Wanaume humu mueleweke mnataka nini basi? (Jike shupa)

Mzigo wenyewe una Tanzanite na Diamonds acha bwana

Aahahahahhaa umenikumbusha zamaniii, kuna dada mmoja tulikuwa tunakaa mtaa mmoja miaka hiyooo tulikuwa ndo tunatoka jeshini tunasubiri kupangiwa vituo vya kazi. Huyo dada alimpenda kijana mmoja alikuwa anasoma sekondari na alimwambia anataka wewe wapenzi, kijana alikuwa handsome ila akawa anaogopa dada mkubwa kumzidi. Dada alipoona kijana anamtolea nje akamwambia mie nafanya biashara ya Tanzanite na huwa nikizipata nakaa nazo chumbani kisha nikipata mteja naziuza. Kijana akashawishika kuziona Tanzanite, dada akamwambia njoo nyumbani. kila akienda anamdanganya hazijaja au zimenunuliwa jana yake Ila kijana haondoki hadi ale alichopika bidada huku akiwa mikao ya kupandisha jogoo mtungi.
Siku ya siku kijana uvumilivu ukamshinda akampelekea moto, hapohapo kitu na box dada akapata mimba. Mtoto wa kike alizaliwa bidada akamuita Tanzanite, binti yao saa hizi ameshaajiriwa kwenye tasnia ya habari, she is cute like her father.

Endelea kulinda bin kukaba mwaya Tanzanite adimu kila mtu anataka kuimiliki aahahahahaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

God save us
 
Lara 1 alipotea humu, nahisi alifungiwa Line ya simu ha ha ha
 
Back
Top Bottom