Wanaume kupotea baada ya muda mfupi wa mahusiano

Wanaume kupotea baada ya muda mfupi wa mahusiano

Ndio hivyo mkuu utakuta mwengine mpaka upost picha facebook ndio anakutumia kimessage eti amebanwa na kazi, mwengine ndio kapotea mazima
me wananiitaga majina mabaya eti unamganda mwanaume kisa mlitiana mfyuuuu kwani alitoka nacho wakafie mbele
ila kwa uzoefu wangu nadhani wanaume wengi wa jf sina uzoefu na fb ni wazushi tu hawajitambui
 
kagundua siyo type yake..

alikuwa anataka kitumbua labda kapata..

ana mpenzi wake wewe ni by the way tu ulikuwa

labda unaboa na kuchosha

una mashauzi ya kijinga..

unastory za kifala mara baba yangu mara mjomba wangu .....

hujiamini

chagua linalokufaa


Duuh ee bwana eeh....ila tulikua hatujasex bado.....
 
Back
Top Bottom