Wanaume kanda ya ziwa wengi wao hawatahiriwi

Kwenye huu ulimwengu wa maradhi wanapaswa wabadilike.haya sasa wanavaaje ile jezi ya wazinzi? Kwa sasa hizo zinaitwa mila potofu.inasemekana kuwa waafrika wanaoishi kusini mwa jangwa la sahara wans adopt mabadiliko taratibu sana.

maradhi yapi hayo? hiyo jezi nani amekwambia haivaliki bila kutahiri? usilolijua litakusumbua, hao ambao hayajatahiri hawajawahi hata siku moja kusema haiwezekani kuvaa condom alafu aliyetahiriwa ndio anawasemea. haya sijui niyaite maajabu.

ipi ni imani potofu? kutotahiri? kwa definition ya nani?
 
Mila na destur zao zinawapotosha nahis...

hazitupotoshi na hakujawahi kuwa na tatizo kabisa. kila mtu na utamaduni wake. na hatujawahi kupata madhara na tungepeta tungetafuta suluhisho siku mingi sana
 
Nilishangaa kwenye taarifa ya habari wanapewa msaada wa kutahiriwa wababa karibia wawe wazee nilishangaa huko kanda ya ziwa

tatizo tunaishi kwa maelekezo ya tamaduni za watu wengine. sisi hatuna tatizo na wazee wetu wanawajengea hofu na ndio sababu wanalazimika kwenda. kwanza kumtahiri mzee ni kumuumiza na kumuuongezea madhara zaidi badala ya kumsaidia.

ifike mahali tuheshi pia tamaduni zetu wenyewe. GOD WAS NOT CRAZY TO MAKE HUMAN BEING IN THAT WAY.
 
ila mbona mababa wa imani wayahudi walikuwa wanawatahiri watoto wao siku ya saba,hata YESU alipitia sunna
 
Kwenye huu ulimwengu wa maradhi wanapaswa wabadilike.haya sasa wanavaaje ile jezi ya wazinzi? Kwa sasa hizo zinaitwa mila potofu.inasemekana kuwa waafrika wanaoishi kusini mwa jangwa la sahara wans adopt mabadiliko taratibu sana.
hata mi najiuliza awanavaaje ile kitu nimaajabu
 
ila mbona mababa wa imani wayahudi walikuwa wanawatahiri watoto wao siku ya saba,hata YESU alipitia sunna

Yesu hakutahiriwa, acheni uongo. wayahudi walifanya hayo kwa tamaduni zao na si maelekezo ya ukristu ama ya Mungu
 
tatizo tunaishi kwa maelekezo ya tamaduni za watu wengine. sisi hatuna tatizo na wazee wetu wanawajengea hofu na ndio sababu wanalazimika kwenda. kwanza kumtahiri mzee ni kumuumiza na kumuuongezea madhara zaidi badala ya kumsaidia.

ifike mahali tuheshi pia tamaduni zetu wenyewe. GOD WAS NOT CRAZY TO MAKE HUMAN BEING IN THAT WAY.

Mh makubwa tamaduni nyingine hazifai bwana za kuambukizana yani hadi watu wazima wana wajukuu hawajakatwa na uchafu wote huo as long as mwanzo hawakujua na sasa wameambiwa umuhimu kwanini waseme tamaduni ingekua hivo hata nguo tusingekuwa tunavaa shule hatuendi hadi mahospitali kisa tuliletewa na wageni
 
Nasikia mabinti wengi wanapenda sana kukunwa na mikono ya sweta.Kuna jamaa hapa kitaa alikuwa anawapitia sana wake za watu,kuja kugundulika kuwa walikuwa wanafuata mkwaruzo wa nyama!
 
Back
Top Bottom