Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Baadhi yetu tunakosea, tunakuwa na mtu kwenye mahusiano ili kuwapendeza watu wengine. Kwenye mahusiano be yourself.
Upendo, heshima, kujali, na furaha katika mahusiano ndio mambo muhimu. Hayo yakiwepo mtashinda mengi.
kwel bhana
 
Na thamani ya kitu/mtu huonekana pale ki/asipokuwepo.
Kweli kabisa,ndiyo maana ukigundua uliye naye ni chaguo jema,usimuache kamwe(keep constant kila mtu ana mapungufu yake)
 
Tatizo linakuja pale unapokuja kugundua kuwa ni chaguo jema utakapokutana na chaguo bovu. Alafu inakuwa too late.
Ndo mana tunaambiwa kama unataka kupata chaguo jema,mshirikishe MUNGU,mke mwema anatoka kwa BWANA,vile vile hata mume mwema anatoka kwa BWANA,kama dada unajiheshimu na unamuomba MUNGU hawezi kukupa chaguo baya,bahati mbaya siku hizi,tunaenda kumlilia MUNGU tukisha umizwa
 
Mimi nikipata mwenye mwanya tu huwa naridhika siitaji kitu kingine
 
Ndo mana tunaambiwa kama unataka kupata chaguo jema,mshirikishe MUNGU,mke mwema anatoka kwa BWANA,vile vile hata mume mwema anatoka kwa BWANA,kama dada unajiheshimu na unamuomba MUNGU hawezi kukupa chaguo baya,bahati mbaya siku hizi,tunaenda kumlilia MUNGU tukisha umizwa
Ni kweli, yakitukuta ndio tunakumbuka kuna Mungu. Mungu atusaidie tu kwakweli maana hii taasisi shetani anahangaika nayo hatari, maana anajua ndio msingi wa kila kitu.
 
Le bebe akiwa na ka-champaign kwa mbali sio mbaya atapewa nafasi [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Ni kweli, yakitukuta ndio tunakumbuka kuna Mungu. Mungu atusaidie tu kwakweli maana hii taasisi shetani anahangaika nayo hatari, maana anajua ndio msingi wa kila kitu.
Hosea 4:6
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.
Aisee katika sekta nyeti ni mahusiano especially pale unapotaka wa life time
 
Kila mtu na matakwa yake kwa kile akipendacho.... mi binafsi napenda tako... awe mfupi... awe na pesa au uwezo wa kutafuta peeesa..... ajue kupika na awe msafi.

Rangi nyeuuuupe hupewa kipaumbele.

Umalaya cjui tabia mi sina tatizo... tutaenda sawa tu
 
Hosea 4:6
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.
Aisee katika sekta nyeti ni mahusiano especially pale unapotaka wa life time
For sure.
Maarifa alitupatia ila tumekengeuka hatutaki kufuata njia iliyo sahihi, matokeo yake ni full mvurugano, kila mtu analia na lake.
 
Kuna mtu anajua maarifa lakini hataki kuyatumia
 
Siku hizi kuna option ya kufanyia kazi za ofisini nyumbani, kuna emails, unafanya kazi unapeleka report kwahiyo hayo ya kukaa ofisini mpaka saa tano usiku yasiku yasukusumbue.
Issue sio kukaa wapi na mpaka saa ngapi, issue nini kukaa muda mrefu akifanya nini, anaweza kufanyia kazi zake nyumbai sawa, lakini si concentration ya kazi yake inabaki vile vile, mtoto anakojoa hapo hata habari hana.
Sio kwamba wasisome hapana, adjustment na balance ni muhimu pia katika kulea familia.
 
For sure.
Maarifa alitupatia ila tumekengeuka hatutaki kufuata njia iliyo sahihi, matokeo yake ni full mvurugano, kila mtu analia na lake.
Ila ukipata mtu sahihi ukampoteza hata MUNGU anakushangaa.
Shika sana ulicho nacho asije muovu akakichukua.
Kama shetani anajua unakitu kizuri atataka atumie mbinu zote ili akichukue
 
Issue sio kukaa wapi na mpaka saa ngapi, issue nini kukaa muda mrefu akifanya nini, anaweza kufanyia kazi zake nyumbai sawa, lakini si concentration ya kazi yake inabaki vile vile, mtoto anakojoa hapo hata habari hana.
Sio kwamba wasisome hapana, adjustment na balance ni muhimu pia katika kulea familia.
Hapo pa kuadjust ndio shughuli, labda uwe umejiajiri, kama umeajiriwa unajiadjust vipi na kazi za watu?

Ndio ile unakuta mtu analala kama punda, yuko hoiii bin taaban.
 
Back
Top Bottom