Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 21,619
- 52,413
- Thread starter
- #81
Una safari ndefu ya kujifunza.
Kila siku kwangu ni siku ya kujifunza.
Kama wewe umefika tamati hongera sana.
Una safari ndefu ya kujifunza.
Mtibeli mkuu Robert. "Ukoo wetu unaenda kuwa mkubwa zaidi ya mbegu ya haradali katika ufalme wa bacteria" 😊.Umenielewa Kabisa.
Mtibeli ni mtu yeyote ambaye anapenda kuona Haki, upendo, ukweli na akili zenye tija.
Mtibeli mkuu Robert. "Ukoo wetu unaenda kuwa mkubwa zaidi ya mbegu ya haradali katika ufalme wa bacteria" 😊.
Hujaonesha ulipoandika hivyo. Kwa sababu hujaandika hivyo.Huwezi elewa. Lakini ukisoma ukitulia utaelewa nazungumzia nini.
Ndio maana nikasema, wakati nakua kuna mambo tulikuwa tunaaminishwa lakini ulikuwa ni uongo mkubwa.
Umuhimu wa kile ninachokifanya kitajulikana mwisho. Kwa sasa unachoweza kufanya ni aidha kukosoa au kupinga, na kurekebisha au kuunga mkono kile ninachokiandika
Hujaonesha ulipoandika hivyo. Kwa sababu hujaandika hivyo.
Sijakutaka uandike kila mmoja anavyotaka.Ndio maana ya mjadala.
Ningeandika kila mmoja anavyotaka humu unafikiri pangetosha humu
Pole bibieWatu wa aina hii wengi, wana tatizo la kukosa elimu, kukosa nafasi ya kutembea duniani na kuona maisha tofauti, watu tofauti, tamaduni tofauti.
Yani mtu anaweza kuangalia wanawake wa kijijini kwake kwenye umasikini na elimu duni, halafu akarahisisha mambo tu kwamba wanawake wote wako hivyo.
Kumbe, yale anayoona ni matatizo ya umasikini na elimu duni ya kijijini kwake, si matatizo ya wanawake.
Logical non sequitur.Pole bibie
Sijakutaka uandike kila mmoja anavyotaka.
Ila, wewe unasema umeandika kitu ambacho hujaandika.
Unapiga abracadabra, mazingaombwe.
Hivi huwa unafanya yote unayoyasema au unaandika kama sehemu ya uandishi wako..
Maana katika uandishi kuna kuandika kutokana na mtazamo wako halisi na kwa upande mwingine, ni uandishi unaogemea kuwapa watu kile wanachokitarajia hata kama hakiendani na misingi yako ili mradi upate attention na fan base kubwa
Logical non sequitur.
Si kila anayepinga wanawake kunyanyapaliwa ni bibie.
1. Naandika yale yaliyopo katika akili yangu. Inaweza kuwa ni maoni, mtizamo, au falsafa zangu.
2. Naandika ili kusaidia wale watakaoona msaada kupitia kile nilichoandika.
3. Siandiki kwa sababu ya kutafuta attention ya watu, ndio maana tangu nimeanza kuandika huu ni mwaka wa 7. Zipo post wamesoma Watu wachache, wakawaida, na zipo waliosoma wengi.
4. Naandika vile nilivyokuwa, nilivyo na nitakavyokuwa. Na ambao watataka kuwa kama mimi wajifunze pia.
Najua sio kila mtu anaweza kufurahia mtindo wangu wa maisha lakini hiyo haipo juu yangu.
Umeandika wapi?Kuandika kitu kwa lugha nyingine ni Jambo lilelile katika namna tofauti.
Post yako ya kwanza yote inamnyanyapaa mwanamke, na nilipokubana ukakubali unamnyanyapaa kwa stereotype zilizopo.Hakuna sehemu nimemnyanyapaa Mwanamke hasa wakiafrika.
Umeandika wapi?