Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Okey nasubiri[emoji12]
Hube nikumbushe namba yako[emoji2] [emoji2]
 
Siamini kama kuna mwanaume aweza kuingia ndoani based on chura, ndoa na maisha yake ni x1000 zaidi ya vyura na sura.
Waambie bhana chura has nothing to do kama mambo yanaenda worse
 
Nashangaa kidogo nikiona wengi mnakimbilia vigezo cjaona nafac ya Mungu, maana neno lake linasema "mke mwema anatoka kwa bwana, lkn pia apataye mke amepata kitu chema" chura sura ni additional tu lkn cyo cha mcngi. Ukimpata sura safi chura ndo usiseme usafiri aaah kw bed yuko safi lkn hakuwa wako maana hufanani nae? Baada ya ndoa vitimbwi unamlilia nani?
 
Tunampendea mwanamke kitu kimoja tu siyo vingi mf. unene, wembamba, usafi, ukarimu, sauti, mwanya, maumbile fulani, kujali kwake, urembo wake.Unachagua kimoja kinachokufaa vingine hata usipovikuta havikuhusu ilimradi kile unachotaka kipo.
FB_IMG_1488122020258.jpg
Utataka umuoe huyu kwa kuvutwa na nn hasa.
 
Tunampendea mwanamke kitu kimoja tu siyo vingi mf. unene, wembamba, usafi, ukarimu, sauti, mwanya, maumbile fulani, kujali kwake, urembo wake.Unachagua kimoja kinachokufaa vingine hata usipovikuta havikuhusu ilimradi kile unachotaka kipo. View attachment 483229Utataka umuoe huyu kwa kuvutwa na nn hasa.
Huyu kama Inna mbona nimekapenda tu ghafla
 
Nataka mwanamke msafi, anajiheshimu, stara, anajua kuDo, kufua na kupika, kunifanya nijisikie Nipo alive
 
Back
Top Bottom