Wanaume kanda ya ziwa wengi wao hawatahiriwi

Wanaume kanda ya ziwa wengi wao hawatahiriwi

aisee! Huyu Mshinga anaweza bishana na radio.
ha ha ha ha ha ha. nyie ndio hamjui ila mnadhani mnajua, nimemwambia aulete hapa huo mstari kama hajaaibika. hakuna sehemu yoyote kwenye biblia palipoandikwa Yesu alitahiriwa
 
Nasikia watamu sana sijui nipate wapi wa kufanyia majaribio,
 
Mh makubwa tamaduni nyingine hazifai bwana za kuambukizana yani hadi watu wazima wana wajukuu hawajakatwa na uchafu wote huo as long as mwanzo hawakujua na sasa wameambiwa umuhimu kwanini waseme tamaduni ingekua hivo hata nguo tusingekuwa tunavaa shule hatuendi hadi mahospitali kisa tuliletewa na wageni
nguo tulikuwa hatuvai siyo kwa sababu haukuwa utamaduni wetu bali kwa sababu tulikuwa hatuna utaalamu wa kutengeneza nguo na baadae tulipoweza tulikuwa tunatengeneza kwa kadri tulipopata ujuzi, kutoka kwenye nguo za magamba ya miti wasukuma walikuwa wanavaa na kutengeneza nguo za kutumia ngozi za wanyama.

uchafu ni swala jingine. wala govi lisiwe kisingizio. kama ni mchafu hata ukikata govivi itabakia mchafu tu.
kwa asili ya wanawake na maumbile yao basi nao wangetafuta utaratibu maana nadhani hao ndio wanapata uchafu kwa kiasi cha kutosha kwa maumbile yao.

nimeuliza magonjwa gani yanayoambukizwa na watu wasiotahiriwa hakuna aliyeleta majibu.
 
ha ha ha ha ha ha. nyie ndio hamjui ila mnadhani mnajua, nimemwambia aulete hapa huo mstari kama hajaaibika. hakuna sehemu yoyote kwenye biblia palipoandikwa Yesu alitahiriwa

Luke 2:21 English
Standard Version
(ESV)
And at the end of
eight days, when he
was circumcised, he
was called Jesus, the
name given by the
angel before he was
conceived in the
womb.

Ingia google uhakikishe mwenyewe. Nimeshindwa kuweka link.
 
Huyo taahira anaebisha achana nae.
 
UMELETA BIBLE WALIYOICHAKACHUA KUHALALISHA UONGOWENU.

1.KING JAMES VERSION IMEANDIKWA

"AND WHEN EIGHT DAYS WERE ACCOMPLISHED FOR THE CIRCUMCISING OF THE CHILD, HIS NAME WAS CALLED JESUS, WHICH WAS NAMED OF THE ANGEL BEFORE HE WAS CONCEIVED IN THE WOMB"

https://www.google.co.tz/url?sa=t&r...21cTn-TSzieYltSTKpNBhFA&bvm=bv.76247554,d.ZGU

2.NEW AMERICAN STANDARD BIBLE

And when eight days had passed, before His circumcision, His name was then called Jesus, the name given by the angel before He was conceived in the womb.http://biblehub.com/nasb/luke/2.htm

3.HOLMAN CHRISTIAN STANDARD BIBLE.

When the eight days were completed for His circumcision, He was named Jesus--the name given by the angel before He was conceived.

.

BIBLIA HIYO NA BAADHI ZINASEMA ALITAHIRIWA.

ZINGINE ZINASEMA ZILIPOFIKA SIKU ZA KUMTAHIRI ALIITWA JINA.

kasome pia bible za kiswahili.

WAMECHAKACHUA.

Huyo taahira anaebisha achana nae.
usilolijua litakusumbua. kama huu mjadala huuwezi kaa pembeni.

king james version bible na zingine zinakataa huu uchakachuaji.

1And when eight days were accomplished for the circumcising of the child, his name was called JESUS, which was so named of the angel before he was conceived in the womb.

kilichofanyika baada ya siku ya kumtahiri kufika WALIMWITA JINA BASI.
 
kati ya PAPUCHI na FORESKIN IPI INAYOBEBA UCHAFU? KAMA WATU WANANYONYA PAPUCHI KWA JINSI ZILIVYO LEO IWE SWETA

Jamaa mbishi unajua kujitetea sana.ila hata pande za kusini mwa sahara desert hawakatwi wengi tu kuanzia Namibia Botswana Zimbabwe na sehemu ya south Africa magovi kibao mpk wanaweka matangazo ya kuwapa offer za kukata bure makanisani.!
 
UMELETA BIBLE WALIYOICHAKACHUA KUHALALISHA UONGOWENU.

1.KING JAMES VERSION IMEANDIKWA

"AND WHEN EIGHT DAYS WERE ACCOMPLISHED FOR THE CIRCUMCISING OF THE CHILD, HIS NAME WAS CALLED JESUS, WHICH WAS NAMED OF THE ANGEL BEFORE HE WAS CONCEIVED IN THE WOMB"

https://www.google.co.tz/url?sa=t&r...21cTn-TSzieYltSTKpNBhFA&bvm=bv.76247554,d.ZGU

2.NEW AMERICAN STANDARD BIBLE

And when eight days had passed, before His circumcision, His name was then called Jesus, the name given by the angel before He was conceived in the womb.http://biblehub.com/nasb/luke/2.htm

3.HOLMAN CHRISTIAN STANDARD BIBLE.

When the eight days were completed for His circumcision, He was named Jesus--the name given by the angel before He was conceived.

.

BIBLIA HIYO NA BAADHI ZINASEMA ALITAHIRIWA.

ZINGINE ZINASEMA ZILIPOFIKA SIKU ZA KUMTAHIRI ALIITWA JINA.

kasome pia bible za kiswahili.

WAMECHAKACHUA.

heh..! We ukoje??
 
nguo tulikuwa hatuvai siyo kwa sababu haukuwa utamaduni wetu bali kwa sababu tulikuwa hatuna utaalamu wa kutengeneza nguo na baadae tulipoweza tulikuwa tunatengeneza kwa kadri tulipopata ujuzi, kutoka kwenye nguo za magamba ya miti wasukuma walikuwa wanavaa na kutengeneza nguo za kutumia ngozi za wanyama.

uchafu ni swala jingine. wala govi lisiwe kisingizio. kama ni mchafu hata ukikata govivi itabakia mchafu tu.
kwa asili ya wanawake na maumbile yao basi nao wangetafuta utaratibu maana nadhani hao ndio wanapata uchafu kwa kiasi cha kutosha kwa maumbile yao.

nimeuliza magonjwa gani yanayoambukizwa na watu wasiotahiriwa hakuna aliyeleta majibu.

Sasa na zamani walikuwa hawatahiriwi kwa sababu hawakua na uelewa wa hilo jambo ni kama uliposema hawakua na uwezo baada ya kuwa na acess ndo tunavaa nguo sasa nao ni lazima wa katwe kila mtu ana tamaduni zake zile mbaya zimeachwa usitake kusema hujui faida za circumsion hafu case ya wanawake ni tofauti kila kiumbe kutoa uchafu ni kawaida si mwanamke si mwanaume kwahyo hapo usiingize swala la mwanamke na uchafu au discrimination kama huzijui faida na hasara baki na mkono wa sweta hulazimishwi
 
heh..! We ukoje??
usinishange , ndio maana niliwaambia mniletee maana mlichokuwa mnasema hamkijui.

kasome na za kiswahili uje ulete hapa ushahidi.

am this way i am, a trouble making boy who you need very high thinking to argue with.
 
Sasa na zamani walikuwa hawatahiriwi kwa sababu hawakua na uelewa wa hilo jambo ni kama uliposema hawakua na uwezo baada ya kuwa na acess ndo tunavaa nguo sasa nao ni lazima wa katwe kila mtu ana tamaduni zake zile mbaya zimeachwa usitake kusema hujui faida za circumsion hafu case ya wanawake ni tofauti kila kiumbe kutoa uchafu ni kawaida si mwanamke si mwanaume kwahyo hapo usiingize swala la mwanamke na uchafu au discrimination kama huzijui faida na hasara baki na mkono wa sweta hulazimishwi

nimewataka mniambie hapa hizo hasara za kuwa na govi maana mnataja magojwa wakati hakuna ukweli wowote. toka kuumbwa kwa dunia hatukuwa na utamaduni huu na hatukuwahi kuathirika kisa hatukati. niambie mpaka sasa ni ugojwa upi umeshamiri mwanza,shinyanga,simiyu,geita na tabora , mikoa ambako wasukuma tunaishi kisa kutokata . alafu ukiniletea uthibitisho ndio tuanzie hapo, ukishindwa ujue ni propaganda za watu,
 
tatizo tunaishi kwa maelekezo ya tamaduni za watu wengine. sisi hatuna tatizo na wazee wetu wanawajengea hofu na ndio sababu wanalazimika kwenda. kwanza kumtahiri mzee ni kumuumiza na kumuuongezea madhara zaidi badala ya kumsaidia.

ifike mahali tuheshi pia tamaduni zetu wenyewe. GOD WAS NOT CRAZY TO MAKE HUMAN BEING IN THAT WAY.

Mi mwenyewe nilitaka ni waambie. Watu wanashabikia tamaduni za watu badala ya kutukuza tamaduni zao. Watu wa pwani walianza kutahiri kwa sababu ya dini ya maeneo yale lakini haukua utamaduni wao.
 
Back
Top Bottom