Wanaume kuweni makini, wanawake wengine wanatumia dawa za mapenzi

Kuna wanawake msingi kiuno
hapa duniani!

So anatumia dawa ili amvutie mwanaume haswaa wenye pesa!
mpk anasahau kwake!
Elewa kuwa dawa zinashika kwa watu wasioelewa ma"mbumbumbu" wa mabo'ayo.
Thamani ya mwanamke ni tabia njema. Hakuna sura ama utamu wa ninisijui!
Hii maranyingi huwatokea wazee au wanaume watu wazima,ambao "background" zao katika suala zima la mapenzi ni za kiugumu ama mafanikio wameyapata wakati umri ushawatupa mkono. Wengi wao ambao malovee wameanzia ukubwani, ama wameozeshwa"underage",hawajazurula.
Ikitokea akachepuka na kukutana na za Sikonge, zile zakuchajiwa! Maana wapo wanaochanjia, ukigusa umekwisha,unabaki msukule wa hiyari! Ole wake mwana wa adamu aingiae lango hilo bovu. Atasahau na kuwakana watoto wake wa kuzaa mwenyewe.
Haiwezekani mwanaume mzima na akili zako ukazuzuka uzeeni na kusahau familia yako, kama ni mzoefu wa mambo'ayo.
Unajifyetuaje ufahamu na kuanza kutii kila utakaloelezwa na malaya!
Nakwambia ni haohao malimbukeni.
Mambo hayo yapo sana,ila waliwao ni hao malimbukeni wajingawajinga.
 
Katika harakati zangu za maisha, nimekutana na watu tofauti tofauti, wa makabila, na imani tofauti tofauti wengi wao wakiwa ni wanawake.

Katika kukaa na kusikia mengi kwa wanawake wenzangu kuna mambo yaliyonipa wakati mgumu na kutaka kuwatahadharisha wanaume katika harakati zenu za kusaka wanawake.

Wanawake wamekua wanatumia dawa kuwaingiza wanaume kingi,
kuna dawa za mvuto, mwanamke anamnuia mwanaume yoyote anayemuhitaji, hapa mwanamke ana miliki wanaume mpaka kumi na hawasemi lolote hata wakijuana
na kama una mke unamsahau kabisa.

Nyingine inafanyika kwa mwanaume aliyenae anakosa kauli na kufata amri za huyo mwanamke..

NB: Zipo aina nyingi ila hizi ni very common. Zinafanywa na walioolewa na wasioolewa.
Men Be Aware.
[emoji121]
PICHA INAHITAJIKA MKUU!!!
 
Jaman zinauzwa wap na mm nataka[emoji45]
 
ila hakuna limbwata baya kama kulishwa ile nyama iliyotiwa ukenii..alafu ikapikiwa na nyama ya kawaida..! muhusika akiila nasikia anasahau hadi mama ake mzazi!
 
Hakuna miti shamba ya mapenzi.

Hakuna. Hakuna. Hakuna.

Kilichopo ni imani tu. Tena imani yenyewe ni potofu.

Imani kama hizo huonyesha pia uwezo wa upeo wa mtu.

Yeyote yule aaminiye katika imani ya mitishamba ya mapenzi namdharau kabisa.

Nikishajua kuwa mtu anajihusisha na huo upuuzi basi namuengua kabisa.
mkuu pita kimya kabisa, kama hujakutana nazo
 
Kama kuna mchawi hapa MMU ajitokeze atupe mechanism yake....Nadhani watu wanaogopa bure bila sababu.
 
Wanawake baadhi wabaya sana jamaa yangu ni chizi freshi mpaka leo aliwekewa dawa kwenye msosi mwanamke alikuwa kila waki sex na jamaa anaingiza kipande cha nyama ukeni kabla hajajisafisha hadi vikatimia idadi ikajawekwa na hiyo dawa halafu akachanganyiwa kwenye rosti akapewa pamoja na msosi toka siku hiyo akawa kama zezeta hapindui mama mzazi kahangaika kumnasua mwanae lakini wapi akaambiwa hii ngoma ikidunda mwanao anakuwa mental maisha yake yote mama kwa vile anauchungu na mtoto akamwambia mtalaamu jaribu niokolee mwanangu masikini ya mungu ikadunda...ila mama mtu hakukubali huyo dada(mke lakini si wa ndoa) alipotea mazingira ya kutatanisha..
 
ila hakuna limbwata baya kama kulishwa ile nyama iliyotiwa ukenii..alafu ikapikiwa na nyama ya kawaida..! muhusika akiila nasikia anasahau hadi mama ake mzazi!
Wewe umewahi kuona live mtu akilishwa nyama ya K? Umeona madhara yake?
 
Hakuna miti shamba ya mapenzi.

Hakuna. Hakuna. Hakuna.

Kilichopo ni imani tu. Tena imani yenyewe ni potofu.

Imani kama hizo huonyesha pia uwezo wa upeo wa mtu.

Yeyote yule aaminiye katika imani ya mitishamba ya mapenzi namdharau kabisa.

Nikishajua kuwa mtu anajihusisha na huo upuuzi basi namuengua kabisa.
Exactly
 
Ndo maana huwa najiuliza kuwa mimi pia nampenda wife kiukweli ama nimeshafanyiwa ndumba?
 
Wanawake baadhi wabaya sana jamaa yangu ni chizi freshi mpaka leo aliwekewa dawa kwenye msosi mwanamke alikuwa kila waki sex na jamaa anaingiza kipande cha nyama ukeni kabla hajajisafisha hadi vikatimia idadi ikajawekwa na hiyo dawa halafu akachanganyiwa kwenye rosti akapewa pamoja na msosi toka siku hiyo akawa kama zezeta hapindui mama mzazi kahangaika kumnasua mwanae lakini wapi akaambiwa hii ngoma ikidunda mwanao anakuwa mental maisha yake yote mama kwa vile anauchungu na mtoto akamwambia mtalaamu jaribu niokolee mwanangu masikini ya mungu ikadunda...ila mama mtu hakukubali huyo dada(mke lakini si wa ndoa) alipotea mazingira ya kutatanisha..
Kuna watu waajabu... Anaingizaje nyama kwenye k sasa?!

Na inaingia yote kabisa au anagusisha tu?
 
Katika harakati zangu za maisha, nimekutana na watu tofauti tofauti, wa makabila, na imani tofauti tofauti wengi wao wakiwa ni wanawake.

Katika kukaa na kusikia mengi kwa wanawake wenzangu kuna mambo yaliyonipa wakati mgumu na kutaka kuwatahadharisha wanaume katika harakati zenu za kusaka wanawake.

Wanawake wamekua wanatumia dawa kuwaingiza wanaume kingi,
kuna dawa za mvuto, mwanamke anamnuia mwanaume yoyote anayemuhitaji, hapa mwanamke ana miliki wanaume mpaka kumi na hawasemi lolote hata wakijuana
na kama una mke unamsahau kabisa.

Nyingine inafanyika kwa mwanaume aliyenae anakosa kauli na kufata amri za huyo mwanamke..

NB: Zipo aina nyingi ila hizi ni very common. Zinafanywa na walioolewa na wasioolewa.
Men Be Aware.
Aisee
 
Back
Top Bottom