Ulishawahi kukuta mahali mwanaume anafundishwa kua mwanaume?? kama nyinyi mlivyo na seminar kila mahal... lakn je, kwann wanaume wote wanatabia zinazo fanana? kawafundisha nani?
Hiyo n Nature... ama asili, ndivyo tulivyo umbwa, tatizo lenu kina mama mnajaribu mno tena kwa kias kikubwa to violate the nature, mnatoka kwenye asili, alafu mnalalamika mnataka mwanaume nae atoke, huyu mleta mada siku chache zilizopita alileta mambo ya kuosha vyombo, kudek, kufua, kuogesha mtoto, kupika nk.. real??? kuna haja gani ya mm kua na mke nyumban sasa???
Mambo ya kusaidiana yapo, lakin kwa zaid ya 95% ni maswala ya kusimama kwenye role yako, kama n baba au mama