Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,877
wewe leta hivo vitu kama hujatoka huko USA na chupi kichwani😀😀😀😀😀😀
Hivi hizo ndo huwa sheria za wachawi?
Manake hata gfsonwin naye alinambia hivyo hivyo.
Halafu mchawi nilitegemea ayajue yote hayo bila hata ya mimi kumsaidia.