Kitu cha mwicho kwa maisha yangu ni kwenda kwa waganga eti kumfuga mwanaume. So what? Upendo wa kulazimisha then dawa zikiisha unakuwa fala tu kwa huyo mwanaume? Ila wanaume wajue kuwa wanachezewa sana na ni pale ambapo wanakubali kuwa na affairs nje ya ndoa zao. Acha walishwe mpaka mavi ya chooni na ukweli ukiwa nao wanawake kumi jua unalishwa tofautitofauti. Kuna mabinti wadogo tu ninawafahamu na ukweli wanaenda kwa waganga kuwakamata waume za watu. Mmoja ameshanunuliwa magari matatu tofauti tofauti huku akidanganya hawara kuwa magari aliyokua nayo ameazima. Akishanunuliwa jipya anauza alilo nalo kwa kusingizia kuwa amerudisha kwa mwenyewe. Acha mliwe na mkishamalizwa ninaomba tu msirudi tena kwa wake au wapenzi wenu wa awali kulialia, Mimi nitakutoa nduki kama jambazi na kukuitia mwizi ili ule kichapo cha ukweli ila nitawaoma wahuni wasikuue tu ili uugulie maumivu. Ha ha ha ha!!