twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
Wanawake wa siku hizi kupika ni kama adhabu yani hata akipika ni masimango matupu.Barmaid wanaburudisha lazima tule bar dadeki zenu.
Una bifu naye au ndo tumeambiwa tuache kuomba PM maana mwisho wa yote ndo haya makubwa madogo yana nafuuKwanza mleta mada hapa unaonesha dhairi ulivyo local woman with zero exposure, Wewe badala ya kumsema mumeo mwenye tabia hizo za kwenda kwenye mataputapu na kushushia na bite za vichwa vya kuku, utumbo na miguu ya kuku badala yake unataka kugenalise watu hapa.
Tena futa kauli ---- maana wenye Mabar wakikusikia wanaweza kukudai fidia ambato ukoo wako mzima hawa uwezo wa kulipa.
jifunze upya kusubmet mada zako hapa usidhani kila anayesoma ni wa level yako.
Hotel zote unazozijuwa wewe zina bar na watu kila siku tunakunywa humo na kula tena vyakula ambavyo kuandaa makwetu kwa ubora huo ni nadra, sasa wewe kwakuwa hujui pub ni nini na bar ni nini ndio maana umesmuwa kuja kujambajamba hapa.
Huna tofauti yoyote na wale wsnaodhsni kila dawa ya meno ni colget na dawa viatu ni kiwi tu.
Wakienda bar wanakula makongoro, mapupu, vichwa, ulimi etc.....
vyakula vimepikwa na kuandaliwa kwenye mazingira machafu
Comeon grow up and change ur bad habits. Chakula kizuri chapatikana nyumbani.
kama pale mori pale kuna pub wanakulaje kitimoto pale wakienda home matumbo juu
Hujui Konyagi inavyokwangua tumbo wewe!
Wakienda bar wanakula makongoro, mapupu, vichwa, ulimi etc.....
vyakula vimepikwa na kuandaliwa kwenye mazingira machafu
Comeon grow up and change ur bad habits. Chakula kizuri chapatikana nyumbani.
Wakienda bar wanakula makongoro, mapupu, vichwa, ulimi etc.....
vyakula vimepikwa na kuandaliwa kwenye mazingira machafu
Comeon grow up and change ur bad habits. Chakula kizuri chapatikana nyumbani.
napenda kula ili nionekane na mahela ya kutosha hata nikitaka demu nisimkose
Punguza jazba na hiv vichwa ni vya nini? Vya watu au?................
Je njia mnapika nyumbani? kila siku mnawahachia ma mecury ( Hg) kupika chakula, alafu unataka nije nile chakula home? je kina utofauti gani na cha bar? mjirekebishe na muanze kuwapikia waume wenu nasi tutakula nyumbani
Wakienda bar wanakula makongoro, mapupu, vichwa, ulimi etc.....
vyakula vimepikwa na kuandaliwa kwenye mazingira machafu
Comeon grow up and change ur bad habits. Chakula kizuri chapatikana nyumbani.
Game lazima ziwe home and away, kwa hiyo na misosi pia.
mimi nadhani nyinyi akina mama ndio mnapaswa kuja na majibu ya hili swali lako@Mokoyo umemaliza kila kitu
yes
na ndp itakavyokuwa kwangu
nyumbani lazima ule ht km umekula bar