Wanaume mliooa mke 1 mnashindaje changamoto hizi

Wanaume mliooa mke 1 mnashindaje changamoto hizi

Mwanaume mwenye mwanamke mmoja ni bwege,ujue huyo kishatengenezwa kwa mganga wa kienyeji na mkewe
 
Mwanaume yeyote hasiefanya shughuli za suluba sana km kulima,ukuri,kupasua kokoto na shughuli zingine nyingi hasa zile za kutoa jasho hawa kidogo wana nafuu sana ktk uvumilivu ukimwambia umechoka anakusikiliza kwa sababu nae kachoka but wale wenzangu na wa kwenye viti vya kuzunguka na mazoez kiasi,hakika ukinyima K hata kwa siku mbili nitajua pa kujipoozea mapema sana
Ndo mara nyingi tunapenda sana kutembelewa na wadogo zenu au dada zenu /shemeji na tunawakarimu sana wewe unafurahi kuwa namjari ndugu yako kumbe nae ananijari sana kila akija
Ukizingua wapo beki 3 huchezea sana fursa hizi unashangaa unakaa na beki 3 miaka hadi kumi analea watoto vizuri,kazi anafanya vizuri mpk mwenyew unasema yes sasa huyo anavotunza mmeo ni hakuna mfano ndo maana kadumu hapo miaka kumi
Shauri yenu
Me mume wangu kama anachepuka sitaki kujua maana nikijua itakuwa ngoma droo...ajiandae kuchapiwa tu

Siyo kwamba ss tunaridhika sana na kibamia kimoja ..ila tu tunaamua kuheshimu ndoa. Halafu nyie mnaotumia bible kujitetea mnapotea tu Wala siyo mpango wa Mungu muwe na wake wengi hiyo n ya wanadam na tamaa zao wamenzisha ndo maana Mungu alimuumba mwanamke na siyo wanawake..angetaka muwe nao wengi angeumba mwanaume mmoja wanawake wengi.
 
Nimekurupuka kufungua uzi nikajua mleta mada ni Great thinker na Muhenga kumbe toto flani kula kulala.
 
halafu jiulize wewe hayo maswali
1.ukiumwa mke wako anaenda kwa nani kutimiza haja zake?
2.na siku ukichoka je?
ukijibu hayo maswali nitarudi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Moja kwa moja kwenye mada, ukiwa na mke1 kuna changamoto nyingi sana ambazo mpaka uwe mwanaume uliyeooa ndio utaelewa..
1.Mwanamke akizaa unafanyaje katika kipindi anachonyonyesha?
2.Akiwa blid unafanyaje ?
3.Vp akiwa amechoka hajisikii kuwa na wewe kwa wakati huo...unafanyaje?
4.Akiwa anaumwa tunafanyaje?
Yako mengi sana kiukweli wengi mtasema nimeongelea upande1,ni kweli sisi wanaume wadhaifu sana katika mahusiano
Asante...
Kwani wewe huwa hauumwi, hauchoki, hausafiri??
 
Waislamu wakisikia hoja kama hizi wanashangaa kwani wao walishaona mbali . Mf. Anaposhika mimba asifanye mapenzi mpaka kujifungua ujumlishe na miezi sita baada ya kujifungua . Ni amri ya daktari , mke ni mmoja utafanyaje !? Ni chanzo cha nyumba ndogo ambazo hazipo kihalali .
 
Wakuu huyu ndugu ameongea kitu cha maana ingawa ameanza na point zw kujitetea. Kwa sisi wanaume ni nadra sana kuwa waaminifu 100% kwenye ndoa ya mke mmoja.

Wengi wetu tuna michepuko kibao na huku tunajidai waaminfu kwenye ndoa .

Haijalishi mke anaumwa au mzima au yupo kwenye bleed no sisi tunachepuka anytime ila huwa tunapotafuya sympathy kwenye jamii ndio tunaenda na hizo hoja za mleta Uzi.

Mke mmoja inatubidi either kiuchumi au mapokeo ya imani Zetu za kidini ila tunhefuata mila zetu za kiafrica nadhani kila mwanaume hapa Tanzania angekuwa na wake zaidi ya mmoja.
Mkeo pia anagongwa hvyohvyo ww unavyogonga nje
 
Acha unafki wewe,ndoa km hakuna sex acha kujisahaulisha
Kwan uyo sex ndo chakula cha asubui mchana na jioni?? Na wakasema watu wasipate emergency kama izo? Basi watu wasingekuwa wanazaa au kuugua kuhofia mwanaume kukosa sex......na umegusia upande mmoja, km umeoa kwa upande wako kwa mfano hata ukisafiri mkeo unamwachia nan
 
Huoni taabu mkileteana maradhi?
Mkuu ni ngumu sana kumchunga binadamu mwenye akili zake.

Akigongwa hovyo hovyo ni yeye na sehemu zake za uzazi.

Hata Mimi ninayoyafanya ni Mimi na viuongo zangu ndio waathirika.
 
Moja kwa moja kwenye mada, ukiwa na mke1 kuna changamoto nyingi sana ambazo mpaka uwe mwanaume uliyeooa ndio utaelewa..
1.Mwanamke akizaa unafanyaje katika kipindi anachonyonyesha?
2.Akiwa blid unafanyaje ?
3.Vp akiwa amechoka hajisikii kuwa na wewe kwa wakati huo...unafanyaje?
4.Akiwa anaumwa tunafanyaje?
Yako mengi sana kiukweli wengi mtasema nimeongelea upande1,ni kweli sisi wanaume wadhaifu sana katika mahusiano
Asante...
Kwa hiyo wewe unaoa ili kuwa na uhakika wa papuchi kila siku? Inaonekana huna mambo mengi ya kujishughulisha nayo kiasi kwamba kila siku lazima ulale nyumbani kwako.

Tanzania ya viwanda.
 
Me pia naomba kuuliza wenye mume mmoja wanashindaje changamoto za mume akiwa anaumwa...akiwa hajisikii..akiwa amesafiri...akiwa amechoka.
Mwanaume kuumwa mpk hashindwe kupiga miti huyo labda awe ICU
Imagine mtu kalazwa hospital yupo hoi but bado nurse au doctor anapewa sound na analiwa sembuse mke! !!!You must be kidding
Yaani mwanamke ajisikie kutombwa eti umwambie hujisikiii?
Kwanza mwanamke uwa aombi kutiwa bali uonyesha dalili za kutaka kufanywa ili wewe ujiongeze,ukiona kakuomba ujue you are too much,hufai kabisa,takataka kabisa ni haki utombewe,
HUJISIKII:Unableed?
Una mimba?
Mbolo imekatwa?
Hacha hizo please my friend
 
Acha unafki wewe,ndoa km hakuna sex acha kujisahaulisha
Lakin sio kwa namna anavyozungunzia mtoa mada ka vile ni chakula yaani, mwenzio anaumwa we raha ya ngono unatoa wapi?, ni kweli bila tendo ndoa sio ndoa lakin haimanishi kukosa tendo kwa siku kadhaa utashindwa kuishi
 
Back
Top Bottom