sasa kama 14 wanatuma Mpesa kila asubuhi ni sawa na 1 akituma Mpesa? hahaa anyways ni mambo tu ya kidunia haya, kutoridhika na n. kHuyo anaeloga wanaume 14 hahqa anini asiloge mmoja mwenye sifa anazotaka na akawa nae siku zote! Hakuna uchawi kwenye mapenzi, huyo mwenye midume 14 ni umalaya tu unamsumbua. Anapokea kila anayemfuata na wanaume wengi wanapenda virahisi wanaganda hapohapo wanasingizia eti wamelogwa.
Huyo anaeloga wanaume 14 kwanini asiloge mmoja mwenye sifa anazotaka na akawa nae siku zote! Hakuna uchawi kwenye mapenzi, huyo mwenye midume 14 ni umalaya tu unamsumbua. Anapokea kila anayemfuata na wanaume wengi wanapenda virahisi wanaganda hapohapo wanasingizia eti wamelogwa.
Kitu cha mwicho kwa maisha yangu ni kwenda kwa waganga eti kumfuga mwanaume. So what? Upendo wa kulazimisha then dawa zikiisha unakuwa fala tu kwa huyo mwanaume? Ila wanaume wajue kuwa wanachezewa sana na ni pale ambapo wanakubali kuwa na affairs nje ya ndoa zao. Acha walishwe mpaka mavi ya chooni na ukweli ukiwa nao wanawake kumi jua unalishwa tofautitofauti. Kuna mabinti wadogo tu ninawafahamu na ukweli wanaenda kwa waganga kuwakamata waume za watu. Mmoja ameshanunuliwa magari matatu tofauti tofauti huku akidanganya hawara kuwa magari aliyokua nayo ameazima. Akishanunuliwa jipya anauza alilo nalo kwa kusingizia kuwa amerudisha kwa mwenyewe. Acha mliwe na mkishamalizwa ninaomba tu msirudi tena kwa wake au wapenzi wenu wa awali kulialia, Mimi nitakutoa nduki kama jambazi na kukuitia mwizi ili ule kichapo cha ukweli ila nitawaoma wahuni wasikuue tu ili uugulie maumivu. Ha ha ha ha!!
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]24/7 hrs nakula majani...hayo madawa hayanipati
Nyani Ngabu shukuru Mungu hujakutana nao tu hao wa kukuweka sawa. Au sema huko mamtoni hakuna. Ila huku kwetu Tz yaani wanawake wanga na ukifuatilia wanaenda kuloga wapate mabwana. Na ukweli unafanya kazi kabisa ila tu kama wewe wa imani haba na huna maombi imara watakukamata tu. Aise watu wanapokea mshahara anakimbilia kwa mchepuko akihema wakati watoto hawana chakula, mavazi na ada za shule. Chezea limbwata wewe. Kuna moja la wahaya sijui wanaita umishumta or what (sorry silielewi vizuri) ninasikia wakimuwekea jamaa hana kazi tena na familia. Wenye kulijua jina halisi watuwekee tu. Haha haha kazi ipo.Hao waganga wa mapenzi ni matapeli tu.
Ni waongo.
Ni predators wanao wa-exploit watu ambao hawajielewi.
Uchawi haupo. Haufanyi kazi.
Ni kitu cha kufikirika tu. Kiuhalisia hakipo.
Labda anatangaza biashara na wewe umemharibiaKwa hiyo wenye mitazamo tofauti na imani [yako/zako] hutaki tuchangie mada yako?
Unataka wenye imani sawa na zako ndo wachangie?
Hakuna miti shamba ya mapenzi.
Hakuna. Hakuna. Hakuna.
Kilichopo ni imani tu. Tena imani yenyewe ni potofu.
Imani kama hizo huonyesha pia uwezo wa upeo wa mtu.
Yeyote yule aaminiye katika imani ya mitishamba ya mapenzi namdharau kabisa.
Nikishajua kuwa mtu anajihusisha na huo upuuzi basi namuengua
kila mtu na Imani yake, kama hauamini unapita.
hii ni tahadhari siyo mabishano.
Nyani Ngabu shukuru Mungu hujakutana nao tu hao wa kukuweka sawa. Au sema huko mamtoni hakuna. Ila huku kwetu Tz yaani wanawake wanga na ukifuatilia wanaenda kuloga wapate mabwana. Na ukweli unafanya kazi kabisa ila tu kama wewe wa imani haba na huna maombi imara watakukamata tu. Aise watu wanapokea mshahara anakimbilia kwa mchepuko akihema wakati watoto hawana chakula, mavazi na ada za shule. Chezea limbwata wewe. Kuna moja la wahaya sijui wanaita umishumta or what (sorry silielewi vizuri) ninasikia wakimuwekea jamaa hana kazi tena na familia. Wenye kulijua jina halisi watuwekee tu. Haha haha kazi ipo.
tuma jina lako halisi na pichaHamna kitu. Haufanyi kazi kabisa. Ni jambo la kufikirika tu.
Kama huo uchawi upo basi ofa yangu ya kurogwa bado haijapata mtu.
Miaka sasa baadhi yetu humu tushatoa ofa turogwe lakini hamna lolote.
Uchawi haupo.
Mkuu Nyani Ngabu sema ili wakuroge ni lazima wawe na vitu vyako kadhaa ulivyovvyaa. Si rahisi sana kukuloga wewe kupitia hapa kwa key board. Wewe nedna lala kwake uone mambo au tu mutoke muende guest akutoe zana za kazi. HAAAAAAAAAAHamna kitu. Haufanyi kazi kabisa. Ni jambo la kufikirika tu.
Kama huo uchawi upo basi ofa yangu ya kurogwa bado haijapata mtu.
Miaka sasa baadhi yetu humu tushatoa ofa turogwe lakini hamna lolote.
Uchawi haupo.
tuma jina lako halisi na picha
Mkuu Nyani Ngabu sema ili wakuroge ni lazima wawe na vitu vyako kadhaa ulivyovvyaa. Si rahisi sana kukuloga wewe kupitia hapa kwa key board. Wewe nedna lala kwake uone mambo au tu mutoke muende guest akutoe zana za kazi. HAAAAAAAAAA