Ramp Agent
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 272
- 194
Labda tegemezi vizinga vya vocha, nauli, outingkagundua siyo type yake..
alikuwa anataka kitumbua labda kapata..
ana mpenzi wake wewe ni by the way tu ulikuwa
labda unaboa na kuchosha
una mashauzi ya kijinga..
unastory za kifala mara baba yangu mara mjomba wangu .....
hujiamini
chagua linalokufaa
Labda unaonyesha misimamo ya fyucha, kutambulishwa ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app