asmaa80
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 1,562
- 1,756
Hivyo vitu vipo na vipo sana na wala havikuanza leo, KAMA INGEKUWA HAMNA KWA WAISLAM KUSINGEKUWA NA DUA ZA KUJIKINGA NA USHIRIKINA, Na Kwa wakristo kusingekuwa na kukemea Mapepo n.k...HUO NI USHIRIKINA HAIJALISHI MUHUSIKA ANAPEWA DAWA GANI, Lakini hayo ni mambo ya ushirikina NA PIA YAPO LAKIN UKISIMAMA NA MUNGU HAYAKUFIKI....Ni ngumu kumgundua mwananmke Mbaya ila ukiwa na Mungu yeye ndo atakusimamia na kumuumbua au kutokufikwa na UBAYA HUO.