Mbona hawanilogi jamani?? Naomba waambie kuna mtu anahitaji kulogwa ila wawe wazuri wa uso umri kwangu si tatizo. Tatizo ni; Are yu presentable?? Leo ntoke na yule kesho yule na ikiwezekana nilogwe na 14 ili kila siku nsikose mzigo.
Tatizo hamjui dawa ya mapenzi tu. Penzi lisilo la kuzibiana na kufichiana lazima mwanamume arudi hapo. Sio nimepiga hodi tu, tiyari naombwa hela ya saloon. Nimemaliza kushusha mzigo kabla sijapewa aksante naambiwa gas imeisha. Ninataka kuondoka naulizwa jioni itapitaje. Wategemea nikurudie?? Dawa ya penzi ni wote tuinjoy kwa pamoja. Nkishusha zigo uniambie ahsanteee. Cha pili kinajianzishia hapo