Wanaume kanda ya ziwa wengi wao hawatahiriwi

Wanaume kanda ya ziwa wengi wao hawatahiriwi

Luke 2:21 English
Standard Version
(ESV)
And at the end of
eight days, when he
was circumcised, he
was called Jesus, the
name given by the
angel before he was
conceived in the
womb.

Ingia google uhakikishe mwenyewe. Nimeshindwa kuweka link.

Watu bwana waajabu sana yaani wewe kujua kamstari kamoja tu hako unaona unajua bible. Tangu zamani kutahiri ilikua desturi na taratibu za kiyahudi na Yesu alizaliwa kwa wayahudi. Hivyo si lazima kutahiri kwa kufuata taratibu za kiyahudi we fuata taratibu za kabila lako.
 
nimewataka mniambie hapa hizo hasara za kuwa na govi maana mnataja magojwa wakati hakuna ukweli wowote. toka kuumbwa kwa dunia hatukuwa na utamaduni huu na hatukuwahi kuathirika kisa hatukati. niambie mpaka sasa ni ugojwa upi umeshamiri mwanza,shinyanga,simiyu,geita na tabora , mikoa ambako wasukuma tunaishi kisa kutokata . alafu ukiniletea uthibitisho ndio tuanzie hapo, ukishindwa ujue ni propaganda za watu,

Ni chafu sana linanuka..linatoaga matongomatongo.. Yananuka balaa.. Hv madem huwany...a magovi? Maana sipigi picha na zile tongotongo hujitengeneza kila baada ya sekunde 4..lah..ni harufu...
 
Ni chafu sana linanuka..linatoaga matongomatongo.. Yananuka balaa.. Hv madem huwany...a magovi? Maana sipigi picha na zile tongotongo hujitengeneza kila baada ya sekunde 4..lah..ni harufu...

Kumbe!
 
nimezaliwa pwani ila nilipokwenda kusoma kanda ya ziwa nilishangaa maajabu tukienda kuoga robo tatu ya wavulana hawajaenda sunna,hii ilifanya tupendwe na wadada wa kule ambao walikuwa wanaadithiana kuwa sie watu wapwani hatuna mikono ya sweta,which was true ikawa advantage kwetu

**** za wanaume wenzako zinakuhusu nini???

angalia usije kua punga mazee
 
Mi mwenyewe nilitaka ni waambie. Watu wanashabikia tamaduni za watu badala ya kutukuza tamaduni zao. Watu wa pwani walianza kutahiri kwa sababu ya dini ya maeneo yale lakini haukua utamaduni wao.
hata kama ni tamaduni za watu angalia zina madhara au hazina zina faida au hazina ,mi nadhani kutahiriwa ni kitu kizuri kuliko kuwa na mkono wa sweta tena kwa kipindi hiki cha ukimwi.inasemekana wenye magovi wako kwenye hatari zaidi kwani mchubuko ni a must
 
Kanda ya ziwa kubwa mkuu, so siyo vizuri kujumlisha, baba lao ni wakurya wanaotahiriwa bila ganzi, so ukimwambia hajatahiriwa atakachokufanyia utajuta miaka elfu na moja.
 
nimewataka mniambie hapa hizo hasara za kuwa na govi maana mnataja magojwa wakati hakuna ukweli wowote. toka kuumbwa kwa dunia hatukuwa na utamaduni huu na hatukuwahi kuathirika kisa hatukati. niambie mpaka sasa ni ugojwa upi umeshamiri mwanza,shinyanga,simiyu,geita na tabora , mikoa ambako wasukuma tunaishi kisa kutokata . alafu ukiniletea uthibitisho ndio tuanzie hapo, ukishindwa ujue ni propaganda za watu,

Hapo hamma cha propaganda wala nini tuna bishana tu ku poteza mda hamna asiye jua faida utamaduni kwani kuna jamii isiyo na utamaduni kwahyo kanda ya ziwa ndo wanao wengine hawana lack of consiousness and awareness ni tatizo mana kama ni utamaduni nchi za Kiafrica zimeacha zaidi ya asilimia tisini ikowemo kuletewa vitu ambavo hawakuvitumia kwahyo utamadini ni minor point kutetra watu kuto kufanyiwa circumsion
 
kwani stori ni ya kweli kwamba wanaume wa mikoa hiyo hawatolewi hiyo kitu, ?
 
Wamekugegeda weeeee ndo umegundua hiyo sensa ya dushe za watu haya njoo na huku zenj
 
Watanzania Na Waafrika Kwa Ujumla Huwa Wanapandikishwa Vi2 Na Wazungu Hasa Hasa Wamerekani. Lakin Ukiangalia Nchi Zilizoendelea Kama Canada,bala europe, German, Australia Kote Wanaume Hawatairiwi Na Wanakampen Za Kukataza Tohara. Et Wanaxema Ukitahiri Utapunguza Uwezakano Wa Kupataj Ukimwi Kwa 60% (wamarekan Ndo Wanaxema) Xaxa Mbona Nchi Za Afrika Ndo Zinaongoza Kwa Tohara Af Hapo Hapo Tafit Zinaonyesha Bala La Afrika Ndo Linaongoza Kwa Maambukiz Ya Ukimwi. Also 70% Ya Wanaume Wote Dunian Hatujatahiriwa Ni 30% Tu Ya Wanaume Ndio Wametahiriwa. Mimi Nina Miaka 18 Na Cjatahiri Na Nina Enjoy The Way I Am. Coz Ndivo Nilivyo Umbwa Na Mungu. Ukiongelea Swala Usaf Kwanza Utatakiwa Uwaulize Wanawake Kwanin Wanaoga Mara Kwa Mara. Nikiwa Na Maana. Kusafisha Penis Ni Rahic Xana Kuliko Kusafisha Uke Thank U And Gudbye. Ingien Hapa.www.Sexasnautureintendedit.Com
 
Sio wakurya..mkurya ni desturi toka enzi za kuumbwa kwao na mkurya anamdharau kishenzi mwanaume asotahiriwa kama mjaluo na msukuma

Nchi Za Magharib Hawatahiri Na Wanakataza Kutahiri Watoto. Pia .Merekan Ndio Inchi Inayoongoza Kwa Kutahiri Watoto Pia Ndio Inchi Inayoongoza Dunia Nzima Kwa Maambukiz Ya Ukimwi Ndo Mana Wanawapandiza Watanzania Nao Watahiriwe. . Najivunia Kua Govi Man
 
Oh sht..u stink man..!!! I cant imagine nzi wanzavokufata joto likiwa kali..lazima utoe kilo za tongotongo
 
Nchi Za Magharib Hawatahiri Na Wanakataza Kutahiri Watoto. Pia .Merekan Ndio Inchi Inayoongoza Kwa Kutahiri Watoto Pia Ndio Inchi Inayoongoza Dunia Nzima Kwa Maambukiz Ya Ukimwi Ndo Mana Wanawapandiza Watanzania Nao Watahiriwe. . Najivunia Kua Govi Man

Naombea nickutane na m2 wa dizain ya govinda aku
 
Naombea nickutane na m2 wa dizain ya govinda aku

, hata hujawahi kukutana nae na kujionea chochote alafu tayari una negative atitude, hii hatari sana. msichana wangu wa kwanza ni mixture ya pwani na mbeya, and all the time raised in dsm , never a day aliwahi kuona ni tatizo and she is a girl like others. tatizo watu mmeanishwa vibaya,

mfano sisi usukumani ukisikia tunavyowazungumzia pweza huwezi hata kufikiri unaweza kumla, lakini mimi huwa siamini mpaka nithibitishe, nilipokuja mjini nikandamiza pweza nikaona wanakwenda na hawana neno tofauti na stori za kuaminishwa usukumani na mpaka sasa nakandamiza.

hata hilo sweta halina tatizo kabisa.
 
Hapo hamma cha propaganda wala nini tuna bishana tu ku poteza mda hamna asiye jua faida utamaduni kwani kuna jamii isiyo na utamaduni kwahyo kanda ya ziwa ndo wanao wengine hawana lack of consiousness and awareness ni tatizo mana kama ni utamaduni nchi za Kiafrica zimeacha zaidi ya asilimia tisini ikowemo kuletewa vitu ambavo hawakuvitumia kwahyo utamadini ni minor point kutetra watu kuto kufanyiwa circumsion

a person who has lack of consciousness is the one who will be told anything and says yes only becouse is told by someone, a conscious person will have to find out a prove the conveyed information beyond reasonable doubt, and that is Mshinga. am very aware and conscious, ndio maana nawataka mulete hapa hadharani hizo hatari za govi, mnang'atang'ata maneno na kukosa ushahidi kabisa.

I have a lot of information to disprove this taboo(it is just a taboo) from honkeys of the west.

tena mnabahati hamtaki kuleta ushahidi na faida zinazoitwa za kutahiri, maana ningewaonyesha ni jinsi gani hakuna ukweli.

NDIO HAOHAO WATTU WANAJIITA WANA UELEWA NA UFAHAMU ALAFU KUNAMUDA WALIAMBIWA KWENYE MFUMO WA JUA KUNASAYARI TISA, WAKASOMA NA KUAMINI KUWA SAYARI ZIKO TISA.

BAADAE KIDOGO WAKAAMBIWA SASA SAYARI ZIKO NANE TU NA ILE YA TISA KUMBE SIYO SAYARI, TENA WAKASEMA NDIO.

NANI ANAEJUA HATA HIZO NANE KAMA NI SAYARI KWELI AMA LAA? LAZIMA IFIKE MAHALI TUWE NA VERY HIGH THINKING CAPACITY ILI TUTAFITI MAMBO NA HATA TAARIFA ZITOLEWAZO KUEPUKAUONGO NA UPOTOSHAJI WA WAZI KISA WANAOUSEMA NI WAZUNGU
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom