Kweli mkuu ila kigezo cha pili nadhani kinanguvu sana ili uwe successfulNafikiri
uzuri wa mke Ni sura tuu
Ubora wa mke Ni tabia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
When you decide to follow yo heart take yo brain with you.
Usikute washkaji bado wako na maisha ya usela. Mie nadhani mtu sahihi wa kumuomba ushauri ni yule ambaye unaona kabisa relationship yake iko very strong au ata kwa mtu aliyekuzi umri anaye jielewaNi kweli ndiyo inabidi kuzisoma tabia za marafiki na kuona kama wanastahili kuaminiwa kiasi hivyo cha kuwaomba ushauri kuhusu penzi au ni wale akina pangu pakavu tia mchuzi.
Asikwambie mtu mkuu.Jamaa kichwani hamna kitu. Serious, usikute kabinti kalikuwa royal, innocent yaani kalishindwa tu kuwa decent jamaa akapiga chini.
Kunawatu tunaomba mungu tukutana na wa hivo yeye analeta utoto
Big up mkuu, kuna faida gani ya kuoa mzuri kama malaika lakini ukirudi nyumbani unakuta nyumba chafu, hajapika, siku nzima alikuwa kitandani akitoka whatsupp anainga instagram.Mwanamke tabia over
Kujua inner beauty mungu/Allah anatakiwa kushirikishwa.Hata kama kila mtu anavigezo vyake lakini kama ni mwanaume angalia the inner beauty, sasa kama unaoa uzuri wa sura, akipata ajali kesho utamuacha? Kama ni mwanamke unakwenda kwasababu mkaka ana mali, kesho amepata ajali na biashara imekufa utamuacha? Yote lakini sababu ya kuishi pamoja iwe ni mapenzi kwanza.
Moyo wa mtu ni msitu, msichana ukishamwambia unataka kumuoa anauwezo wa ku pretend tabia nzuri hata mwaka mzima, ukishamuoa ndiyo utajua tabia zake originalHata kama kila mtu anavigezo vyake lakini kama ni mwanaume angalia the inner beauty, sasa kama unaoa uzuri wa sura, akipata ajali kesho utamuacha? Kama ni mwanamke unakwenda kwasababu mkaka ana mali, kesho amepata ajali na biashara imekufa utamuacha? Yote lakini sababu ya kuishi pamoja iwe ni mapenzi kwanza.
Amina.Kujua inner beauty mungu/Allah anatakiwa kushirikishwa.
Piga magoti mungu anasikia maombi
Ha ha hii kitu iko very trickyMoyo ukitawala akili ndio balaa hiyo, wengi tunafuata mioyo bila kushirikisha akili na kusikiliza akili inasema nini, yakitukuta ndio tunakumbuka tuna akili.
Ukiruhusu moyo uishinde akili lazima utaweka mbele chura.....Siamini kama kuna mwanaume aweza kuingia ndoani based on chura, ndoa na maisha yake ni x1000 zaidi ya vyura na sura.
Lakini ukiweza ku control moyo unaishia kula matunda ya nchi[emoji2] [emoji2] [emoji2] . Lakini moyo uki control akili jiandae kushinda kwenye mabaraza ya usuruhishiTatizo mkuu moyo unanguvu mnoo katika kufanya maamuzi
Mara nyingi huangukia pabovu....
Moyo mashine
Tatizo mkuu moyo unanguvu mnoo katika kufanya maamuzi
Mara nyingi huangukia pabovu....
Moyo mashine