Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Wanaume tunatazama mambo mengi sana ili kumpata mke bora.

Hata kama tutayaorodhesha hapa na mkayasoma kama hauna hivyo vigezo usifikiri utajifunza na kubadilika.

Mke bora huzaliwa na sio kuundwa.
Ingekuwa hivyo basi ndoa zingekuwa salama mnoooo!! Lkn mbona ni kinyume chake?
 
Kwahiyo BFF sisi tunaofanana na babu mzaa bibi hatuna haki ya oupendwa?!![emoji85] [emoji85]
Uzuri kama chura ni social constrution tu, uzuri upo machoni mwa mtazamaji tu unaweza kusema una sura ya babu kumbe mwingine anakuona malaika na chakula hakipiti, usingizi hauji bila kukuona
 
Uzuri kama chura ni social constrution tu, uzuri upo machoni mwa mtazamaji tu unaweza kusema una sura ya babu kumbe mwingine anakuona malaika na chakula hakipiti, usingizi hauji bila kukuona
Hahahaa!! BFF umeamua kunipaka mafuta kwa mgongo wa chupa sio!!!
 
Hahahaa!! BFF umeamua kunipaka mafuta kwa mgongo wa chupa sio!!!
Sio hivyo best, unajua kumpenda mtu sio kazi sana yaani unaweza kuona mtu anasura mbaya ila ukampenda na ukatafuta sababu tu ya kuweza kumpenda zaidi. Kwa mfano umemuona mwanamke ana sura ya babu ila ana sauti nzuri basi ile sura yake unajisahau kabisa kama niya babu yake na una fall kabisa mpaka kupelekea kukosa usingizi
 
Khaaaah!!! Sasa hayo mambo ya kuanza kutafutiana sababu sio kabisa. Sauti yenyewe inakwaruza kama munywa gongo sababu itapatikana wapi!!
 
Passenger let's her go kuna mstari unasema you only know that she loved you when you let her go !!!!!!

Kama cjakosea cha malkia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Only know you love her when you let her go
 
Hauwezi kupata jibu linaloweza kugeneralize, kila mmoja ana vigezo vyake ambavyo ni tofauti na vya wengine!

Huyu atakuambia tabia, huyu atakuambia sura, huyu atakuambia wowowo!

Tunatofautiana akili na uelewa!
Kweli kabisa. Ila hapa kwa uzi wengi ni wowowo
 
Back
Top Bottom