Wanaume mliooa mke 1 mnashindaje changamoto hizi

Wakuu huyu ndugu ameongea kitu cha maana ingawa ameanza na point zw kujitetea. Kwa sisi wanaume ni nadra sana kuwa waaminifu 100% kwenye ndoa ya mke mmoja.

Wengi wetu tuna michepuko kibao na huku tunajidai waaminfu kwenye ndoa .

Haijalishi mke anaumwa au mzima au yupo kwenye bleed no sisi tunachepuka anytime ila huwa tunapotafuya sympathy kwenye jamii ndio tunaenda na hizo hoja za mleta Uzi.

Mke mmoja inatubidi either kiuchumi au mapokeo ya imani Zetu za kidini ila tunhefuata mila zetu za kiafrica nadhani kila mwanaume hapa Tanzania angekuwa na wake zaidi ya mmoja.
Mtu hawezi chepuka kwa sababu alizosema mtoa mada mtu anachepuka kwa tamaa zake tu tena usishangae huyo mke wake ndani analalamika hapati tendo ila jamaa nje ni kiwembe
 
Watu wanafiki sana humu,kiukweli bila kutafuna maneno ni kwamba hakuna mwanaue anayeridhika na mke mmoja huo ndo ukweli .....yan wewe kama ni mwanaume uliyetimia then ukahisi umetosheka na wanamke mmoja na hutamani nje,hebu jichunguze utakuwa una tatizo kubwa na haupo sawa.HII NI KANUNI YA MAUMBILE YA MWANAUME NA HUWEZI IGEUZA.
Ni kweli kabisa kwamba ndoa si ngono pekee,ndoa ni muungano wa vitu vingi.
Hata mpendane kama njiwa,utatamani tu nje,Ukitaka kuamini hilo,hebu siku itokee mamlaka fulani iwe ni serikali au Mungu,iseme/aseme "Kuanzia kesho asubuhi kila mwanaume aliyeoa achague moja,atafute mke mwingine au aendelee na yule yule aliyenaye sasa hivi"......majibu yatakayotoka hapo wewe unajua.
Sisi tuliokamilika tunaipata fresh kwa kuwa na mke mmoja ila tatizo ni ile kukosa uwezo wa kiuchumi kuhandle mke zaidi ya mmoja.Ila kuna mantiki kubwa sana ya kuoa mke zaidi ya mmoja na kiukweli uanenjoy japo chini ya akili za mzungu jambo hili linapingwa vikali,ila kimoyo moyo sisi wanaume tunakili hili.
Humu wote wanaotetea mke mmoja ni wanafiki wakubwa,nasema kwa kinywa kipana ni wanafiki wakubwa na huenda hao ndo wanaongoza kuangalia porn,na ndo wanaoongoza kuwa na backup nje.Sasa kwanini uangalie porn na kumbe mkeo anatosha kuliwaza macho yako?kwanini uangalie makalio ya wanawake wanaokatisha ktk macho yako wakati mkeo analo? Kwanini usifie dada flani mpole,dada yule ana mguu wa hatari,dada yule ana kisauti cha huba,dada yule anatisha jikoni,dada yule ana kimdomo cha kunyonya,dada yule ana shingo ya muanzi,dada yule sijui ana macho ya usingizi.......sifa hizi mkeo si anazo?.....Tuache unafiki wanaume wenzangu sisi tumeumbwa na tamaa na Mungu hajakosea kuumba idadi kubwa wanawake kuzidi ile ya wanaume,alishatusoma kitambo kwamba sisi wa kiume tupoje.Wala waislamu hawajakosea ktk sheria zao, HAKUNA MWANAMKE ALIYEKAMILIKA KIUMBO NA TABIA ETI KWAMBA ANA KILA KITU KAMA UNAVYOTAKA WEWE,ukiona mkeo ana "hiki" ujue "KILE" hana,anacho yule......hii ndo fact chungu.
Usituzungumzie wote mkuu, mwanamke moja anatosha kabisa shida ni kwenye kuwaamini
 
Ila sio MNAFIKI kaeleza na kuuliza maswali ambayo kila mwanaume alieooa uwa anayapitia.Ni sawa unaweza mvumilia kipindi anaumwa au yupo bleed hii inaeleweka kabisa.
But ni Ngumu kumvumilia mwanamke mvivu anaesema kila siku kachoka na kazi za ofisini au nyumbani au eti hajisikii kufanya mapenzi unapewa K kwa mafungu,hiyo hapana bwn.
Pia sio rahisi kumvumilia mwanamke mwenye mimba mpk ajifungue aelee mtoto mpk njia ipone ndo utombe,mmmh haiwezekani
Imagine kuna wanawake ambao mimba mwezi wa kwanza eti mimba haikutaki kila akikuona anatapika!!!Utaishije mpk ifike miezi tisa mnabakana tu mwisho mharibu mimba???
Hapa lazima msaidizi anatakiwa mapema sana totauti na CHAPUTA itakuua au pombe zitakuua.
Tuliooa tunajua sana
Kesi ya uvivu ni tofauti sana na hii ya mtoa mada
 
Wanawake wakiishi pamoja kuna uwezekano mkubwa sana wakawa wanaona period zao pamoja . Sasa unapooa wanawake zaidi ya mmoja kwa kutegemea eti huyu akibleed utaenda kwa mwingine inaweza ikawa sio hivyo .
She says the idea started with research findings published in Nature, a scientific journal, in 1971. A researcher called Martha McClintock studied the menstrual cycles of 135 women in an American college.
"[McClintock] found that the onset of the date of menstruation was more similar among friends and roommates than among random pairings of women," says Alvergne.
Dr McClintock hypothesised that this was because the women who were spending time together had the chance for their pheromones to affect each other

Source BBC magazine September 7th 2016
 
Ukioa unatenganisha mkuu mtaa X na Y
 
Wanaume walioowa mwanamke mmoja, jua hao wanawafanyia wake zao ukatili wa kimwili na kiasaikolojia na kwa hili nawashauri wanawake waandamane kupinga hili

Iweje pindi mwanamke amebeba mimba na bado anaingiwa na mumewe? hizi ni tamaa na ushetani, hivi niwaulize kuna kiumbe yeyote anaefanya ukatili huu na unyanyasaji huu kwa mkewe kama si binadamu

mwanaume owa angalau zaidi ya wake wawili ili pindi mmoja akiwa na ujauzito, mke mwingine anamsaidia majukumu,

tumewageuza wanawake wetu punda wa kubeba uchafu wa kila aina hadi pindi anapokuwa na roho mpya mwilini mwake.

Ndo maana watoto wanaozaliwa miaka hii washachafukwa, sababu washachafuliwa angali wapo tumboni

NB.
AKILI YA MAMA NA AKILI YA MTOTO ALIYEKO TUMBONI ZINAENDANA NA KILA ANACHOKIHISI MAMA KIWE KIBAYA AU KIZURI NDIVYO MTOTO ANAVYOHISI

Kama unafanya ngono na mkeo wakati ana ujauzito jua kuwa mihemko ya kingono anayohisi mama katika hali halisi ndivyo mtoto anahisi hivyo hivyo akiwa tumboni

Kwa hiyo utakuwa unafanya ngono na jinsia mbili tofauti mama na mtoto kwa pamoja. (jiulize mtoto atakayezaliwa hapa atakuwa na tabia gani?)

Hili jambo ni chukizo na hakuna mnyama au kiumbe chochote kinafanya ufedhuli huu
 
Mwanaume kuumwa mpk hashindwe kupiga miti huyo labda awe ICU
Imagine mtu kalazwa hospital yupo hoi but bado nurse au doctor anapewa sound na analiwa sembuse mke! !!!You must be kidding
Yaani mwanamke ajisikie kutombwa eti umwambie hujisikiii?
Kwanza mwanamke uwa aombi kutiwa bali uonyesha dalili za kutaka kufanywa ili wewe ujiongeze,ukiona kakuomba ujue you are too much,hufai kabisa,takataka kabisa ni haki utombewe,
HUJISIKII:Unableed?
Una mimba?
Mbolo imekatwa?
Hacha hizo please my friend
Kama kuchapiwa mtachapiwa tu.. Hata kama ukiumwa unajikakamua
 
Fact..Hui huwa inatokea
Wanawake wakiishi pamoja kuna uwezekano mkubwa sana wakawa wanaona period zao pamoja . Sasa unapooa wanawake zaidi ya mmoja kwa kutegemea eti huyu akibleed utaenda kwa mwingine inaweza ikawa sio hivyo .
She says the idea started with research findings published in Nature, a scientific journal, in 1971. A researcher called Martha McClintock studied the menstrual cycles of 135 women in an American college.
"[McClintock] found that the onset of the date of menstruation was more similar among friends and roommates than among random pairings of women," says Alvergne.
Dr McClintock hypothesised that this was because the women who were spending time together had the chance for their pheromones to affect each other

Source BBC magazine September 7th 2016
 
Wanaume walioowa mwanamke mmoja, jua hao wanawafanyia wake zao ukatili wa kimwili na kiasaikolojia na kwa hili nawashauri wanawake waandamane kupinga hili

Iweje pindi mwanamke amebeba mimba na bado anaingiwa na mumewe? hizi ni tamaa na ushetani, hivi niwaulize kuna kiumbe yeyote anaefanya ukatili huu na unyanyasaji huu kwa mkewe kama si binadamu

mwanaume owa angalau zaidi ya wake wawili ili pindi mmoja akiwa na ujauzito, mke mwingine anamsaidia majukumu,

tumewageuza wanawake wetu punda wa kubeba uchafu wa kila aina hadi pindi anapokuwa na roho mpya mwilini mwake.

Ndo maana watoto wanaozaliwa miaka hii washachafukwa, sababu washachafuliwa angali wapo tumboni

NB.
AKILI YA MAMA NA AKILI YA MTOTO ALIYEKO TUMBONI ZINAENDANA NA KILA ANACHOKIHISI MAMA KIWE KIBAYA AU KIZURI NDIVYO MTOTO ANAVYOHISI

Kama unafanya ngono na mkeo wakati ana ujauzito jua kuwa mihemko ya kingono anayohisi mama katika hali halisi ndivyo mtoto anahisi hivyo hivyo akiwa tumboni

Kwa hiyo utakuwa unafanya ngono na jinsia mbili tofauti mama na mtoto kwa pamoja. (jiulize mtoto atakayezaliwa hapa atakuwa na tabia gani?)

Hili jambo ni chukizo na hakuna mnyama au kiumbe chochote kinafanya ufedhuli huu
Mwanamke akiwa mjamzito hafanyi ngono?
 
Mwanamke akiwa mjamzito hafanyi ngono?
Najua unasubiri nikujibu ndiyo ili unijibu kisayansi kama wanasayansi wanavyofikiria (wanavyotudanganya) wanaongelea faida za kufikirika bila kuainisha hasara (halisia)

Pindi mwanamke anapotambua kuwa anaujauzito hapo swala la ngono halihitajiki tena.
 
Kwa sababu gani? Na akijisikia kufanya tendo la ndoa afanyeje.?
 
Back
Top Bottom