Wanaume : Kwanini mnapenda kula bar?

Wanaume : Kwanini mnapenda kula bar?

Wakienda bar wanakula makongoro, mapupu, vichwa, ulimi etc.....
vyakula vimepikwa na kuandaliwa kwenye mazingira machafu
Comeon grow up and change ur bad habits. Chakula kizuri chapatikana nyumbani.
mimi nadhani nyinyi akina mama ndio mnapaswa kuja na majibu ya hili swali lako
wanawake wa siku hizi hawafahamu kupika na kama wanafahamu ni wajeuri wanakesha facebook, JF etc. Bora kula bar ambapo unakaribishwa vizuri na kwa bashasha na wahudumu
@Mokoyo umemaliza kila kitu
 
Eti chakula cha bar kichafu!!??? Tatizo unaishi manzese, utapata wapi bar nzuri?
Wanawake hamuishi gubu,mara siachi hela yakutosha! khaaa....
 
Wanawake wa siku hizi ni wavivu sana, wanapenda kulala kila kitu anafanya housegirl, ukiwaambia wakutengenezee supu utadhani ni taulo la kuogea limelowekwa.Baa kwa Mrema unapata supu ya kichwa cha mbuzi saaafi... hakuna kusubiri.
 
Wanawake wakishaingia kwenye ndoa kutwa kwenye BBM,INSTAGRAM,FACEBOOK,WASUP,kutinda nyusi na kukodplea macho kioo muda wa kupika ataupata wapi!
 
the....tehe...tehe.... zaidi ya asilimia 70% ya majibu ni ya kweli hivyo wakinadada jirekebisheni.
inauma unafika unakuta chakula kwenye hotpot ujihudumie mwenyewe mama yuko bize na tamthilia unategemea nini? mlango umefungua mwenyewe, mzigo uliokuja nao umejipokea mwenyewe chakula umenunua mwenyewe hakuna hata anayekusogeza katika familia kukupa faraja kwa jinsi ulivyotoka kutafuta japo akupakulie chakula na kukusemesha maneno matamu.
matokeo yake akisogea wakati anakula anaanza na bili zake au unaagiziwa ukiwa dining room yeye yupo sebuleni anaangalia tamthilia utasika.
mchele umeisha, nataka kwenda nyumbani kusalimia, baba fulani ile hela ya mchango wa sendoff kwa ajili ya mamafulani vipi akiona unataka kukwama kwa mbali analeta story ya mtoto wako unayempenda nilipitia daftari la janeth anafanya vizuri sana kama inawezekana tumtafutie tution ili aweze kwenda vizuri zaidi.
sasa hamu ya chakula inatoka wapi?
 
nije kula we ushalala nakulaje ss c bora nile uko iko chako watanywea chai watoto asubuhi
 
Ni ubinafsi tu wa wanaume.
Nimeiona kwenye vijiji vingi huku kwenye jimbo lá Zitto. Nyumbani mlo mmoja tena saa kumi na mbili jioni, lkn baba mwenye nyumba asubuhi yuko mgahawani anakula wali maharage na chai, mchana mishikaki na ugali/wali jioni ndio ananunua 'kamemelo' kopo 2 za unga na dagaa fungu mbili (hawafiki hata 100 ukiwahesabu) huyo nyumbani. Watoto na wake walishinda shambani na kurudi na mizigo ya kuni.

Sasa mjini, wababa kaacha nyumbani 10,000 ndio mkate, mboga ya mchana na usiku, unategemea ktk família ya watu 6 utakuta mezani mchemsho wa kuku kweli zaidi ya wali, beans, mchicha na tango kama tunda?

Hizo excuse za Housegirl kwani bar anayepika sio bar girl/boy?

miss u..
naomba uache ku mention vidume wengine
haki hiyo ni yangu peke yangu lol
 
miss u..
naomba uache ku mention vidume wengine
haki hiyo ni yangu peke yangu lol

miss you too hubby
usijali sinta mention tena vidume wengine zaidi yako sweetie, ila nawe punguza kuchombeza vidada humu MMU.
 
Wakienda bar wanakula makongoro, mapupu, vichwa, ulimi etc.....
vyakula vimepikwa na kuandaliwa kwenye mazingira machafu
Comeon grow up and change ur bad habits. Chakula kizuri chapatikana nyumbani.
Kwanza mleta mada hapa unaonesha dhairi ulivyo local woman with zero exposure, Wewe badala ya kumsema mumeo mwenye tabia hizo za kwenda kwenye mataputapu na kushushia na bite za vichwa vya kuku, utumbo na miguu ya kuku badala yake unataka kugenalise watu hapa.

Tena futa kauli ---- maana wenye Mabar wakikusikia wanaweza kukudai fidia ambato ukoo wako mzima hawa uwezo wa kulipa.

jifunze upya kusubmet mada zako hapa usidhani kila anayesoma ni wa level yako.

Hotel zote unazozijuwa wewe zina bar na watu kila siku tunakunywa humo na kula tena vyakula ambavyo kuandaa makwetu kwa ubora huo ni nadra, sasa wewe kwakuwa hujui pub ni nini na bar ni nini ndio maana umesmuwa kuja kujambajamba hapa.

Huna tofauti yoyote na wale wsnaodhsni kila dawa ya meno ni colget na dawa viatu ni kiwi tu.
 
Wakienda bar wanakula makongoro, mapupu, vichwa, ulimi etc.....
vyakula vimepikwa na kuandaliwa kwenye mazingira machafu
Comeon grow up and change ur bad habits. Chakula kizuri chapatikana nyumbani.
inategemea na anayekipika kama mwanzo mwisho ni housegal hakuna mwanaume kwenye hii sayari ambaye ameoa atakubali kuwa chakula cha hg ni kitamu.kama hupiki nyumbani kwako wewe mwanamke eidha majukumu ya kikazi what ever uvivu wako mwache tu ale bar hii ndio mentality yao.hakuna mwanaume anayepikiwa na mkewe akala bar labda wachache sana na kama mkewe hajui kupika
aione watu8
 
Last edited by a moderator:
miss you too hubby
usijali sinta mention tena vidume wengine zaidi yako sweetie, ila nawe punguza kuchombeza vidada humu MMU.
heheheheeheheheheheehe aisee Kaunga za siku nyingi? The Boss my kidumu hujambo lakini???
haya mambo yenu ya chumbani mwayaongelea sebuleni?
 
Last edited by a moderator:
Nyumbani sijawahi kuwa na house girl, we kula huko shiba ila ujue ukija nyumbani lazima umalize sahani nzima ya ugali wa mtama, hii sheria imenisaidia hata kama anakula nyumbani lazima ale.

tatizo ladha mama
 
heheheheeheheheheheehe aisee Kaunga za siku nyingi? The Boss my kidumu hujambo lakini???
haya mambo yenu ya chumbani mwayaongelea sebuleni?

hehehehehehehe mwenyewe kama matusi ya kwenu.
MMU ndio chumbani, uani, jikony, na verandani kwetu; inahuu?

Mimi mzima mwaya, majukumu tu si unajua kumtunza sukari ya MMU ilivyo ngumu. LOL
 
Wakienda bar wanakula makongoro, mapupu, vichwa, ulimi etc.....
vyakula vimepikwa na kuandaliwa kwenye mazingira machafu
Comeon grow up and change ur bad habits. Chakula kizuri chapatikana nyumbani.

hizo Bar chafu labda huwa anaenda mumeo tu,,,,,,,,,,,,,,,

nitaacha kula Bar , nikiacha kunywa bia,,,,,,,,,,,,,,

swali la kizushi; huwa unatengeneza nyama choma , mtura , supu etc nyumbani?
 
inategemea na anayekipika kama mwanzo mwisho ni housegal hakuna mwanaume kwenye hii sayari ambaye ameoa atakubali kuwa chakula cha hg ni kitamu.kama hupiki nyumbani kwako wewe mwanamke eidha majukumu ya kikazi what ever uvivu wako mwache tu ale bar hii ndio mentality yao.hakuna mwanaume anayepikiwa na mkewe akala bar labda wachache sana na kama mkewe hajui kupika
aione watu8

Ila mmh ni ngumu sana kususia chakula cha nyumbani halafu nile bar... binafsi wazazi wangu hawakunilea hivyo.
 
Inategeme na maisha / mazingira unayoishi!! kama mtu unaishi peke yako unatoka home saa 12 kwenda kazini au biashara unarudi saa 2 au 3 umechoka utakula wapi? and tatizo kubwa zaidi ni kwa wanaume wengi kushindwa kupika!

pia inetegemea unakula nini kwa mfano kitu kama kongoro ni hamu na si rahis kupika home!

ila kama una familia si ustaarabu kwenda kula bar............
 
hehehehehehehe mwenyewe kama matusi ya kwenu.
Mmu ndio chumbani, uani, jikony, na verandani kwetu; inahuu?

Mimi mzima mwaya, majukumu tu si unajua kumtunza sukari ya mmu ilivyo ngumu. Lol
aisee ni kazi ila kazana tu mwaya huo ni mti wa haluwa huo hahahahhaah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom