Kuna wanaume wanapenda u-mwinyi bwana, yaani anaamka anaenda kuoga wakati anaoga unatandika kitanda na kuweka mazingira ya chumba vizuri. Unakwenda jikoni kuandaa chai, anatoka bafuni na taulo kiunoni anatafuta atavaa boxer na kama atakumbuka mafuta basi itakuwa kwenye viganja vya mikono. Taulo atakuachia juu ya kitanda si tatizo lake tena.
Mezani umeandaa chai na vitafunio hata kama chumvi haisikiki mfano kwenye mayai atakuita ukamchukulie jikoni hapo ni baada ya kukuita umletee maji ya kunawa na tissue ya kujikaushia.
Yaani ameshindwa kabisa kwenda kunawa jikoni au bafuni au kwenda jikoni kuchukua chumvi. Na akimaliza kula hataondoa hata kijiko mezani anaacha kila kitu pale anakwenda kukaa kwenye sofa anaangalia mpira, kusoma gazeti au anachat kwenye simu. Hiyo ni weekend.
hahahaha eti anasikiliza maelekezo!haaha maelekezo toka juu eti eh !semaga hv MSIKILIZANE
Hahahaahhah! dada yangu umenchekesha. kwa hiyo at least angekuwa na hela ungemuelewa?Ni 99% watakuambia unataka haki sawa. Umesahau akivua nguo kwenda kuoga anaziacha pale aliposimama tena chini kabisa halafu hana hela hata.
Sent using Jamii Forums mobile app
ahahahhahahahhahahahahahaha! aiseee leo wamekufumua wadauIle umeamka asubuhi ukawahi sehemu ukamuacha kalala ukirudi jioni hajatandika kitanda, hajaoga kalala kisa haukuwepo ukamuandalia maji utafikiri unaishi na chizi. Wanawake tuna tabu sana.
nakupakata? yaan dume zima ina kilo 90 nilipakate mm wa kilo67?? au sijakuelewa mkuu!heheheh niolewe tena bas jaman kha
Mmmh me wanisamehe tu, mwili huu nimpakate mtu khaaaNdo hivyo muanzage kufanya mazoezi ya kubeba vyuma ili kupakata kilo zilizowazidi..
espy Heaven Sent demi Neybright
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh me wanisamehe tu, mwili huu nimpakate mtu khaaa
kabila lako ni kabila gani mkuu..?[emoji15] [emoji15] [emoji15] elewa hukupata mwanaume kama mimi yaani hiyo ndoa ingevunjika njiani!
Nitaendelea kupenda na kusifia watoto wa kike toka kabila langu maana hayo yote ndio majukumu ya mwanamke anaejitambua
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Wanawake kama hawa huwa inafikia wakati wananyang'anywa Waume zao na Wafanyakaz wao,sababu ya uvivu,jamii yetu ya Kiafrika ndivyo ilivyotulea hata tulipokuwa na Wazaz wetu,ndivyo walivyoishi labda kwenu ni tofaut na hili nalolisema,hatukatai Mwanaume kumsaidia Mke wake hiyo ni hiari na siyo lazima,ukiendelea hivyo hiyo ndoa itakushindaHayo mambo tushazoea kwenye ndoa we r Tanzanian hata usomeje mwanamke lazima mumeo umhudumie kila kitu wengi tunafundishwa hvyoo
Ni jambo la kawaida pia kwetu ukiona ananuna mke hajafundwa au uzungu mwingi
My own brand!!
Umechemka mkuu,upo kabisa nje ya madaWanaume wa mara hawana huo u mwinyi muda wote wanawaza vita, kama apo ndio umemwekea chai yeye muda wote anawaza wapi lilipo panga lake na mishale yake.
Wanawake wa mjini hasa hawa wanaojiona wasomi ni matatizo,yaani mtataka mpaka Waume zenu walee Watoto na kupangiana kuosha vyombo,na hawa wapo,ila ni aibu sana Mwanaume kufanya haya kwa kulazimishwa ila kwa hiari yake poaNature mbona mkiwa kwenye mageto yenu hamfanyi hivyo !?
Huwa inaboa sana mtu anasimama anavua nguo anaacha hapo hapo.
Taulo kitandani,upo unapika anakuita kamletee glass mara kidogo kaita umtafutie charger,
Hujarudi vizuri anaulizia remote,
Ukikaa ujiandae uepue unaitwa ukawashe ac/feni.
Mpaka ifike jioni unatamani aondoke tu walau upumzike !
Hujaelewa mada.Wanawake wa mjini hasa hawa wanaojiona wasomi ni matatizo,yaani mtataka mpaka Waume zenu walee Watoto na kupangiana kuosha vyombo,na hawa wapo,ila ni aibu sana Mwanaume kufanya haya kwa kulazimishwa ila kwa hiari yake poa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa vidogo hakika ni keroHujaelewa mada.
Kuna gender roles zinajulikana.
Ila kuna vitu vidogo vidogo vya mtu kujitegemea na kumpunguzia mtu majukumu.
Unaona wanawake wa mjini ila hauoni wanaume wa mjini wanaotaka kuhudumiwa financially and materially.
Bila shaka utakuwa mwanamke mfupi wewe!Kuna wanaume wanapenda u-mwinyi bwana, yaani anaamka anaenda kuoga wakati anaoga unatandika kitanda na kuweka mazingira ya chumba vizuri. Unakwenda jikoni kuandaa chai, anatoka bafuni na taulo kiunoni anatafuta atavaa boxer na kama atakumbuka mafuta basi itakuwa kwenye viganja vya mikono. Taulo atakuachia juu ya kitanda si tatizo lake tena.
Mezani umeandaa chai na vitafunio hata kama chumvi haisikiki mfano kwenye mayai atakuita ukamchukulie jikoni hapo ni baada ya kukuita umletee maji ya kunawa na tissue ya kujikaushia.
Yaani ameshindwa kabisa kwenda kunawa jikoni au bafuni au kwenda jikoni kuchukua chumvi. Na akimaliza kula hataondoa hata kijiko mezani anaacha kila kitu pale anakwenda kukaa kwenye sofa anaangalia mpira, kusoma gazeti au anachat kwenye simu. Hiyo ni weekend.
Naona mnafuga walemavu.Ni kweli remote ipo hapo karibu yako, nipo jikoni unaniita nikupe remote kama huo sio ulemavu ni nini?
Alie mtumwa.Tafsiri ya mke mwema ni ipi?