The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,667
Nimemiss comments zako, short n clear.
We umepotea wapi?
Nimemiss comments zako, short n clear.
Nimepotezwa na hekaheka za Hapakazi tu [emoji17]We umepotea wapi?
Hata dada WA kazi aka housegirl anajua kupika
Sure yaani me mwanamke afanye yote Ila awe tu asbh ananiomba hela huku akinipa gharama ya menu ya siku Nzima awe ananibembeleza kutoa hela ya Kula vizuri au akiwa ananipika ananishirikisha Dah yaani inanifanya nimshukuru na kuamini anajali na Nikipata NAFASI ni pike mimi akala huku anatabasamu asee najikuta nampenda milele amina. Chakula kwangu ni mwanzo wa neema kwenye mahusiano yangu. Mimi tu nikijua tu kapika chakula ili Nile ni furahi atakuwa amenibariki Sana mimi na uzao wangu
Love is a decision not feelings
Hapana...mke awe na VYOTE... haya mambo ya SIO SURA NI TABIA..ndy wana ndoa wengine wakiwa na safari huwa hawatoki pamoja wanakutana KITUONI...au MUME MBELE MKE NYUMA...siku zote elewa mke ni pambo la nyumba...SASA unatakiwa uweke uwa zuri ndani linalonukia...haipaswi uchukuwe MKATANI uweke ndanj badala ya ROSE FLOWERS.Uzuri wa mke si sura ni tabia.
Sure wapo wengi tuu...ni tamaa na kutokuridhika...hudumia huyo mke wako ataonekana mzuri tuu siku zote....tamaa mbaya inaleta hatia katika maisha.....Tabia mnabadilisha eti eeh!!
Kuna watu wana wake wazuriiii na bado huko nje wanahangaika hatari, tena anakwenda kutembea na mtu ambae hamfikii mkewe hata robo.
Hapo ndipo nikawaza "ama kweli KUNA wanaume hawajui nini wanataka kwakweli".
Hapana...mke awe na VYOTE... haya mambo ya SIO SURA NI TABIA..ndy wana ndoa wengine wakiwa na safari huwa hawatoki pamoja wanakutana KITUONI...au MUME MBELE MKE NYUMA...siku zote elewa mke ni pambo la nyumba...SASA unatakiwa uweke uwa zuri ndani linalonukia...haipaswi uchukuwe MKATANI uweke ndanj badala ya ROSE FLOWERS.
Sura ata mbuzi anayo..!na kasura kidogo bhana sio unatoka na mutu unaogopa hata kumtambulisha.
kidding