jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,585
HahahhahahaSura ata mbuzi anayo..!
Nimekubali
HahahhahahaSura ata mbuzi anayo..!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mioyo nayo huwa na kichaa sometimes
unaempenda leo unaweza usimpende kesho
Passenger let's her go kuna mstari unasema you only know that she loved you when you let her go !!!!!!Na thamani ya kitu/mtu huonekana pale ki/asipokuwepo.
Waswahili wanasema wazuri wa sura ni wa kutumika ila ndoa kinachoangaliwa ni tabia.Uzuri wa mke si sura ni tabia.
Lakini kuna basic ambazo zinakuwa ni kipaumbele cha wengi, na kwa hapa nimeona chura.Hauwezi kupata jibu linaloweza kugeneralize, kila mmoja ana vigezo vyake ambavyo ni tofauti na vya wengine!
Huyu atakuambia tabia, huyu atakuambia sura, huyu atakuambia wowowo!
Tunatofautiana akili na uelewa!
Hapo inahitaji mwanamke anaejua kujiongeza...tabia zangu nyingine si nzuri nitaaribu kabisaa nikimuambukizaBFF wewe hutaki kumuambukiza tabia zako?
Tabia njema ndio silaha,ingawa wengi wanadhani,sura nzuri,body kubwa,mawigi na vi suruali vya kubana ndio uzuri..Uzuri wa mke si sura ni tabia.
Ila nikweli mwanamke inabidi awe mzuri kimtindo hata kama hana shepu maana kama mimi huwa napenda wembamba (flat screen)ila tabia ni must kuna ule msingi wa tabia njema ambayo unaupata katika familia mara baada ya kuzaliwa (socialization start at a family and family is the first institution of socialization where behavior attained) sasa familia ikilega lega tu basi mzigo upo kwa jamiiHuwa mnasema maanamke sura tabia mtatuambukiza zenu.
Ujambo cha urembo??Hahahhahaha
Nimekubali
Kwahiyo BFF sisi tunaofanana na babu mzaa bibi hatuna haki ya kupendwa?!![emoji85] [emoji85]Ila nikweli mwanamke inabidi awe mzuri kimtindo hata kama hana shepu maana kama mimi huwa napenda wembamba (flat screen)ila tabia ni must kuna ule msingi wa tabia njema ambayo unaupata katika familia mara baada ya kuzaliwa (socialization start at a family and family is the first institution of socialization where behavior attained) sasa familia ikilega lega tu basi mzigo upo kwa jamii