Wanaume : Kwanini mnapenda kula bar?

Wanaume : Kwanini mnapenda kula bar?

kwa sababu nyumbani chakula kinapikwa na house girl, anapika kwa mazoea. Chakula kinakuwa kibayaaa! Kwani mie shamba boy? Yaani nitafute hela na chakula nile kibaya? Ni afadhali baa supu yao tamu, wameitengeneza kwa kuvutia wateja waje na kesho. Ukila mchemsho ndo kabisaaa! Wanawake wenyewe wa siku hizi mnapita magengeni kuagiza chipsi aafu hg ndo unamwambia ampikie baba chakula!
 
wanawake wa siku hizi viburi mtupu, nilioa mwanamke ukimuamsha asubuhi apike chai hataki, ukirudi mchana kula ukifika ndipo anatoa jiko la mkaa kuwasha moto nikatimua. aliyepo sasa ukimwambia kuamka achemshechai ugomvi, sasa nakunywa hotel,
 
Mkuu upo ara? Nilikuwa mteja wa maeneo hayo nilipokuwa huko. Ila wahudumu wa hapo wako uchi mno!

Ipo wapi hiyo mkuu nije niwaone hao watoto.,, hayo ndo mambo yanayotufanya tukeshe bar
 
wasio kula nyumbani ni kwamba hawajaoa au kwale walio oa,wake zao hawajui kupika,kataa tuone.
Nalog off
 
Wengi wanadai wanaogopa kula nyumbani kwani wake zao wanawawekea dawa za mapenzi ili watulie nyumbani nao hawako tayari kufanya hivyo kwani wanataka ku sample kila demu including house girls na baa maids. Sasa wakiwa na mazoea ya kwenda kula nyumbani hao mabaa maid watawaona muda gani ili wawatongoze?
 
kama pale mori pale kuna pub wanakulaje kitimoto pale wakienda home matumbo juu
 
Nyumbani sijawahi kuwa na house girl, we kula huko shiba ila ujue ukija nyumbani lazima umalize sahani nzima ya ugali wa mtama, hii sheria imenisaidia hata kama anakula nyumbani lazima ale.

Dah kazi kweli kweli
 
Kiukweli kula bar si vizuri sana ila kuna muda inabidi kama huwezi kurudi nyumbani kwa mfano.
Ila sasa quality ya chakula cha kununua kwa kweli iko juu kuliko home.

  • Home wanajua lazima ule hata wapikeje
  • Wapishi wa home siku hizi wako busy hata kama wakipika ni nusunusu
  • Home unakula huku taarifa ya habari za hapo kwa nyumba unaipata, kuna taarifa nyingine ukipewa hata hamu ya kula inakutoka!
  • Unaenda kujipakulia&kujipashia mwenyewe, saa nyingine ni kama unapewa chakula cha msaada
  • Saa zingine uambiwe upike wewe!
Sasa mtu anaona ni kwanini atafute kwa shida kisha kula aje ale kwa shida?
Kiukweli women behaviour nyumbani ndo inayofukuza wasile huko, so usiwaone ukadhani wako selfish, watakonda sasa wakikomaa kula home.
 
Si afadhali ale bar kuliko kula small house

Sent from my BlackBerry - jamiiforums
 
wali na mkojo wa mende wapi na wap??
 
wanawake wa siku hizi hawafahamu kupika na kama wanafahamu ni wajeuri wanakesha facebook, JF etc. Bora kula bar ambapo unakaribishwa vizuri na kwa bashasha na wahudumu



mh u a not serious
 
Nyumbani sijawahi kuwa na house girl, we kula huko shiba ila ujue ukija nyumbani lazima umalize sahani nzima ya ugali wa mtama, hii sheria imenisaidia hata kama anakula nyumbani lazima ale.

yes
na ndp itakavyokuwa kwangu

nyumbani lazima ule ht km umekula bar
 
Wakienda bar wanakula makongoro, mapupu, vichwa, ulimi etc.....
vyakula vimepikwa na kuandaliwa kwenye mazingira machafu
Comeon grow up and change ur bad habits. Chakula kizuri chapatikana nyumbani.

Hujui Konyagi inavyokwangua tumbo wewe!
 
wanawake wa siku hizi viburi mtupu, nilioa mwanamke ukimuamsha asubuhi apike chai hataki, ukirudi mchana kula ukifika ndipo anatoa jiko la mkaa kuwasha moto nikatimua. aliyepo sasa ukimwambia kuamka achemshechai ugomvi, sasa nakunywa hotel,

heheeee poleee
mpaka umwamshe kwa yy hajui wajib wake?
ama kweli hiki kizazi cha dot com
 
wanawake wa siku hizi hawafahamu kupika na kama wanafahamu ni wajeuri wanakesha facebook, JF etc. Bora kula bar ambapo unakaribishwa vizuri na kwa bashasha na wahudumu
na extra services unapata kwa bei poa
 
Ni ubinafsi tu wa wanaume.
Nimeiona kwenye vijiji vingi huku kwenye jimbo lá Zitto. Nyumbani mlo mmoja tena saa kumi na mbili jioni, lkn baba mwenye nyumba asubuhi yuko mgahawani anakula wali maharage na chai, mchana mishikaki na ugali/wali jioni ndio ananunua 'kamemelo' kopo 2 za unga na dagaa fungu mbili (hawafiki hata 100 ukiwahesabu) huyo nyumbani. Watoto na wake walishinda shambani na kurudi na mizigo ya kuni.

Sasa mjini, wababa kaacha nyumbani 10,000 ndio mkate, mboga ya mchana na usiku, unategemea ktk família ya watu 6 utakuta mezani mchemsho wa kuku kweli zaidi ya wali, beans, mchicha na tango kama tunda?

Hizo excuse za Housegirl kwani bar anayepika sio bar girl/boy?
 
Last edited by a moderator:
chakula cha bar kina dawa za kienyeji zinazoongeza uimara wa uume..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom