Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,516
- 9,809
nimezaliwa pwani ila nilipokwenda kusoma kanda ya ziwa nilishangaa maajabu tukienda kuoga robo tatu ya wavulana hawajaenda sunna,hii ilifanya tupendwe na wadada wa kule ambao walikuwa wanaadithiana kuwa sie watu wapwani hatuna mikono ya sweta,which was true ikawa advantage kwetu
Ulienda kusoma shule gani hiyo? Labda ilikuwa na wahaya, wajauluo wakerewe na wasukuma pekee maana ndo makabila pekee ambayo tohara haikuwepo ila siku hizi wameanza ingawa kwa wajaluo bado sana