excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,452
- 17,927
tunawaonesha mapenzi, mnatuonesha mfuko..[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Uwiiii!! Kumbe tuna nini?
Bado mnasema mna tabia?
kweli?
tunawaonesha mapenzi, mnatuonesha mfuko..[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Uwiiii!! Kumbe tuna nini?
Mie mbeba maboksi tu[emoji403] [emoji403] [emoji403][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kama za kwako.
hivi kwa mfano nikisema nakutaka,Hiyo nayo ni tabia mkuu.
Ulikuwa hujui?Ooooh kumbe!!
Tabia mnabadilisha eti eeh!!
Kuna watu wana wake wazuriiii na bado huko nje wanahangaika hatari, tena anakwenda kutembea na mtu ambae hamfikii mkewe hata robo.
HahahahaHapo shida iko wapi sasa?
At least atakua mama fresh, at least tutasikilizana.Mmmmh!! Kwahiyo akiwa sio msomi hautosaidiwa?
Mimi kwangu likiwa linachemka na nikalimwaga ninalala vizuri, sasa kimbembe ni shost unaemwagia analiimba wakati wewe umeshalisahau. Huku hata ukilipa pesa ukisahau humuoni tena.
mkuu hapo pana mtihani, kama amekulia kijijini akifika mjini atataka na yeye awe sawa na mashost, mbona kazi utakua nayo. Wa mjini nao mara nyingi mzazi anakwambia kabisa nilitaka kumuendeleza mwanangu lakini baba kama unatakata kumuoa asiishie form IV mwendeleze.At least atakua mama fresh, at least tutasikilizana.
Napenda mtu a play role ile ya mama naturaly
Mi napenda tumlee bashite ki standard halafu mimi kama dingi ntakuwa provider mkate tutapata tuu.Mkate utaongezeka na Bashite atasoma Braenburn Arusha.
Ki baya ni kuwa wakati anaimba wewe umeshamove on.Hapo sasa, nakwambia bi shosti ataliimba na kibwagizo juu. [emoji108]
Tabia mnabadilisha eti eeh!!
Kuna watu wana wake wazuriiii na bado huko nje wanahangaika hatari, tena anakwenda kutembea na mtu ambae hamfikii mkewe hata robo.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Na hapo ni pale unapokuja kugundua kuwa lile umbo zuri tu halikutosha, ulihitaji zaidi ya hicho.
Ki baya ni kuwa wakati anaimba wewe umeshamove on.
At leastmkuu hapo pana mtihani, kama amekulia kijijini akifika mjini atataka na yeye awe sawa na mashost, mbona kazi utakua nayo. Wa mjini nao mara nyingi mzazi anakwambia kabisa nilitaka kumuendeleza mwanangu lakini baba kama unatakata kumuoa asiishie form IV mwendeleze.
Siangalii kitu, kikubwa awe mwanamke.[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Kwahiyo wewe huangalia nini?
Kuna dada alistuka miezi kama mitatu mume akirudi hamgusi anasema amechoka, aliamua kufanya uspy mwenyewe, kugundua kuwa kuna danguro mume anapitia kila akitoka kazini. Mdada alikwenda kuomba kazi kwenye danguro lile, aliulizwa kama ana ujuzi wowote, alisema hapana, walimwambia watampa mafunzo. Aunt mwenye danguro asianze kumfundisha maututundu, alipoyajua tu akaacha kwenda. Mume anashangaa mke amekua na mautundu, lakini aliokoa ndoa yake.Labda kuna sababu zinazomfanya mume aende nje. Mie nimechoka leo sijisikii nataka kulala mapema. We unataka kila siku mie nachoka sana. Mke kukosa utundu kwenye sita kwa sita. Usiniulize definition ya utundu. Akienda nje kwa bidada asiyefikia uzuri wa mkewe hata kwa 5% anasuuzika roho yake na kujisemea kimoyo moyo, "Natamani mke wangu kwenye sita kwa sita angekuwa kama huyu."
ila sometimes sisi wanaume ni wapumbavu kweli yan unapata demu anayekupenda kwa dhati halafu,unamkataa kwa sababu za kishenzishenzi tu,,,et mshamba!!!!!!! halafu unataka mjanja anayekuchuna then unakuja kulalamika ooh sijui anapenda hela.....
samahani kama nimewakwaza wanaume wenzangu lakini tunaambizana ukweli tu.