Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Ila ukipata mtu sahihi ukampoteza hata MUNGU anakushangaa.
Shika sana ulicho nacho asije muovu akakichukua.
Kama shetani anajua unakitu kizuri atataka atumie mbinu zote ili akichukue
Na anakupiga upofu hadi unaona kabisaaa kuwa huyo ulienae siooo kabisa, tena anakupa na sababu za kujifariji nazo. Baadae ndio unakuja kugundua mambo yalishaharibika.

Huu uzi ukiusoma unagundua tu ni kwasababu gani ndoa siku hizi zimekuwa ndoano, yaani watu tumezibwa ufahamu kabisa.
 
Na anakupiga upofu hadi unaona kabisaaa kuwa huyo ulienae siooo kabisa, tena anakupa na sababu za kujifariji nazo. Baadae ndio unakuja kugundua mambo yalishaharibika.

Huu uzi ukiusoma unagundua tu ni kwasababu gani ndoa siku hizi zimekuwa ndoano, yaani watu tumezibwa ufahamu kabisa.
Choice
 
Ila ukipata mtu sahihi ukampoteza hata MUNGU anakushangaa.
Shika sana ulicho nacho asije muovu akakichukua.
Kama shetani anajua unakitu kizuri atataka atumie mbinu zote ili akichukue
Mimi Nina mito nimeishikilia ki sawa sawa
 
Habari wana JF,

Leo nimepewa story ambayo imenifurahisha na kunisikitisha kidogo.
Kuna jamaa alikuwa na mpenzi wake waliedumu kwenye mahusiano kwa takribani mwaka mmoja na miezi kadhaa, baadae jamaa akaanza visa tu na kumuacha binti bila sababu za msingi.

Alikuwa akiulizwa na marafiki zake kwanini amemuacha yule binti wakati ni boonge la wife material, jamaa alikuwa akisema eti binti ni mshamba mshamba yeye anahitaji binti mjanja, kweli akampata boonge la duu na akawa anajiona amefika haswaaa.

Baada ya muda jamaa alipata ajali mbaya iliyopelekea kuhitaji huduma hadi za kuogeshwa na ndugu zake walikuwa mbali, marafiki walimuhudumia japo sio kivile na wakati mwingine alipitisha hata siku tatu bila kuoga, inshort alihitaji huduma ya karibu sanaaa.

Mpenzi wake mpya hakumjali na wala hakujishughulisha nae, yule binti wa kwanza alipopata habari kuwa jamaa anapata taabu sana alikwenda kumuona na kuamua kumhudumia vizuri sana hadi jamaa alipopata nafuu, na binti alijitolea kweli hata kifedha.

Jamaa sasa akili ndio zikamrudi na akamuomba binti msamaha na kumuomba warudianae, ila binti alikataa katakata na kumwambia kuwa amemuhudumia tu kama ambavyo angeweza kumhudumia binadamu yeyote aliyepatwa na shida ila hawezi kurudiana nae. Jamaa alijitahidi kila njia ila binti aligoma kurudiana nae.

Baada ya mwaka binti aliolewa na mwanaume mwingine. Na jamaa kabaki hadi sasa anahangaika tu na kulaani wanawake anasahau kuwa yeye pia aliwahi kuvurunda huko nyuma.

Hapo ndipo nikawaza "ama kweli wanaume hawajui nini wanataka kwakweli".


Huyo ni mbongo fleva (mtoto/kijana) bado hajakuwa...mwanamme yeyote anayejitambua kamwe hawezi oa changu au zezeta ili tu aonekane mjanja kwa wabongo fleva wenziwe. Mwanamke mali bwana, asikudanganye mtu yeyote.
 
Mimi pamoja na yote yaliyotajwa,sifa stahiki ni umhimu wa mwanamke katika maisha yako.Kama kweli unajitambua,siyo kuwaiga wenzio waliopo kwenye uhusiano wa kimapenzi,kila tabia kwa mwanamke utakaempenda itafaa.Kwa sababu binadamu tulivyo, kuna binti/mkaka umejufa umeoza kwake,lakini huyo huyo kuna mtu akimuona ni kichefuchefu tu. Mi binafsi nafikili ukishapata jibu la kwa nini unahitaji mwanamke, basi swali la pili ni nani. Nafikili kwanza unatakiwa uangalie nani ataweza kukubaliana na halibuliyo nayo hasa kiuchumi, nani ataweza kukushauli matumizi mazuli ya utakachokipata, yupi wa kukemea maovu yako ukipitiwa, yaani kwa kifupi mwenye malengo mazuri atakapokuwa na wewe. Sura na chura sawa,lakini bora uwe na chausiku mwenye roho nzuli,kwa sababu kama utabahatika kuzeeshwa nae ndo utafurahia ndoa yako. Mrembo mwenye chura anaetamaniwa na kila mtu na ukute hajitambui,maisha yatakuwa shubiri,mwisho wa siku utaishia kuwatafutia wenzako.
 
Poa tu,•mzuka wa sex unapandishwa na sura na si tabia

Kwa hiyo,kwako mke ni wa sex kwanza?!
Kwa hili bora uwe unadeal na dada poa. Kwa sababu,kwanza hutafurahia maisha ukiwa nae,pili akishajua umelianzisha jiandae kuhimili michepuko ya akila aina.
 
Back
Top Bottom