G
guest-1790917349
Guest
Haya sasa umeshatutangaza
umefurahiii
wenyewe tunaishi nayo kimyakimya na wake zetu
na inatusaidia kutochepuka kwa kuogopa mishangao
Hahahaa haaaa uwiii Imebidi nicheke tu
Haya sasa umeshatutangaza
umefurahiii
wenyewe tunaishi nayo kimyakimya na wake zetu
na inatusaidia kutochepuka kwa kuogopa mishangao
Hahahaa haaaa uwiii Imebidi nicheke tu
Wenyewe wanatairi wasichana wanaume hawawatairi wanachekesha.
Ipo bwana
Luka 2:21
'hata zilipotimia siku nane za kumtahiri, aliitwa jina lake Yesu; kama alivyoitwa na malaika kabla hajachukuliwa mimba.'
Xaxa Izo C Tamadun Za Kiyaudi Na Wewe
unaweza kusoma ila usielewe, wayahudi walikuwa na utamaduni wa kumtahiri mtoto ndani ya siku kadhaa baada ya kuzaliwa.
kilichotokea kwa yesu.
siku zilipotimia kitendo kilichofanyika ni kwamba mtoto aliitwa jina(alipewa jina la Yesu/a child was named Jesus).
ndicho kitupekee kilichofanyika cha kumpa jina la Yesu. na habari ya kutahiriwa ni kwa sababu ya biblia zilizochakachuliwa ambazo zenyewe zinasema baada ya Yesu kutahiriwa ndipo alipewa/aliitwa jina la Yesu.
soma version za Kiingereza pia King James version ipo clear kama maandishi haya, kuna baadhi zimesema alitahiriwa kama ambavyo mmoja ameleta humu.
kitendo kuwa Yesu alitahiriwa siku hiyo hakikuandikwa popote kwenye hiyo biblia uliyonakili mstari huu.
UMEELEWA? CANT YOU SEE A CONFUSION?
basi tufanye kwanza jaribio alafu uone kama haiwezekani kuwa na mpenzi wa aina ya mimi. na baada ya jario ulete mrejesho humu ndani ulichojionea
Wenyewe wanatairi wasichana wanaume hawawatairi wanachekesha.
we mjaluo najua imekugusa hiyo toa mkono wa sweta wewe,
duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh, tatizo ni akili za kusimuliwa.
hakuna msichana hata mmoja wa kisukuma amewahi kukeketwa chini ya utamaduni wa kisukuma.
hatujawahi kuwa na utamaduni huo na haijawahi kutokea msichana wa kisukuma akakeketwa.
its a wrong number. wapigie wenye mila za kutahiri ndio wana mila za kukeketa pia.
wasichana wote wa kisukuma hawajui tabu yote hiyo ya kukeketwa.
punguzeni uongo wa mchana kweupeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
hata siku ya kwanza kufanya mapenzi kabla hujabikiriwa ulikuwa unaogopa, wala sishangai kusema unaogopa, ni kwa sababu ya wasiwasi na hofu uliyojengewa.Yani si thubutu kabisa naogopa sijawahi ona tena kufanya jaribio ni ngumu kabisa na siwezi
Sema tu cjaspesfy kabila.Wakurya wapo kanda ya ziwa wanatairi mabinti wazanaki pia.Kwa wasukuma cidhani.
bado najua umeongea uongo mkubwa, labda kama hujui ulichokiandika,pia hujasoma majibu yangu ukayaelewa. nilijua kuwa kanda ya ziwa tupo wengi lakini uongo wako nilipobaini hakukuwa na haja ya kubainisha ni pale uliposema wanatahiri wasichana alafu wanaume hawatahiri.
kwa ufahamu wangu hakuna kabila hata moja tanzania ambalo linatahiri wasichana ila wanaume haliwatahiri.
makabila yote yanayotahiri wanaume yanatahiri pia wanawake.
baadhi ya makabila machache sana ndio wanatahiri wanaume tu.
ila hakuna kabila ambalo linatahiri wanawake pekee(KAMA LIPO NITAJIE HAPAHARAKA VINGINEVYO UFUTE KAULI KWA UONGO WA MCHANA KWEUPE)
hao wakurya unaowasema wanaingiaje kuwa mfano wa ulichoandika? maana umesema hawatahiri wanaume ila wanawake wanawatahiri. NIWAULIZE AKINA MURA HUMU KAMA KWELI HAWATAHIRIWI ILA WANAWAKE TU WANATAHIRIWA?
Ehee
Hapo tunaenda sawa
Yesu alitahiriwa! Ni kweli walifuata desturi za wayahudi bt the point is alitahiriwa!
Ss Mshinga anabisha hilo...
Kwanini wasiumbwe bila hiyo kitu? kitalaam mwanaume ambaye hajakatwa anasikia raha zaidi kuliko aliyekatwa.kumbe!!!Haya kaka zangu ambao hamjamenya miwa yenu muinenye sasa....
Ngoja nisome kwenye kiingereza
Luke 2:21 English
Standard Version
(ESV)
And at the end of
eight days, when he
was circumcised, he
was called Jesus, the
name given by the
angel before he was
conceived in the
womb.
kwenye red inaonyesha siku zilikuwa zinasubiriwa za kumtahiri na zilipotimia kwenye bluu wanapnyesha ni kitendo kimoja ti kilifanyika nacho ni kumuuita jina CC christine ibrahim1.KING JAMES VERSION IMEANDIKWA
"AND WHEN EIGHT DAYS WERE ACCOMPLISHED FOR THE CIRCUMCISING OF THE CHILD, HIS NAME WAS CALLED JESUS, WHICH WAS NAMED OF THE ANGEL BEFORE HE WAS CONCEIVED IN THE WOMB"
https://www.google.co.tz/url?sa=t&r...21cTn-TSzieYltSTKpNBhFA&bvm=bv.76247554,d.ZGU
2.NEW AMERICAN STANDARD BIBLE
And when eight days had passed, before His circumcision, His name was then called Jesus, the name given by the angel before He was conceived in the womb.http://biblehub.com/nasb/luke/2.htm
3.HOLMAN CHRISTIAN STANDARD BIBLE.
When the eight days were completed for His circumcision, He was named Jesus--the name given by the angel before He was conceived.
heh..! We ukoje??
Xoma Wagalatia 5 .M2me Paulo Anaxema Kutahiri Hakumfai M2
hii nayo ni hoja ya msingi sana kwa mtu mwenye akili na mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri na kutafakari. cc christine ibrahimYesu angetahiriwa wakristu wanaume tungekuwa tunatahiriwa kiimani, siyo kimila
sasa tunaweza kuendelea baada ya kusoma yote haya christine ibrahimNgoja nisome kwenye kiingereza
si ndo maana linaitwa sweta linatakiwa liwepo kwa muda tu baadae liondoleweKwanini wasiumbwe bila hiyo kitu? kitalaam mwanaume ambaye hajakatwa anasikia raha zaidi kuliko aliyekatwa.