lachicaguapa
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 269
- 72
miss you too hubby
usijali sinta mention tena vidume wengine zaidi yako sweetie, ila nawe punguza kuchombeza vidada humu MMU.
Hasahasa thru PM.
miss you too hubby
usijali sinta mention tena vidume wengine zaidi yako sweetie, ila nawe punguza kuchombeza vidada humu MMU.
Nadhani kabla ya kuwalalamikia wanaume ujaribu kuangalia wanawake wao wanasaidia vipi kutowasukuma kula vyakula vya bar, mahotelini na magengeni maana kusema ukweli watu wengi wanaenjoy zaidi kula chakula cha nyumbani ikiwa ni kizuri/kitamu kuliko kwenda kula out.
Sasa kama mwanamke jikoni analipualipua tu au anamuachia dada wa kazi apike kama alivyozoea kijijini kwao unategemea mumewe awe anarudi kula nyumbani wakati uwezo wa kula chakula kizuri nje anao?! Jitazame wewe mwanamke, make an effort...hakikisha siku zote chakula unachomwandalia mumeo na familia kwa ujumla ni chakula ambacho usipokuwepo nyumbani wanakimiss na kutamani mama arudi. Ukiwa vizuri jikoni hata kama mna hela ya kwenda kula Kempiski kila siku, mumeo/familia yako watachagua wewe uwaandalie chakula badala ya kula out kila wanapopata nafasi.
Kuna wanaume hata wale kwa ndugu/jirani, hata warudi nyumbani usiku wa manane lazima wale chakula walichoandaliwa nyumbani na sio kwa kulazimishwa. . .naongea kutokana na experience kwahiyo najua wewe kama mwanamke ni kichocheo namba moja kwa tabia ya mumeo kutokula nyumbani. Either sio msafi, hujui kupika, unamwachia dada wa kazi apike siku zote, umejaa gubu.
Wakienda bar wanakula makongoro, mapupu, vichwa, ulimi etc.....,
vyakula vimepikwa na kuandaliwa kwenye mazingira machafu
Comeon grow up and change ur bad habits. Chakula kizuri chapatikana nyumbani.
Nimeyapenda maelezo yako
baby kesi yetu umeamua kuileta huku tena, si tungeyamliza tu nyumbani. wasiwasi wangu majibu ya jf bilashaka yatapiga shoka ndoa yetu. jamani mjibuni vizuri baby wangu asikasilike.Wakienda bar wanakula makongoro, mapupu, vichwa, ulimi etc.....
vyakula vimepikwa na kuandaliwa kwenye mazingira machafu
Comeon grow up and change ur bad habits. Chakula kizuri chapatikana nyumbani.
mkuu Eiyer,
do you know that most of the women are the catalyst for men to get their foods in the bars?
mimi haitokaa itokee niwe na mke nisiyejua ladha ya mapishi yake!!!!!!!
wengi wao wanasingizia muda, eti ohh dear, i have no time to cook for you!
WTF!!!!!!!!!!!!
kwangu utapika tuuuuuu!!! hata kama mi unsugared porridge!
Hiyo lazima itakuwa ni B Bar.