Basi atakuwa mtoto wa nje huyuHii itakuwa karithi kwa marafiki aiseeh!! Kwenye ukoo hakuna hii kitu kabisaaa.
Nisamehee. Nilijua hutaonaHovyoooo!![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Mimi nawe nani anakitembeza?!
Kutoka kwa jimama?Teh teh teh teeeeeh!!
Jitahidi basi upate kamtaji tugawane.
Wee sijasema kitu mimiAkuuu Saint Ivuga ndio kasema hivyo.
Alafu umejuaje nakutafuta? Kuna booonge la dili.
Hivi kumbe ndicho alichomaanisha. [emoji23][emoji23] koh ananifundisha umario sioKutoka kwa jimama?
Teh teh teh teeeeeh!!
Jitahidi basi upate kamtaji tugawane.
Nimemiss comments zako, short n clear.We all want what we dont have...
Mimi nakuambia huyu dada yangu mzibe nimekupa ruhusa, ona sasa mambo anayokushauri...Hivi kumbe ndicho alichomaanisha. [emoji23][emoji23] koh ananifundisha umario sio
Asante, na mimi nimekumiss sanaNimemiss comments zako, short n clear.
Ivuga wee ni kichaaaMimi nakuambia huyu dada yangu mzibe nimekupa ruhusa, ona sasa mambo anayokushauri...
Yani ukakate mauno hadi jimama liridhike likupe mtaji ndugu yangu mwenyewe hizo kilo 67 si zitabaki 40
Afu mkigawana huo mtaji na yy anaenda kuhonga ili apewe mauno.. Na dera lake kama namuona vile yuko peku peku.. Na hina zake mikononi hadi shingoni