Wanaume humu mueleweke mnataka nini basi? (Jike shupa)

Wanaume humu mueleweke mnataka nini basi? (Jike shupa)

Lara 1 is here. Nice to read from you again Happy New Year Lady. Huyo jamaa sijui nimuweke kwenye kundi la amphibia, reptile ama mamalia maana simuelewi vizuri ni kama kapata ugonjwa wa mfadhaiko alivyokuona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lara1 huwa nikisoma jina lako, wimbo wa tekno rara kale kakipande ka chorus huwa kanijirudia rudia kichwani!

Turudi kwenye topic yetu, inawezekana katika mawasiliano yenu umemtisha jamaa anaona kama anakuja kuvuka nguo tena, si unajua sisi wanaume wa dar tena, bibie umempa mikwara bwana kaufyata mkia🤣🤣.
 
Mala.ya lara 1 naona umerudi upya. I hope ulipumzisha na hilo papa lako mbwa kachoka.
 
Bado siamini kuna baharia anaweza kukuchomolea humu lara 1 ,nina uwakika that guy ni mwenzenu "bofro"
 
Mtoto kama wewe inatakiwa Amrish Pool ning'alishe sharubu, vipi tunafanyaje mzee mzima nataka kwenda sawa ila unaumia naumia life fupi mambo burudani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Kitambo sijaingia humu kwa sababu tofauti tofauti ikiwemo kukosa simu ya smart amini mmsiamini! (Either way life facks us all sometimes)

At my prime nimekula sana pesa za watu humuuu! Sanaaa! Nishakaa mwaka bila kazi nakula tu pesa za watu humu! (I was young and naivee!)

Now I actually have a life! Nina mishe zangu za kimataifa! I’m always busy always working always making shit happen! Nazurura sanaa nje ya nchi! Hata relation ni long distance zina complications sana!

Nikiwa exile zaidi ya mwaka naweza nikaingia kwa miezi mi 2 mara moja! Dm I kaanza mzuka! Zamani weeee sms kibao! Mpaka mwaka wa exile zikawa zinahesabika! Kuna Senior Memba mmoja hakosi ku nicheki! Wako wengi some how he caught my attention!

At first nikajua ni douoush bag tu! Hana maana wala niniii! Vitoto tu vya humu! They always kiss and tell! Nikawa nam potezea!

Akajiongeza he took a risky and bravery move! Kanitumia picha! Jamaniii jamniii! Kazi moja ya HATARIIIII! Mnajua mimi nikisema kazi ya hatari mjue nimeipitisha kwenye Mizani imeenea! My type of men! Just the way I like!

Niwarudishe nyuma kidogo hatukuwa tumetongozana perse just normal convo tu! Na kutoka kufahamiana for what exactly hata Mimi sijui!

Mi baada ya kuona picha nimefika bei! Na sipendi kujibanaa banana! Maisha mafupi haya! Mwaka Jana Kobe alikuwepo mwaka huu hayupo! Na mi pesa yake bank! Aaaaakhaaaa! Sipendi kujizulumu!

I rose the stakes! Nikamwambia mi nakuja huko ulipo ila let’s put the all the cards on the table! Mi nikija huko naacha issue zangu! SHOW muhimu! Sisi watu wazimaaa! In short show ndo itaguarantee mimi na kukatisha mbugani!

Anaaanza kuwaya waya oooh unjua siwezi kuku afford! Khaaaaa! Nikamwambia msupuuu kama wewe njoo na mashine tu! Hata hotel nitalipia mwenyewe! Kwani shingi ngapi! Ukitaka hata nauli nakupa! Mnielewe navoowaambia kazi imenyookaaa hiii! kama zali tu imeniibukia inbox!

Inshort nime exhaust options zote! Kazi umerudiii nyumaaa kabisaaa! Na mimi sipendi kushindwaaa afu imenikaaa rohoni! Mpaka nambembeleza nimpe pesa hatakiiii! Mind you juzi gum is show tu ndo kumetibua mambo! Mi mtu mzimaaa napenda kunyoosha! Plus Niko busy mnooo kwa cat and mouse games!

Nikasusaaa bado anaendelea kunitafutaaaa! Ila show hataki kutoa! Sijui ndo anataka niwe dada yake! Mxiuuuuu!

NB: Msijichoshe kunitukana shangingi! Maana ni shangingi la kimataifa!
Yaan nlikumiss hadi nikawa nakufananisha na orignal east wa instagram

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom