asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,030
Wakianza kupewa masharti na daktari; usile chumvi, usile mafuta, usile sukari etc (God Forbid) wataanza kula nyumbani wenyewe....
zipo bar zinatoa special diet kwa wagonjwa,,,,,,,,,,,,
Wakianza kupewa masharti na daktari; usile chumvi, usile mafuta, usile sukari etc (God Forbid) wataanza kula nyumbani wenyewe....
Wakienda bar wanakula makongoro, mapupu, vichwa, ulimi etc.....
vyakula vimepikwa na kuandaliwa kwenye mazingira machafu
Comeon grow up and change ur bad habits. Chakula kizuri chapatikana nyumbani.
zipo bar zinatoa special diet kwa wagonjwa,,,,,,,,,,,,
tatizo ladha mama
Wakianza kupewa masharti na daktari; usile chumvi, usile mafuta, usile sukari etc (God Forbid) wataanza kula nyumbani wenyewe....
zipo bar zinatoa special diet kwa wagonjwa,,,,,,,,,,,,
By that time unadhani utakuwa na hamu hata na hiyo special treatment....utakuwa ukitoka job moja kwa moja home; na utalaani nyama choma zote ulizokuwa unafakamia; utaona bar kama kituo cha polisi
ingekuwa kweli hizi Bar zisingejaza kama zinavyojaza sasa hivi,,,,,,,,,
Sikuombei mabaya...ila usije ukanikumbuka...
Watu siku hizi wamekuwa wagonjwa tena wengi na umri mdogo sababu ya life style...
Mtu mmoja anakula kilo nzima ya kiti moto mara tatu kwa wiki...unategemea nini...
Najua sio jambo jema kwa mume kula kwenye baa wakati ana mke nyumbani
Lakini unapojadili jambo kama hili ni vyema ukaweka na yale ambayo yanaweza kumhamasisha mume kula bar ili kupata majibu ya maswali haya
Pia kuna kauli za kumwambia mtu kosa lake lakini hii iliyotumika hapa inaongeza tatizo badala ya kulitatua!
Lakini hivi mnajua faida zinazopatikana huko bara au mnaongea tu hapa?
Unapozungumzia jambo zungumzia faida na hasara sio hasara tu au faida tu!
mkuu Eiyer,
do you know that most of the women are the catalyst for men to get their foods in the bars?
mimi haitokaa itokee niwe na mke nisiyejua ladha ya mapishi yake!!!!!!!
wengi wao wanasingizia muda, eti ohh dear, i have no time to cook for you!
WTF!!!!!!!!!!!!
kwangu utapika tuuuuuu!!! hata kama mi unsugared porridge!