Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,575
- 3,109
Zamani mwanaume akitaka kumuoa Binti, alichunguza vigezo vingi Sana ambavyo vilipekea Kwa kiasi Fulani ndoa kuwa na amani lakini sasa hivi mambo yamekuwa ndivyo sivyo
VIGEZO AMBAVYO WANAUME WALICHUNGUZA ZAMANI
1 Bikra kutoka Kwa mwanamke; Mwanamke mwenye Bikra alionekana wa dhamani Sana na alikimbiliwa na wanaume wengi.Hii ni sababu anakuwa amejitunza na mengi Sana ikiwemo magonjwa, alionekana ana adabu na kujiheshimu.
2 Mwanamke anayejua kupika; Mwanamke mapishi zamani mwanaume alichunguza kama Binti anayemchumbia anajua kupika vyakula vingi kama si vyote.Hii ilikuwa ni chocheo la mwanaume kumfukuzia mwanamke.
3 Mwanamke mwenye sura nzuri na tabia nzuri; Wanaume wa zamani waliangalia Sana sura ya mwanamke na akiwa na sura nzuri basi watenda mbali wataangalia kama ana tabia nzuri.Tofauti na wanaume wa sasahivi wanaoishia kuangalia sura na shepu BIla kuchunguza tabia.
4 Mwanamke anayeweza kufanya kazi za nyumbani; Wanaume wa zamani waliangalia kama anajua kuosha vyombo anadeki anapika anawafundisha watoto anamwandalia mume wake nguo na huduma zote zinginezo.
VIGEZO VYA WANAUME WA SASA
Hivi vigezo vimechangiwa Sana na utandawazi
1 Wanawake wasio na watoto (Sio singo mama);Kigezo Cha msingi Cha mwanamke kuolewa akiwa na Bikra katika Dunia ya sasa ya utandawazi imekuwa adimu kiasi kwamba wanaume wameona Bora watafute wanawake ambao hawana watoto.Wanawake wanajiuza mavyuoni na wengine wanakuwa wameanza mapenzi tangia Shule ya msingi.
2 Wanawake wenye shepu:Shepu sio Mbaya hata Mimi nampenda mwanamke aliyenona nyuma ila akiwa Hana akili Wala tabia nzuri pamoja na heshima ni Bora niishi na pasi inayonisikiliza amri zangu.Shepu isiwe kigezo Cha kualika matatizo ndani ya nyumba Yako.
3 Wanawake wenye kazi ; Kutokana na kutaka urahisi wa kuendesha maisha wengi wamekimbilia wanawake wenye Hela Ili wasaidiane maisha nikiwa mmoja wao.Ila jukumu la kumhudumia mke na familia linabakia pale pale Kwa mwanaume.
KUTOKANA NA VIGEZO VYA WANAUME WA SASA WENGI WAMEPATA ADHARI ZIFUATAZO
1 Wanapata unyumba kwa manati Sana:Sababu wote mwanaume na mwanamke wanafanya kazi wote wanarudi wamechoka.Mwanamke Kila siku Anadai amechoka akiombwa penzi na Mumeo.
2 Nyumba ndogo za kutosha;Haya ndyo matokeo ya kunyimana unyumba hasa Kwa asilimia 99.9 mwanamke ndyo anakuwa ameshindwa kumtimizia Mumeo haki yake.
3 Mume hajawahi kuonja chakula Kwa mkeo;Sababu wote wanarudi saa mbili au saa Moja usiku wamechoka wanamtegemea House gelo awapikie chakula.
4 Mapenzi kuhamia Kwa House girl ;Kila siku mume anapikiwa chakula kitamu na house girl unategemea nani atapendwa na Kusifiwa zaidi Mbaya zaidi kutolewa unyumba kwa manati kunamfanya ndyo mwanaume azidi kujivuta Kwa House gelo
5 Dhamani ya mwanamke haionekani ndani ya nyumba;
Dhamani ya mwanamke katika ndoa IPO katika kazi za ndoa alizotakiwa kuzifanya.Kama mwanamke hafanyi haya ndani ya ndoa basi Hana umuhimu Tena kwenye ndoa;
##Hamfulii mume wake na watoto wake nguo(watoto pindi ni wadogo)
##Hampikii mume wake
##Hafanyi kazi yoyote ndani ya nyumba
##Hamuandalii Mumeo nguo za kuvaa
##Hana muda wa kuongea na mume wake na kuwa tulizo kwake
##Hatoi unyumba kwa mume wake mpaka aombwe Sanaaaaa utadhani mume Hana haki na mwili wake
##Anafanya kazi haya basi amsaidie anakataa anasema pesa ya mwanamke ni ya mwanamke[emoji119][emoji119]
##Hajawahi pata muda kuwalea watoto ni yeye na smartphone au yeye na Sinema zetu
## Hamuheshimu mume wake .Anamuona mume wake kama mshindani mwenzake na kumkosea adabu.
6 Mwanamke kuwa mzigo Kwa mumewe.Mapenzi ni pande zote kama mwanamke atataka afanyiwe yeye tu BIla yeye kufanya anachopaswa kufanya basi hapo hamna mapenzi Bali unyonyaji.
Hapa ndyo misemo ya WAKATAA NDOA INAPOKUJA.
##NI VIZURI WANAUME WA SASA TUNAPOCHAGUA WANAWAKE TUSISAHAU KUONGEZEA NA VIGEZO VYA MABABU ZETU .
## OLD IS GOLD