Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,130
Hapo hamma cha propaganda wala nini tuna bishana tu ku poteza mda hamna asiye jua faida utamaduni kwani kuna jamii isiyo na utamaduni kwahyo kanda ya ziwa ndo wanao wengine hawana lack of consiousness and awareness ni tatizo mana kama ni utamaduni nchi za Kiafrica zimeacha zaidi ya asilimia tisini ikowemo kuletewa vitu ambavo hawakuvitumia kwahyo utamadini ni minor point kutetra watu kuto kufanyiwa circumsion
a person who has lack of consciousness is the one who will be told anything and says yes only becouse is told by someone, a conscious person will have to find out and prove the conveyed information beyond reasonable doubt, and that is Mshinga. am very aware and conscious, ndio maana nawataka mulete hapa hadharani hizo hatari za govi, mnang'atang'ata maneno na kukosa ushahidi kabisa.
I have a lot of information to disprove this taboo(it is just a taboo) from honkeys of the west.
tena mnabahati hamtaki kuleta ushahidi na faida zinazoitwa za kutahiri, maana ningewaonyesha ni jinsi gani hakuna ukweli.
NDIO HAOHAO WATTU WANAJIITA WANA UELEWA NA UFAHAMU ALAFU KUNAMUDA WALIAMBIWA KWENYE MFUMO WA JUA KUNASAYARI TISA, WAKASOMA NA KUAMINI KUWA SAYARI ZIKO TISA.
BAADAE KIDOGO WAKAAMBIWA SASA SAYARI ZIKO NANE TU NA ILE YA TISA KUMBE SIYO SAYARI, TENA WAKASEMA NDIO.
NANI ANAEJUA HATA HIZO NANE KAMA NI SAYARI KWELI AMA LAA? LAZIMA IFIKE MAHALI TUWE NA VERY HIGH THINKING CAPACITY ILI TUTAFITI MAMBO NA HATA TAARIFA ZITOLEWAZO KUEPUKAUONGO NA UPOTOSHAJI WA WAZI KISA WANAOUSEMA NI WAZUNGU