Wanaume kuweni makini, wanawake wengine wanatumia dawa za mapenzi

Wanaume kuweni makini, wanawake wengine wanatumia dawa za mapenzi

1] Kwa nini uhitaji jina langu ndo uweze kuniroga?

2] Huwezi kutumia huo uchawi wako kulijua jina langu bila ya mimi kukupa?

3] Na kwa nini usiniroge ili nikupe hilo jina langu?

4] Umeyaelewa hayo maswali yangu?
wapo wanaoweza kukufanyia hivo ila mimi siwezi kuanzi huko
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

ngoja nkuroge tatizo uko mamtoni

wanadai uchawi hauvuki bahari!
ahahaa mange alisema hivo kwa shamimu mbona kitu kikarushwa kikamrusha lance kule .unadhani mange kaachwa na lance kwanini? wabongo walifanya yao aache kelele
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

ngoja nkuroge tatizo uko mamtoni

wanadai uchawi hauvuki bahari!

Kusema ukweli hujui niko wapi.

Naweza kuwa niko Mburahati au Dumila sasa hivi.

Licha ya hivyo, visingizio vyako tayari ni ithibati tosha kuwa uchawi haupo.

Huwa mnatishwa kwa kudanganywa tu na nyie mnaishia kuogopa.

Eti uchawi hauvuki bahari...too funny.
 
Hakuna miti shamba ya mapenzi.

Hakuna. Hakuna. Hakuna.

Kilichopo ni imani tu. Tena imani yenyewe ni potofu.

Imani kama hizo huonyesha pia uwezo wa upeo wa mtu.

Yeyote yule aaminiye katika imani ya mitishamba ya mapenzi namdharau kabisa.

Nikishajua kuwa mtu anajihusisha na huo upuuzi basi namuengua kabisa.


Hujielewi
 
Kusema ukweli hujui niko wapi.

Naweza kuwa niko Mburahati au Dumila sasa hivi.

Licha ya hivyo, visingizio vyako tayari ni ithibati tosha kuwa uchawi haupo.

Huwa mnatishwa kwa kudanganywa tu na nyie mnaishia kuogopa.

Eti uchawi hauvuki bahari...too funny.
Sina nguvu za kichawi

Tunaambiwa uchaw upo Ila usiamini
ahahaa mange alisema hivo kwa shamimu mbona kitu kikarushwa kikamrusha lance kule .unadhani mange kaachwa na lance kwanini? wabongo walifanya yao aache kelele
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
WANAWAKE WENGI NI WACHAWI SANA/ PLEASE BE AWARE...
MBAYA ZAIDI ANAPOKUFANYIA HAYO MADUDU YAKE PIA HUKUHARIBIA MAISHA KATIKA SIKU ZA USONI.
 
naandika tu generally simlengi mtu.

binadamu wote ni naturally polygamous. hata ukimpemda huyu Leo haimaanisha hutovutiwa na mwingine.

tungekuwa wanyama, kila utakayevutiwa naye unampanda tu.
sema kwasababu tumedevelop complex emotions unlike wanyama, na kwasababu ya institutions tulizojijengea, tunakuwa limited idadi ya wenzi wa kuwa nao.

na historia inaonyesha jinsi mwanaume alivyopendelewa zaidi kwenye sector hii.

lakini hatuko mbali Sana na wanyama wengine siku hizi manake kuna "open relationships".

ifike point MTU uelewe MTU anaCheat kwasababu kataka, dhamiri yake kuwa anakuumiza ishakufa, na KAKUCHOKAA.

usitafute sababu Mara ana pepo, mara kawekewa madawa, kwani we alivyokupendaga ulimuwekea dawa gani? au ulimlazimisha?

kuna watu tu wana bahati zao za kupendwa na wengi. WANAVUTIAAA. usifikiri ni waganga.

hukumbuki kuna mwanaume alikutafuta kwa hali na Mali, haelewi kuwa humpendi ye bado yupo tu anakufukuzia..kwani ulitumia mitishamba gani?

tukubali pia inaweza kufika point MTU hakupendi tena sema hana jinsi, either anapata msongo kutoka kwa jamii abaki na wewe au imani yake haimruhusu kutaliki, lakini moyoni haupoo.

inawezekana hata halali na wengine huko kwa sababu ya imani yake lakini hata wewe halali na wewe na wala hafurahii maisha yake na wewe.

wenye imani zinazoruhusu kutaliki wanaelewa. walioanzisha ndoa za mikataba nao waliona haya.

lakini MTU anayeacha kuhudumia watoto wake kisa mchepuko sijui tumweke kundi gani. je wanawake waliotelekeza wanao kwa baba mtoto au bibi huku ye anakula maisha huko naye kapewa limbwata?

naamini katika kila kundi la viumbe lazima kutakuwa na wenzao walio inferior katika sifa fulani.

naamini kuna binadamu hawako fit kuishi kwenye society zetu (serial killers for example).

pia naamini si binadamu wote wana intellectual capacity sawa. inawezekana kabisa ni mgonjwa wa akili hadi anakosa empathy kwa wanawe.
 
Umejuaje nakaa US?

Ushawahi kufika nyumbani kwangu?

Licha ya hivyo, uchawi hakuna. Haupo.

Huwa mnadanganywa tu.
We basi wa ikungulyabashashi..gamboshi ushawahi isikia au na yenyewe utaikana hapa?
 
Mwenye kujua dawa ani pm tafadhali
Kuna mwanaume wa humuhumu nataka kumloga
 
Back
Top Bottom