?
2.Akiwa blid unafanyaje ?
3.Vp akiwa amechoka hajisikii kuwa na wewe kwa wakati huo...unafanyaje?
4.Akiwa anaumwa tunafanyaje?
Yako mengi sana kiukweli wengi mtasema nimeongelea upande1,ni kweli sisi wanaume wadhaifu sana katika mahusiano
Asante...
Kwani ukiwa na mke ni unapiga kazi kila siku? Sie wengine tuko kwenye ndoa kwa miaka kumi sasa hayo tumeshayazoea, mke anajifungua sie tunajibidisha na kazi na kuwahi nyumbani kucheza na watoto wengine, ni ngumu lakini inawezekana as long as magonjwa ni mengi sana kipindi hiki.
 
Ila sio MNAFIKI kaeleza na kuuliza maswali ambayo kila mwanaume alieooa uwa anayapitia.Ni sawa unaweza mvumilia kipindi anaumwa au yupo bleed hii inaeleweka kabisa.
But ni Ngumu kumvumilia mwanamke mvivu anaesema kila siku kachoka na kazi za ofisini au nyumbani au eti hajisikii kufanya mapenzi unapewa K kwa mafungu,hiyo hapana bwn.
Pia sio rahisi kumvumilia mwanamke mwenye mimba mpk ajifungue aelee mtoto mpk njia ipone ndo utombe,mmmh haiwezekani
Imagine kuna wanawake ambao mimba mwezi wa kwanza eti mimba haikutaki kila akikuona anatapika!!!Utaishije mpk ifike miezi tisa mnabakana tu mwisho mharibu mimba???
Hapa lazima msaidizi anatakiwa mapema sana totauti na CHAPUTA itakuua au pombe zitakuua.
Tuliooa tunajua sana
Hivi Kama mke wako ana mimba au amejifungua unashindwa nn kuvumilia? Hiyo mimba si umeweka ww? Huyo mtoto si wa kwako? Mlishawahi jiuliza ingekuwa ndo nyie wanaume mnapitia yote hayo halafu mke wako ashindwe kuvumilia?
 
Wewe bado unakuwa una Nyege za balehe Pia huna majukumu Siku ukikuwa Haya Maswali Hutapata muda wa kuyauliza.
 
Watu wanafiki sana humu,kiukweli bila kutafuna maneno ni kwamba hakuna mwanaue anayeridhika na mke mmoja huo ndo ukweli .....yan wewe kama ni mwanaume uliyetimia then ukahisi umetosheka na wanamke mmoja na hutamani nje,hebu jichunguze utakuwa una tatizo kubwa na haupo sawa.HII NI KANUNI YA MAUMBILE YA MWANAUME NA HUWEZI IGEUZA.
Ni kweli kabisa kwamba ndoa si ngono pekee,ndoa ni muungano wa vitu vingi.
Hata mpendane kama njiwa,utatamani tu nje,Ukitaka kuamini hilo,hebu siku itokee mamlaka fulani iwe ni serikali au Mungu,iseme/aseme "Kuanzia kesho asubuhi kila mwanaume aliyeoa achague moja,atafute mke mwingine au aendelee na yule yule aliyenaye sasa hivi"......majibu yatakayotoka hapo wewe unajua.
Sisi tuliokamilika tunaipata fresh kwa kuwa na mke mmoja ila tatizo ni ile kukosa uwezo wa kiuchumi kuhandle mke zaidi ya mmoja.Ila kuna mantiki kubwa sana ya kuoa mke zaidi ya mmoja na kiukweli uanenjoy japo chini ya akili za mzungu jambo hili linapingwa vikali,ila kimoyo moyo sisi wanaume tunakili hili.
Humu wote wanaotetea mke mmoja ni wanafiki wakubwa,nasema kwa kinywa kipana ni wanafiki wakubwa na huenda hao ndo wanaongoza kuangalia porn,na ndo wanaoongoza kuwa na backup nje.Sasa kwanini uangalie porn na kumbe mkeo anatosha kuliwaza macho yako?kwanini uangalie makalio ya wanawake wanaokatisha ktk macho yako wakati mkeo analo? Kwanini usifie dada flani mpole,dada yule ana mguu wa hatari,dada yule ana kisauti cha huba,dada yule anatisha jikoni,dada yule ana kimdomo cha kunyonya,dada yule ana shingo ya muanzi,dada yule sijui ana macho ya usingizi.......sifa hizi mkeo si anazo?.....Tuache unafiki wanaume wenzangu sisi tumeumbwa na tamaa na Mungu hajakosea kuumba idadi kubwa wanawake kuzidi ile ya wanaume,alishatusoma kitambo kwamba sisi wa kiume tupoje.Wala waislamu hawajakosea ktk sheria zao, HAKUNA MWANAMKE ALIYEKAMILIKA KIUMBO NA TABIA ETI KWAMBA ANA KILA KITU KAMA UNAVYOTAKA WEWE,ukiona mkeo ana "hiki" ujue "KILE" hana,anacho yule......hii ndo fact chungu.
Kwani kuna mwanaume mwenye kila kitu? Kwamba mke wake anaridhika na kila alicho nacho mume wake? Hakuna kitu kama hicho na kama ukisema uoe kila sifa unayoitaka basi utaoa hata wanawake kumi na tano
 
Hivi Kama mke wako ana mimba au amejifungua unashindwa nn kuvumilia? Hiyo mimba si umeweka ww? Huyo mtoto si wa kwako? Mlishawahi jiuliza ingekuwa ndo nyie wanaume mnapitia yote hayo halafu mke wako ashindwe kuvumilia?
Kuwa na mke mmoja ni ustaarabu tu uliwekwa na binadamu sio Mungu ndio ndugu zetu Waislam sio wanafiki katika hili wanajua sisi mwanaume huwezi kuishi na mke mmoja kabisa kwa penzi kabisa la uaminifu hata kwa mwaka mmoja,soma vizuri bible uone watu walivokuwa wanajirundikia wake mpk wajane.
But sisi tumekuwa undercover kwa juu juu kinafiki tukivunga mbele za wake zetu but uvumilivu unaousema wewe kwa mwanaume ni nadharia tu hata wewe nadhan ni victim ktk hili au labda km hujaooa au labda km ndoa yako ni mpya.
Asili ya mwanamke si ya kuwa na mme zaidi ya mmoja hii pia inajulikana so ukikuta mke wako anafanya hayo Hilo ni tatizo lake na wewe.
Wanawake ni wasiri sana wanatujua sana ila hawatwambii kwamba nenda kafanye
Imagine mke wako anajua asili ya jinsi unavompelekea moto kila siku na uwa huishiwi na nyege unadhan anakufikiriaje pindi unavosafiri labda mwezi mzima?

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Me mume wangu kama anachepuka sitaki kujua maana nikijua itakuwa ngoma droo...ajiandae kuchapiwa tu

Siyo kwamba ss tunaridhika sana na kibamia kimoja ..ila tu tunaamua kuheshimu ndoa. Halafu nyie mnaotumia bible kujitetea mnapotea tu Wala siyo mpango wa Mungu muwe na wake wengi hiyo n ya wanadam na tamaa zao wamenzisha ndo maana Mungu alimuumba mwanamke na siyo wanawake..angetaka muwe nao wengi angeumba mwanaume mmoja wanawake wengi.
 
Back
Top Bottom