Inashangaza sana watu wengi hivi wanaamini katika mambo yakufikirika kama ushirikina na uchawi.
Lakini haya yanatokana na family uliyotoka na vitu ulivyofunzwa uamini. Pia aina ya watu unao socialize nao hivi vyote vinakufanya uamini baadhi ya mambo hata kama wakati mwingine mambo hayo hayana mashiko. Na moja ya mambo ambayo ni ya hovyo kabisa ni kuamini katika ushirikina na kudhani unatenda kazi. Hakuna kitu.....hayo ni matokeo ya ulicholisha ubongo wako miaka nenda rudi huku ukisimuliwa visa usivyokuwa na ushahidi navyo lakini unaamini tu. Upuuzi kwelikweli
Mwisho:
Acha kufuatilia vitu/viroja vinavyohusu ushirikina. Acha kusoma au kuangalia mambo yanayoshabikia witchcraft kwasababu hakuna ukweli.....maigizo tu.