Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Mke wangu kosaaa Vyoteee ila sio CHURAAAA....!!!
 
Hahahahaha lol! Njemba imeshadanganywa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Me too.
 
Hahahahaha lol! Njemba imeshadanganywa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Alafu alivyokuwa mkali sasa wakati yeye ndie mwenye makosa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hizo ni mbinu za bi dada akiwa mkali kupindukia anajua njemba itasalimu amri na kuomba samahani kama vile yeye ndiye mkosaji.

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Alafu alivyokuwa mkali sasa wakati yeye ndie mwenye makosa.
 
nikimpata mwanaume kama wewe nakuheshimu mileee nk...
Sure yaani me mwanamke afanye yote Ila awe tu asbh ananiomba hela huku akinipa gharama ya menu ya siku Nzima awe ananibembeleza kutoa hela ya Kula vizuri au akiwa ananipika ananishirikisha Dah yaani inanifanya nimshukuru na kuamini anajali na Nikipata NAFASI ni pike mimi akala huku anatabasamu asee najikuta nampenda milele amina. Chakula kwangu ni mwanzo wa neema kwenye mahusiano yangu. Mimi tu nikijua tu kapika chakula ili Nile ni furahi atakuwa amenibariki Sana mimi na uzao wangu
 
Hizo ni mbinu za bi dada akiwa mkali kupindukia anajua njemba itasalimu amri na kuomba samahani kama vile yeye ndiye mkosaji.
Jamaa mpole na hapendi ugomvi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom