Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,844
- 52,251
Thanks God my man is very responsible.Utakuwa na ujinga wa kiwango cha standard gauge kama utajaribu ku compare maisha ya mwanaume akiwa ghetto na ya ndani ya ndoa.
Inaonesha hujui wajibu wako na ni mwanamke wa kushindia tamthilia (mvivu) sana maana KE wa sharp hawapo hivyo ivyo.
We kaa ukijua kama mwanamke wa tamaduni ya ki TZ hata kama umekulia hyatt regency, una wajibu wa kufanya chores zote ndani ya nyumba hio ni pia na kumhudumia mumeo lioneee kwanzaaa...Nyie ndio minyumba yenu imejaa mimende kwa uchafu..Acha uvivu na kulalamika ovyo wewe
Hapendi uchafu aisee akivua nguo anaweka kwenye dustbin
Akiona nipo busy anafanya anachotaka kufanya.
Nikitangulia kutoka anatandika kitanda.
Na mengine meengi ambayo huwa namsifu kwa uanaume wake.
Hivyo kuniambia ndoa itanishinda teh teh teh.
Wewe tafuta tu mwanamke utakayemfanya housegirl na siyo msaidizi wako.
we, we, we amka utafute kesho utajifunza kupangavitu.