IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,033
Moja kwa moja kwenye mada, ukiwa na mke1 kuna changamoto nyingi sana ambazo mpaka uwe mwanaume uliyeooa ndio utaelewa..
1.Mwanamke akizaa unafanyaje katika kipindi anachonyonyesha?
2.Akiwa blid unafanyaje ?
3.Vp akiwa amechoka hajisikii kuwa na wewe kwa wakati huo...unafanyaje?
4.Akiwa anaumwa tunafanyaje?
Yako mengi sana kiukweli wengi mtasema nimeongelea upande1,ni kweli sisi wanaume wadhaifu sana katika mahusiano
Asante...