Sasa shida ni pale mwanamke anapokuwa mzuri alafu kichwani hamna kituKweli kabisa! Wengi wao wanapumbazwa na uzuri wa nje
Unajikuta unaanza kumsimanga wako kuwa hivi we huwaoni wanawake wenzio wanavyofanya? nkUkiruhusu moyo uishinde akili lazima utaweka mbele chura.....
Sema sometimes inabidi ubalance sio kuangalia upande mmoja kisha baadae uanze kitaman....nje
Lazima kunakitu mungu kakupa. Mungu sio mchoyo kiasi hicho.Sasa akina sie wenye reception za babu zetu wazaa wajomba ndio kusema?????[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Mkuu sometimes unaona ni kheri ukalipie counselling session ukimaliza umemaliza hakuna anaemfahamu mwenzake.
[emoji102] ??Kikubwa ni moyo upende, hayo mengine utayasawazisha kama pencil.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari mkuuUmesahau Snapchat [emoji38][emoji38][emoji38]
Mie nimegundua hilo. Zamani nilikuwa natamani tu wa wenzangu ila nikaja kujifunza. Kadri unavo mpenda mtu ana kumjali na vizawadi vya nguo, tupafyumu , meke up yaani baada ya muda utakuta unakipusa hatariNa nirahisi kumfanya mtu apendeze machoni mwako kuliko kumshawishi mzuri akupende.
Haina longo longo lakini tatizo likiisha unaweza kufikiri hivi kweli nililipa pesa ili niongee!!! Lakini wanakusaidia kuona upande wako wa pili ambao hukufahamu kuwa ni kiini cha tatizo, au jinsi ya kuliona ni tatizo dogo na unaweza kulikabili.Hizi nasikia wanaume wengi wanazipiga vita.Nilisoma kwenye blog moja wanaume wakiziponda sana. Niende kwa stranger nimuelezee matatizo ya ndani kisha nimlipe na ushauri wake unaweza usisaidie chochote. Nilishangaa sana.
Ndege aliye kwenye mikono yako ana thamani kubwa kuliko kumi walioko msituni.Mie nimegundua hilo. Zamani nilikuwa natamani tu wa wenzangu ila nikaja kujifunza. Kadri unavo mpenda mtu ana kumjali na vizawadi vya nguo, tupafyumu , meke up yaani baada ya muda utakuta unakipusa hatari
Hahahhaa Basi usubiri wanaopenda tabia.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ndio ishasemwa kuwa reception muhimu, sasa hata uwe na tabia za malaika sio issue.
Hili la social media ni janga kwa wote tu mkuu, ila kwetu wanawake imezidi kidogo.Ila tu tuseme ukweli. Social media zinawazuzua sana dada zetu mpaka maofisini. Yaani kunamuda mtu anashindwa kutimiza malengo yake kwasababu tu yuko instergram ana like picha za watu. Kwakweli wa hivi anipitie mbali[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]