Wanaume tunafeli pakubwa

Zee la Kazi

JF-Expert Member
Mar 5, 2023
335
619
Ni jambo la kumshukuru Mungu wote tupo hai mpaka sasa, ndio maana tumewasha data kusoma uzi huu. R.I.P kwa wale waliokosa haya madini. Aluta continuaa Wakuu.

Binadamu tumetofautiana kwenye utashi, fikra, mitazamo na matendo, pia wanaume tumeumbwa na viwango tofauti vya kiutendaji hususani kwenye sekta nzima ya mahusiano.

Kwa mantiki hiyo tunajigawa wanaume katika makundi matatu

1. Wale wanaoamini mapenzi ni pesa (aside)
2. Wanaoamini Mapenz ni matendo( aside II)
3. Wanaoamini 50/50 (neutral)

Naomba niandike kwa ufupi na yenye maana ili isichoshe kusoma na niokoe muda. Lengo ni kujenga sio kubomoa. Ikikugusa ujue umelengwa, chukua hatua, apply changes. Niende kundi la 1 kwa haraka.

1. Wale wanaoamini Mapenzi ni Pesa
Hawa ni wale walioupa muda pesa kuliko wenza walionao, ama wengne wameoa/wapo katika uhusiano, wanaamini wakiwa na pesa nyingi na kumpa mwanamke kila kitu ndio mapenzi na kwa mantiki hiyo wanajikuta wanawaza pesa katika masaa 24.

Kama tujuavyo siku hazifanani kama vidole vya mikono katika ridhki, huyu mtu alizoea kupata 500k kwa siku Jumatatu, Jumanne, Jumatano akipata 115k na Alhamisi 95k anapata depression kubwa ambayo ni ngumu kuhimili kiasi kwamba anapoteza hisia kimapenzi akiwaza kupata zaidi.

Mwisho anajikuta kimoja chali au akienda akirudi kachoka, anatumia nguvu sana kuwaza kupata pesa na kupoteza mpaka stress zinamtawala, sexual Performance getting poor & poor. Mwisho kwasababu aliamini mapenzi na pesa pekee, siku akikuta mpenzi wake kamsaliti anawaza kumpa talaka na akijua au asijue Sheria ya Talaka lazima mgawane mali mlizochuma pamoja.

Mwisho wakigawana anapata msongo wa mawazo juu ya hasara kubwa anakuja kupumbaza jamii kataa ndoa ni utapeli. Baba yake asingemuoa mama yake yeye angekuwepo? Huku tukijua ndoa ni misingi iliyoanza toka zamani.

Ushauri: Ukijua upo katika kundi hili una machaguo mawili; ama hakikisha unaperfom both parts equally sexually na money, endapo ukiweza kumkuna mwenza wako vizuri utapata 35% ya kusalitiwa ambayo itakuweka mbali na wimbi la agenda ya kipuuzi ya kukataa ndoa.

Au ukubal tu kusaidiwa upande mmoja wa matendo zaidi na wanaume wenzako wa kundi B wanao amini mapenz ni matendo. Hii itakusaidia kukuweka mbali na mhemko wa kumpa talaka mwenza wako, na msongo wa mawazo utakaokupa msukumo kuipumbaza jamii ikatae ndoa kwa udhaifu wako mwenyewe.

DJ niingizie kundi hili na ngoma ya Peleka Moto by Baddest x Young Lunya

2: Wale wanaoamini Mapenzi ni Matendo (show)

Hawa ni wale wanaume tunaoamini ili mwanamke atupende haswaa ni urijali, ushababi mwingi, show show tifu tifu. Kundi hili tupo sahihi piah ila tunapofeli:

Mwanamke anahitaji matendo ya pande zote mbili, pesa na show za kibabe. Halafu mwanamke hataki pesa nyingi, mimi naona ni upumbavu umejaa baadhi ya watu maana mimi najua kama mwanamke anakupend hata kama ni pesa anakukadiria kipato chako.

Tatizo wanaume wa siku hizi pia uongo unatuponza, kutaka tuonekane tuna vimba kujikweza kumdangany mwenza wako wewe ni Askari/Mfanyakaz kitengo nyeti/TRA au else where kutamfanya mwnamke aanze kukuomba pesa ambayo huna uwezo nayo. Wewe mwambie tu wewe ni bodaboda Ili hata ukimpa hiyo elfu 20 yako anaridhika, anaona kweli mwenza wangu kajitahidi. Sasa ukidanganya madhara yake unayajua, sina msaada na wewe.

Ushauri: Kama unajijua wewu tuko kwenye kundi hili tuna machaguo mawili tu. Kuchagua ama tuwe wakweli na wawazi kwa wenza wetu ili tutapowapa 100/200 zetu waridhike nazo wakijua hiko ndio tulichobarikiwa.

Au ukubali kuwa tunapiga show tu ila pesa waende kuzifuata kwa wale wa kundi la kwanza hapo juu, maana nina uhakika usipompa mwenza wako pesa bado hujamlinda.

Akija mwnaume mwenzako atapewa namba apange mstari kesho ukimfumania uanze kuja kutupigia kelele zako za kataa ndoa ni utapelo kwa upuuzi wako mwenyewe. Humpi mwenza wako mahitaji, akifuata mahitaj yalipo unakuja kupumbaza jamii zetu wote tukatae ndoa kwa uzembe wako mtu mmoja.

Sio rahisi mwnamke kukubali kuachana na mwanaume aliyeko kwenye kundi hili ilihali anajua kuna show big big atazi-miss alot. Kwahiyo ukishindwa kumpa pesa kaa kimya sponsor wakusaidie, ila usije kutupigia kelele wengine humu tukatae ndoa wakati tulishakupa ushauri wa bure.

DJ niingizie kundi hili na My Wangu by Mabantu -Sponsa niachie my wangu

3: Wale wanaoamini 50/50 (neutral)
Sisi tulieko katika kundi hili sitoongea mengi, nataka nifupishe ili iwe short, sweet & clear. Tuko sahihi, tuendelee kushikilia hapo maana 92% ya wanawake wanataka pesa na show za kutosha.

Wanaume tulioko humu tuna enjoy kwasababu mwanamke anampenda mwanaume wa size hii, everything he does perfectly. Huyu hata depression yake ni ndogo sana, ama isiwepo kabisa ndio maana mwanamke anapokuwa na mtu huyu anaweza akawa nae katika all moments.

Kwasababu huyu anakuwa anampa mwanamke the maximum of his own blessings, ni rahisi mwanamke kumpenda sana na kuwa nae hata nyakati mbaya za sadness na ups and down za maisha. Natamani niandike mengi ila nimechoka, ila nitajitahid niwe nau-edit more & more kadri nitakavyoona panahitajika kuwekana sawa.

Ushauri: Sisi wa hapa tuna chaguo moja pekee na kama Mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema "Once you get only one option, you got nothing to choose or to lose but to do."

Kuhakikisha tunaendelea kushikiria tunachokiamini, sisi ytatuambia nini wakati show tunapiga to the maximum na other side kwasababu tunapiga show na wao wanatuonyesha upendo to the maximum, kwanini tusiwape tulichobarikiwa Kwetu? Hata tukipata kidogo hatupati depression maana wanatufariji wenyewe since tayari tushakuwa wawazi kwao.

Hutokuta sisi wa kwenye kundi hili tunapigia promo hiyo kampeni ya kipuuzi ya kukataa ndoa maana 92% ya wanawake wenyewe wanaogopa kutupoteza, nasi tunaogopa kuwapoteza wao maana it's too hard kumpata ambaye atatuvumilia hata siku tukipata kidogo asichukie, tukimpa apokee na show tunapiga kwa shangwe zote. Depression tunaisikia bombani.

DJ Nipigie Show Show by Mabantu kwa sisi hapa

Last but not least, wanaume tuache kuwa wadhaifu kipumbavu, tunajitia aibu sana hususani humu mitandaoni. Mwanamke ni kiumbe dhaifu, unashindwaje kumcontrol?

Kuna sisi tukiona umekuja na kampeni zako za kataa ndoa tunakuchora halafu tunakutafakari, ama umeshindwa kumuhudumia mwanamke wako au umeshindwa show kumfikisha. Kwahiyo tuna take the action towards...

Ndio maana chunguza mwanamke akiachika sehemu fulan huwa anatongozwa sana, kama mlikuwa hamjui the reason behind ni hii;

Watu tunataka kujua huyo mwanaume ana matatizo au mwanamke ndio mwenye matatizo. Mwisho tunagundua mwanaume ndio bogus maana mwanamke anakula show mpaka anafia na kuozea kwenye mapenzi huku anabubujika ujinga wako wote huko ulipokuwa unalala hujamuonja mwezi mzima. Sasa ulitaka asikusaliti, wewe nanga kweli!

NB: Wanawake ni viumbe wazuri sana na wana upendo sana, inategemea tu unaishi nao vipi. Msipoteze MB's zetu kutuambia tukatae ndoa kwa udhaifu wenu wenyewe meshindwa kujua wanachokitaka wanawake.

Wewe mwanaume kushindwa kwako mmoja kusipotoshe mamillioni.

Baba zetu wenyewe walijua mama zetu walikuwa wanataka nini ndio maana sisi tulizaliwa wako pamoja na mpaka sasa 89% wako pamoja. Some separated for either death reasons & unreasonably clearly. Ndio maana kama wazazi wako wali separate for 95% ukiwauliza hawatokupa sababu halisi, inakuwa siri yako kwa kutunza heshima.

Au mnafurahia haya matusi tunayopewa na hawa wazee wetu wa zamani kuwa vijana wa siku hizi "Chips Chips"?

Heshima yetu iko wapi wanaume?

Ikikugusa apply changes, badilika.

Nipo hapa Samaki Samaki nakula shushu huku nasoma comments, ukihisi unahitaji kuniongezea na soda nipo tayari kukutumia Lipa Namba.

The Captain Joe Biden (Zee la kazi) nawasilisha.

Lovelovie Pull Up....
 
naona umeingia chaka maeneo meengi sana.

Hela haitafutwi kwaajili ya kumpa mwanamke, bali hela hutafutwa kutibu matatizo mbalimbali ndani ya familia na nje ya familia

Unahitaji kusomesha watoto, unahitaji watoto wavae vizuri na kula vizuri, unahitaji kuwapa watoto exposure kwa kuhakikisha wanamiliki na kutumia viti vidogo vidogo, unahitaji kuachia watoto ulinzi.
Familia nyingi za kiaAfrica unakuta mtu mmoja anazungukwa na umati wa watu wanamtegemea wote hao ni hela inahitajika kumaliza matatizo.

Kwa muktadha huo tu, lazima ujikute automatically 90% ya muda wako ni kupambana na harakati za maisha ili utatue homework zinazokukabili.
 
Exactly Youre Collect but Jaribu kuangalia mim Nimelenga nini The Main Target haswaa..ndomana Sijagusa kuhusu suala la Familia...Keypoint ni Mahusiano Sijagusia Watoto wala Life Aside..mana kwa jicho pevu nmeona watu weng wanaolalamikia Hizi Ndoa ni Hao Hao ambao Wanajiona km Wananyonywa kifedha na Wanawake nawasilisha
 
Naombeni niweke sawa Sehemu Wakuu sijagusia Family...Afu kuhusu swala la Kipesa ukisema ulichanganue Kwa Upana...Iv Wanaume unadhan Tuna pesa Gani ya Kumpa Mwanamke Ikamtosha..Sio tu Mwanamke hata sisi wenyewe ni Pesa gan Inatutosha..Jibu ni kwamba Hakuna Kias cha pesa kinachoweza Kukidhi mahitaji ya Mtu...Hawa wanawake wanatuvumilia tu Inshort

Hakuna Pesa ambayo Utasema umempa mtu Moyo wake ukaridhika "The more u get, The more You Demand Alot" Ieleweke Mwanamke akisema Akuombe hela itayoweza kumkidhia Matakwa yake yote Huwez utajionea Taabu Tupuu 📌
 
naona umeingia chaka maeneo meengi sana.

Hela haitafutwi kwaajili ya kumpa mwanamke, bali hela hutafutwa kutibu matatizo mbalimbali ndani ya familia na nje ya familia

Unahitaji kusomesha watoto, unahitaji watoto wavae vizuri na kula vizuri, unahitaji kuwapa watoto exposure kwa kuhakikisha wanamiliki na kutumia viti vidogo vidogo, unahitaji kuachia watoto ulinzi.
Familia nyingi za kiaAfrica unakuta mtu mmoja anazungukwa na umati wa watu wanamtegemea wote hao ni hela inahitajika kumaliza matatizo.

Kwa muktadha huo tu, lazima ujikute automatically 90% ya muda wako ni kupambana na harakati za maisha ili utatue homework zinazokukabili.
Kwahiyo Mkuu ni dhahiri Wewe Una support Kundi namba 1 Tajwa Hapo Juu Right???
 
naona umeingia chaka maeneo meengi sana.

Hela haitafutwi kwaajili ya kumpa mwanamke, bali hela hutafutwa kutibu matatizo mbalimbali ndani ya familia na nje ya familia

Unahitaji kusomesha watoto, unahitaji watoto wavae vizuri na kula vizuri, unahitaji kuwapa watoto exposure kwa kuhakikisha wanamiliki na kutumia viti vidogo vidogo, unahitaji kuachia watoto ulinzi.
Familia nyingi za kiaAfrica unakuta mtu mmoja anazungukwa na umati wa watu wanamtegemea wote hao ni hela inahitajika kumaliza matatizo.

Kwa muktadha huo tu, lazima ujikute automatically 90% ya muda wako ni kupambana na harakati za maisha ili utatue homework zinazokukabili.
Umemjibu vizuri sana mkuu,nnamashaka nahuyu jamaa,mtoa mada juu umri wake pengine nihawa vijana wa2000's,,kwanza kuapanga nikuchagua huwezi kulazimisha watu wote wafuate mfumo mmoja wa maisha,pilli,asidhani kujikita kumfurahisha mwanamke eti atakua amefanya jambo la maana sana ktk hii dunia.
 
Tatizo wanaume wa siku hizi pia uongo unatuponza, kutaka tuonekane tuna vimba kujikweza kumdangany mwenza wako wewe ni Askari/Mfanyakaz kitengo nyeti/TRA au else where kutamfanya mwnamke aanze kukuomba pesa ambayo huna uwezo nayo. Wewe mwambie tu wewe ni bodaboda Ili hata ukimpa hiyo elfu 20 yako anaridhika, anaona kweli mwenza wangu kajitahidi. Sasa ukidanganya madhara yake unayajua, sina msaada na wewe.
😁😁😁
Kujitwisha sifa za uongo!
 
You dont know anything about this subject
Mwanafunz anayejua subject huwa anajibu swali na sio kutoa majbu ya "SIJUI" ni kheri Kuto nyoosha kdole kabsa kulko unyoshe afu uchaguliwe useme hujui jibu
 
Back
Top Bottom