Wanaume : Kwanini mnapenda kula bar?

Wakienda bar wanakula makongoro, mapupu, vichwa, ulimi etc.....
vyakula vimepikwa na kuandaliwa kwenye mazingira machafu
Comeon grow up and change ur bad habits. Chakula kizuri chapatikana nyumbani.

we hujui utamu wa chakula cha bar. hebu fikiria upo pale MA'TA'KO bar arusha unapiga menu huku mtoto mzuri anakula mbele yako mala mwingine anakatiza ana buster la kufa mtu raha iliyoje?
 
Mke apike muda wa kujiona kwenye vioo autoe wapi?Kucha zake za kubandika ziharibike!Thubutu kama unataka aone unamtesa!!
 
tatizo ladha mama

Haijalishi wakati mwingine huwa tunataka matatizo wenyewe, eti mwanaume anarudi anakwambia ameshiba unachukulia poa tu, lazima aandike statement amekula wapi so siku nyingine lazima ale kiduchu coz chakula changu lazima ale.
 
Wakianza kupewa masharti na daktari; usile chumvi, usile mafuta, usile sukari etc (God Forbid) wataanza kula nyumbani wenyewe....

Umeona eeh, kwa uroho wao wanaishia kula mimafuta tu na red meat daily kiasi kwamba sio afya tu inaharibika hata uwezo wa kumridhisha mama unapungua.
Junk food sio kabisa.
 
By that time unadhani utakuwa na hamu hata na hiyo special treatment....utakuwa ukitoka job moja kwa moja home; na utalaani nyama choma zote ulizokuwa unafakamia; utaona bar kama kituo cha polisi

zipo bar zinatoa special diet kwa wagonjwa,,,,,,,,,,,,
 
Najua sio jambo jema kwa mume kula kwenye baa wakati ana mke nyumbani
Lakini unapojadili jambo kama hili ni vyema ukaweka na yale ambayo yanaweza kumhamasisha mume kula bar ili kupata majibu ya maswali haya

Pia kuna kauli za kumwambia mtu kosa lake lakini hii iliyotumika hapa inaongeza tatizo badala ya kulitatua!

Lakini hivi mnajua faida zinazopatikana huko bara au mnaongea tu hapa?
Unapozungumzia jambo zungumzia faida na hasara sio hasara tu au faida tu!
 
Mleta mada kwa taarifa yako nzi wa bar wanajua kuhamasisha. Home hakuna shamrashamra za nzi.
 
Sikuombei mabaya...ila usije ukanikumbuka...

Watu siku hizi wamekuwa wagonjwa tena wengi na umri mdogo sababu ya life style...

Mtu mmoja anakula kilo nzima ya kiti moto mara tatu kwa wiki...unategemea nini...

ingekuwa kweli hizi Bar zisingejaza kama zinavyojaza sasa hivi,,,,,,,,,
 
Sikuombei mabaya...ila usije ukanikumbuka...

Watu siku hizi wamekuwa wagonjwa tena wengi na umri mdogo sababu ya life style...

Mtu mmoja anakula kilo nzima ya kiti moto mara tatu kwa wiki...unategemea nini...

kuhusu mimi wala usijali,,,,,,,,,,,,

ukiniona live utakubali kuwa nipo vizuri sana kiafya,,,,,,,,,

pamoja na mtu kula bar , ni vizuri kuangalia afya yako siyo vizuri mtu hujafikisha hata miaka 45 umeshaanza kuendekeza kitambi.
 
Najua sio jambo jema kwa mume kula kwenye baa wakati ana mke nyumbani
Lakini unapojadili jambo kama hili ni vyema ukaweka na yale ambayo yanaweza kumhamasisha mume kula bar ili kupata majibu ya maswali haya

Pia kuna kauli za kumwambia mtu kosa lake lakini hii iliyotumika hapa inaongeza tatizo badala ya kulitatua!

Lakini hivi mnajua faida zinazopatikana huko bara au mnaongea tu hapa?
Unapozungumzia jambo zungumzia faida na hasara sio hasara tu au faida tu!

mkuu Eiyer,

do you know that most of the women are the catalyst for men to get their foods in the bars?

mimi haitokaa itokee niwe na mke nisiyejua ladha ya mapishi yake!!!!!!!

wengi wao wanasingizia muda, eti ohh dear, i have no time to cook for you!

WTF!!!!!!!!!!!!

kwangu utapika tuuuuuu!!! hata kama mi unsugared porridge!
 
Last edited by a moderator:

mmmmmnnnnhhhhhh!!
Umetisha mzeiyaa..
 
Last edited by a moderator:
Walio single utawajua kwa maandishi yao. Lol

mkuu Eiyer,

do you know that most of the women are the catalyst for men to get their foods in the bars?

mimi haitokaa itokee niwe na mke nisiyejua ladha ya mapishi yake!!!!!!!

wengi wao wanasingizia muda, eti ohh dear, i have no time to cook for you!

WTF!!!!!!!!!!!!

kwangu utapika tuuuuuu!!! hata kama mi unsugared porridge!
 
wakinadada wa siku hizi wanajua kupika basi ndugu yangu!!!! wanafichaga udhaifu wao wa kutojua kupika kupitia wa house girl maana yeye atajidai yuko bize saa zote wala huwezi kumkuta anaingia jikoni. ila mimi nawalaumu sana mama zetu tena hawa wamama wa umri wa kati ambao binti zao ndio wanaolewa sasa. wao waliishia kuwakazania tuu watoto wa kike wasome tuu masomo ya darasani bila kuwafundisha study za maisha ikiwamo kupika na kutunza mume. matokeo yake wametuzalishia wake vimeo ambao hata ugali hawezi kusonga acha namna ya kuhandle mume kwenye Nyanja zote haswa kule kwa 6*6. wao wanachojua ni outing na kuishia kula mavyakula ya take away!!!!! hopeless
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom