Wanaume kuweni makini, wanawake wengine wanatumia dawa za mapenzi

Wanaume kuweni makini, wanawake wengine wanatumia dawa za mapenzi

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
26,894
Reaction score
52,487
Katika harakati zangu za maisha, nimekutana na watu tofauti tofauti, wa makabila, na imani tofauti tofauti wengi wao wakiwa ni wanawake.

Katika kukaa na kusikia mengi kwa wanawake wenzangu kuna mambo yaliyonipa wakati mgumu na kutaka kuwatahadharisha wanaume katika harakati zenu za kusaka wanawake.

Wanawake wamekua wanatumia dawa kuwaingiza wanaume kingi,
kuna dawa za mvuto, mwanamke anamnuia mwanaume yoyote anayemuhitaji, hapa mwanamke ana miliki wanaume mpaka kumi na hawasemi lolote hata wakijuana
na kama una mke unamsahau kabisa.

Nyingine inafanyika kwa mwanaume aliyenae anakosa kauli na kufata amri za huyo mwanamke..

NB: Zipo aina nyingi ila hizi ni very common. Zinafanywa na walioolewa na wasioolewa.
Men Be Aware.
 
Hakuna miti shamba ya mapenzi.

Hakuna. Hakuna. Hakuna.

Kilichopo ni imani tu. Tena imani yenyewe ni potofu.

Imani kama hizo huonyesha pia uwezo wa upeo wa mtu.

Yeyote yule aaminiye katika imani ya mitishamba ya mapenzi namdharau kabisa.

Nikishajua kuwa mtu anajihusisha na huo upuuzi basi namuengua kabisa.
 
huo ndo ulimwengu na mwenye masikio asikie na kujionea... gud ex kuna dada jiran anauza bia wateja wake wote anadai amedate nao na wanamwachiaga hela kila siku kuanzia 50000 akitoka hapo ni full kujieleza kwa watu kua anauwezo wa kuwafunga waume za watu na wasitoke...... mwanaume ukitoka hapo unasema bint yule matata ila anae mtegemea YESU atakwambia ni jalala coz kuna waliofungwa na nguvu za giza nawalioangaziwa na mwanfa wa MUNGU choice ix ua.
 
Hakuna miti shamba ya mapenzi.

Hakuna. Hakuna. Hakuna.

Kilichopo ni imani tu. Tena imani yenyewe ni potofu.

Imani kama hizo huonyesha pia uwezo wa upeo wa mtu.

Yeyote yule aaminiye katika imani ya mitishamba ya mapenzi namdharau kabisa.

Nikishajua kuwa mtu anajihusisha na huo upuuzi basi namuengua kabisa.
wewe unaamini nini?
 
wanafanya hivi kuvuna pesa za mwanaume , dawa ikiisha nguvu mwanaume kachunwa anashangaa tu,
 
ni upuuzi sana kumloga mtu akupende .bora utumie dawa kufanya mambo ya maendeleo
Kuna wanawake msingi kiuno
hapa duniani!

So anatumia dawa ili amvutie mwanaume haswaa wenye pesa!
mpk anasahau kwake!
 
ah akuroge nani na unajiroga mwenyewe na ubolizozo wako!
 
haurogwi unavutwa tu, unatumika kazi yako ikiisha unatupwa kule.
ah mi hata siamini hayo makitu
jitu linakolea kwa wehu wake liseme limerogwa ,wacha mliwe tu vinchwa mnaendaga kuwafata wa nini!/
 
Back
Top Bottom